Naombeni Ushahuri, Nina mdogo wangu kapata fursa ya Kusomea Locomotive Driver (Dereva wa Treni) uko Tazara ambapo wataenda somea Huko Zambia kwa muda wa miaka Miwili cheti kilichotumika ni cha...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushauri wa kiroho na kumbusho la msingi kwa Wasabato ulimwenguni kote kuzingatia majukumu na maelekezo ya msingi ya Bwana wetu Yesu Kristo.
Nimezingatia...
Kila sehem wapo, Magerage wapo, maduka, karikoo wanaanza kuishika, mitaani wamejaa, kwenye viwanja vya ndege wapo, Mabondo ndo wamewekana kila level, yani humuuzii mchina wa juu bila kuwauzia...
Nimeshangaa sana kuna hadi iphone za laki moja na sabini.
Bora zingepigwa marufuku Tanzania.
Pia soma: Huu utitiri wa iPhone 13 copy zinazouzwa laki 3 Dar zinatoka wapi?
Zingetolewa simu za...
Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka,
Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka,
Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA.
Mengi alikujalia , wete...
Watu wanaojiita watumishi wa Mungu walio wengi kwa sasa sio wa kuwaamini asilimia 100
Hata kama mtu anajua kufundisha na anaonekana kama ana Nguvu za Mungu sana usiwe mwepesi kuamini hadi pale...
Nilimuuliza rafiki yangu ambaye amevuka miaka 70 na sasa anakwenda kuelekea miaka 80, ni mabadiliko gani amehisi ndani yake? Alinitumia yafuatayo:
1. Baada ya kuwapenda wazazi wangu, ndugu zangu...
1. Nilikuwa maeneo ya parking ya Magari pale kitengo cha mifupa MOI mwaka 2014, nikiwa ninamsubiria mgonjwa ndugu yangu, jamaa alikuwa ofisini kwake, akaja akakagua kama mlango wa gari lake...
Nilijua wageni wanapokuja ni fursa kwa wenyeji, nilidhani watanzania watafundishwa namna nzuri ya kufanya biashara zao na kunufaika na wageni wanapokuja badala yake sisi hatujui kujiweka smart na...
Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, imewahukumu kifungo cha maisha gerezani washtakiwa wanne maarufu ‘waliotumwa na afande’, baada ya kuwatia hatiani kwa kosa la kubaka kwa kundi na kumwingilia...
Maandiko yafuatayo yanaonyesha wazi kwamba Biblia inatuhadharisha kuhusu hatari ya kupenda fedha na mali, ikisisitiza umuhimu wa kuweka kipaumbele kwa mambo ya kiroho na uhusiano wetu na Mungu...
Mhamasishaji wenu:
https://www.jamiiforums.com/threads/nasimama-na-bunge-la-iraqwi.2301833/
Kumtapeli mbongo ni raha sana, we mpatie vimaneno vimaneno vya hamasa ghafla ulimbukeni wake utaanza...
Hellow wakuu mpo?
Hakuna asiyeyafahamu maziwa, kila mtu anayajua maziwa ni lishe muhimu kwa binadamu sababu yana virutibisho vyote muhimu. Yanaponya maradhi mbali mbali na kuua sumu yeyote...
Hii mihimili miwili ipo juu zaidi katika list ya vitu vya kitapeli kuwahi kutokea hapa duniani.
Kama mnataka watoto wenu kufundishwa elimu ya ushoga ya awali, kubadirishwa jinsia, wake zenu...
Kufuatia hoja iliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com kuwa Chuo Kukuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa na kawaida ya kuchelewesha matokeo ya mitihani, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo.
Kusoma...
Nimekuwa nikisema mara nyingi kuwa sikubaliani na fundisho la Dini hizi( Abrahamic religion/ ukristu, uislamu, na Judaism) kuhusu sababu kwanini binadamu tumeumbwa duniani
Mafundisho ya Dini hizi...
Kwenye video jamaa kafunguka vitu vingi Sana muhimu. Mwenye kusikia na asikie na mwenye kujifanya kipofu aendelee kujifanya kipofu hivyo.
Video Yake inapatikana You Tube.
Kwenye video jamaa...
MAKAGA ( Making Kayumba Schools Great Again ) Campaign ni kampeni maalumu ya kitaifa iliyo lenga kuwafungua ufahamu wazazi wenye vipato vya chini wanao jistress kusomesha watoto wao kwenye shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.