Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kiwanda cha dawa Arusha kilianza kuzalisha ARV, kikapigwa zengwe na kashfa kikapatikana kinazalisha ARVs feki. Kikafungiwa. Sasa wakati huu Trump anatukatia msaada wa pesa za ARVs kwa miezi...
2 Reactions
26 Replies
623 Views
Rapa Izzo Bizness ameelezea hofu yake kuhusu matukio ya hivi karibuni ya vifo na kutekwa kwa watu, akisema hali imekuwa ya kutisha zaidi. Kupitia mtandao wa X (zamani Twitter), Izzo ameonyesha...
3 Reactions
1 Replies
232 Views
Tumekuwa tukishuhudia vifo vya ajali, kupotea na kutekwa, watu kuuwawa baada ya kulawitiwa. Tanzania amka. Hivi vifo vinavyoripotiwa na visivyoripotiwa ni zaidi ya vifo vya vita. Tunahitaji maombi...
2 Reactions
10 Replies
411 Views
Serikali imebadili mtaala na kuanzia mwaka huu, wanafunzi wa kidato cha kwanza wataanza kusoma mtaala mpya. Hivyo Serikali imeamua kuwapa semina walimu ili kuendana na kasi ya mtaala mpya. Pia...
24 Reactions
176 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote? Unaanza kutoa mahari ya mke, kisha unamalizia kutoa zawadi kwa mama, kaka na ndugu wote. Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia. Mwanzo 24:53: Kisha huyo...
1 Reactions
2 Replies
124 Views
  • Closed
Amini kwamba Kuna baadhi ya mambo hapa duniani huwezi kuyaelewa mpaka Likud akueleweshe. Haya Sasa twende Kazi. 👇👇👇 Kumekuwa na Kelele nyingi Sana kutoka Kwa watu wanao jiita watetezi wa haki za...
13 Reactions
90 Replies
2K Views
Limkutano likubwa mnaweka watangazaji wa TBC wanaowaogopa wageni. Kikeke yupo hapo....Yunusi yupo hapo. Iteni watu wanaoweza kuwahoji wageni wawahoji Marais kadri wanavyoingia nchini. Hii ni...
10 Reactions
42 Replies
944 Views
Nauliza hivi kwasababu wagumu sana kubadilika yaan wasomali ni zaidi ya masai
1 Reactions
9 Replies
286 Views
Wasiwasi umetanda katika baadhi ya Vyuo Vikuu nchini Marekani huku vingine vikitoa tahadhari kwa Wanafunzi wa Kimataifa kurudi vyuoni kabla ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa nchi hiyo Donald Trump...
0 Reactions
2 Replies
263 Views
Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda...
2 Reactions
18 Replies
597 Views
Wadau hamjamboni nyote? Leo nimeweka kwenye friji yangu chupa tatu za maji kutoka kampuni tatu tofauti za Hill water, Kilimanjaro na Uhai Baada ya muda nimefungua tena friji na kukuta maji ya...
4 Reactions
38 Replies
1K Views
Salaam wakuu. Wahenga walisema Tahadhali ni bora kabla ya hatari, na umakini unalipa kuliko uzembe, na akili ni njema kuliko ujinga, na utoshelevu ni bora kuliko kupungukiwa. Mpendwa kama...
10 Reactions
10 Replies
719 Views
Hii ndo aina ya asilimia kubwa ya viongozi wetu. Chalamila ni mfano mmojawapo kati ya wengi sana. Hajaanza leo kuwa anazungumza kilevi namna hiyo. But anapewa Mkoa aongoze. Nikakumbuka miaka ya...
2 Reactions
2 Replies
248 Views
Mimi ni Mwanafunzi ninayeendelea na masomo katika Chuo Kuu Huria cha Tanzania (OUT) maarufu kwa jina la Open University ambacho makao makuu yake yapo Kinondoni Dar es Salaam ni kwa muda sasa...
0 Reactions
4 Replies
404 Views
Ikiwa kesho Januari 28, 2025 ni Siku ya Faragha ya Taarifa Duniani (Data Privacy Day), JamiiForums kwa kushirikiana na Lawyers Hub wameandaa Mjadala wa Sera za Akili Mnemba. Tanzania na Afrika...
3 Reactions
1 Replies
193 Views
Habari wadau, Uchunguzi wangu kwa wanaonizunguka nimegundua graduates wengi wanapenda sana kushinda ndani na kutazama movies kutwa nzima. Wakichoka movies wanahamia kuperuzi instagram na tik...
8 Reactions
22 Replies
536 Views
Wadau, Nimeona akina Kitenge wakitangaza fursa ya mikopo kwa kampuni ya mitandao ya Tala. Napenda kujua kwa yeyote aliyewahi kuchukua mkopo Tala uzoefu wake ukoje, hasa kuhusu: 1. Kiwango...
3 Reactions
8 Replies
407 Views
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Ndugu Faris Buruhani, ameongoza BONANZA la mpira wa miguu kati ya timu za mashabiki wa Simba na mashabiki wa Yanga iliyochezwa katika uwanja wa shule ya Msingi...
0 Reactions
2 Replies
126 Views
Ni kwenye madhabahu moja maarufu na kubwa Sana jijini Dar es salaam. Apostle akasema " Kama Wewe ni mzazi unasomesha shule ya Ems na mpaka Sasa mtoto wako bado yupo nyumbani Kwa sababu una daiwa...
25 Reactions
99 Replies
2K Views
Back
Top Bottom