Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Good Afternoon Everyone. Eti wakuu, kwanini mtu akitaka kupata "Unlimited Data Access" ni mpaka anunue kifaa cha ziada kama vile Router?? Kwanini mpaka utumie WiFi?? Kwani kwa kutumia...
16 Reactions
34 Replies
1K Views
Wakuu Nimeamua kuacha pombe kutokana na matatizo ya kiafya. Lakini soda pia niliQuite tangu 2020. Sasa napata changamoto nikienda Bar unakuta siwezi kukaa na kampani ya washikaji maana wenzio...
18 Reactions
192 Replies
4K Views
Wakuu za jumapili, Sijafika muhimbili muda mrefu yapata miezi sita toka mara ya mwisho nimefika pale. Jana nilipata emergency na kumpeleka mgonjwa wangu hospitali ile, nikafatilia kila kitu, na...
2 Reactions
7 Replies
312 Views
Hellow Afrika!! Afrika na wanae wanapitishwa tena katika moto Ili kuwasaidia kurudi kuijenga Africa Yao tena, Ni kama tu tai, akitaka kumfunza kifaranga chake kuruka, huondoa nyasi Ili miiba...
4 Reactions
12 Replies
381 Views
Kuna mada nilikuta wakilalamika kuhusu Elon musk post zake.Ingekuwa maskini au Godluck mchoma gari tungesema kachanganyikiwa sababu hana kuona mbele. Mfano Elon Musk huyu jamaa anaweza kueleza...
1 Reactions
5 Replies
226 Views
Wastaafu kote nchini tumeshtushwa sana na tangazo la ongezeko ya pensheni kwa asilimia 2% kuanzia 2025 lililotangazwa na Waziri Kikwete (jnr). Itakumbukwa kwamba ongezeko hili kiduchu kwa rekodi...
3 Reactions
14 Replies
833 Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema wanafunzi wa shule na vyuo pia wanatakiwa kusomea nyumbani kesho tarehe...
1 Reactions
20 Replies
809 Views
Hii breakfast ya Indonesia( wenyewe wanaiita Bubur Ayam) inaonekana ni bora sana. Wapi Dar es Salaam kuna mgahawa wa Ki-Indonesia nikaijaribu?
1 Reactions
5 Replies
189 Views
Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila...
0 Reactions
5 Replies
178 Views
bia zote za tbl upatikanaji wake ni wa shida mno bia kama kilimanjaro, castle lite, safari, Eagle hazipatikani kuna shida gani? Wadau mnaofanya biashara ya pombe (bia) hizo bia nilizotaja hapo...
4 Reactions
25 Replies
660 Views
Matokeo yake unaunganisha nchi ambazo hazina "things in common" au zenye conflicts kabisa. moja ya kirusi kikubwa kwenye huu umoja ni Rwanda. Rwanda hakutakiwa kabisa kuingia kwenye huu muungano...
14 Reactions
21 Replies
768 Views
Maisha yana Vipindi mbali mbali ambavyo mara chache vinajirudia na hata vikijirudia ni kwa sura na lengo jingine. Unaweza kurudi kwenye shule yako ya msingi ila sio tena kama mwanafunzi bali...
0 Reactions
2 Replies
86 Views
Ndugu zangu Watanzania hususan abiria mnao abiri hayo mabasi, jitahidini sana kuwakemea madereva wajinga kama huyo hapo kwenye video. Eneo la makazi kama hilo ni wazi mwendo kasi ni chini ya 50...
1 Reactions
1 Replies
197 Views
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania kuhusu matatizo yanayojitokeza katika mfumo wenu wa maombi ya mikopo tangu zoezi la maombi lilipofunguliwa tarehe...
1 Reactions
8 Replies
492 Views
Miaka 150 Kuanzia Sasa Miaka 150 kuanzia sasa, hakuna hata mmoja wetu anayesoma ujumbe huu leo atakayekuwa hai. Asilimia 70 hadi 100 ya mambo tunayoyapigania sasa yatakuwa yamesahaulika kabisa...
8 Reactions
14 Replies
371 Views
Salaam wana jukwaa. Nimepita sehemu moja nikakuta watu wanajadili kuhusu tabia ya upigaji ya wauza mihogo na mishikaki COCO BEACH. Malalamiko yamekuwa mengi kuhusu tabia yao ya kuuza mishikaki...
12 Reactions
120 Replies
3K Views
Mwanaume akitaka kumshusha thamani mwenzake atamuita jina la mwanamke, viungo vya mwanamke au kumpa sifa au hulka za wanawake kama namna ya kumuaibisha, kumtusi au kuonyesha udhaifu wake. Naona...
6 Reactions
14 Replies
385 Views
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia changamoto ya mfumo wa HESLB kwa waombaji wa Stashahada (Diploma) wanaotarajiwa kudahiliwa Machi 2025 (March Intake), ufafanuzi umetolewa na...
2 Reactions
3 Replies
266 Views
Wanajamvi nimefatilia tangazo la kamanda Muliro limenipa maswali kidogo kuhusu kufungwa kwa barabara kwa ajili ya mkutano wa SUMMIT. Je, ni sawa maana mm naona kana kwamba inapunguza fursa za...
3 Reactions
6 Replies
239 Views
Anonymous
Kwa hali hayo tumeshindwa kusaini malipo hayo na kupelekea kuexpire baada ya muda fulani na kushindwa kupata pesa hizo hivyo tunaomba mamlaka kufuatilia ikiwezekana kuturudishia app tuliyokua...
0 Reactions
0 Replies
49 Views
Back
Top Bottom