NB
Nitakayoandika hapa ni kutokana na Imani yangu na utafiti wangu.
"Kwanini watu wazuri hufa mapema na wabaya wanaishi miaka mingi ".
Hapa dunia kuna kitu kinaitwa Purpose ( Kusudio) na ndani...
Leo watu wanamshambulia Mkuu wa mkoa wa Dar Kwa kumjibu mama mjamzito aliyeambiwa na wauguzi kuhusu kuchangia pesa ya kumnunulia gloves 🧤 za kumsaidia kujifungua
Mimba ni miezi 9 sio suala la...
Msemaji Mkuu wa Serikali Thobias Makoba amesema zoezi la uokoaji kwenye eneo la ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa Kariakoo mkoani Dar es Salaam limemalizika.
Akizungumza na waandishi wa...
Tanzania imepewa heshima ya kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Nishati wa Afrika unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 Januari 2025 jijini Dar es Salaam. Mkutano huu mkubwa utawahusisha viongozi wa juu...
👉🏾Katika nadharia isiyoelezeka kisayansi napendelea kusema mapenzi au maoni ya watu wengi yana uzito mkubwa, na yanaweza kuonekana kama ishara ya mapenzi ya Mungu.
Katika mitazamo ya...
Wababa wa Mpanda mbona hivyo lakini?
Ila wanaume wengi wa mikoani wamekuwa wategevu kwa namna fulani katika kujishughulisha na majukumu ya kuelea familia, hii sasa ni balaa na tabu tupu...
Juzi kati nilienda kuulizia utaratibu wa kupata leseni ya udereva pale TRA PSSSF Tower karibu na Mlimani, ila nilichokiona nilishangaa sana.
Hii sio mara ya kwanza kila nikienda kuna jamaa mlinzi...
Ila Africa tunatia huruma, inatia sana haira hadi leo baada ya kupewa misaada mingi miaka nenda rudi bado tunangoja msaada wa ARV na condom 😣😣.
Kampeni ya kuelimisha jamii juu ya afya mpaka...
Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba Mwijaku, kutokana na dosari za usajili.
Jaji...
Shughuli zangu za kutafuta kipato zinanilazimisha kusafir mara nyingi kwenda nje kwa (ndege) za mashirika mbalimbali hususani Emirates, Qatar na KLM.
Sasa kutokana na Miles nilizo nazo mara...
Mahakama Kuu ya Tanzania (Masijala Ndogo ya Dar es Salaam) imeondoa kesi ya kashfa ya Ally Masoud Nyomwa maarufu Masoud Kipanya dhidi ya Burton Mwemba 'Mwijaku', kutokana na dosari za usajili...
Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es Salaam imepanga kusikiliza mapingamizi manne ya kisheria ya Burton Mwemba Mwijaku dhidi ya mashitaka ya kashfa ya Ally Masoud Kipanya mnamo tarehe...
Mwijaku amemtuhumu Masoud Kipanya kuwa "anafanya biashara haramu inayoharibu vijana". Ametoa tuhuma hizi kwa mandishi kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tuhuma hizi ni nzito na...
Wakishapewa mikopo na bahasha wanaongea tu none stop.
Kila mtanzania anaepata nafasi ya ulaji anabadilika moja kwa moja.
Kila mmoja anaangalia tumbo lake hata kama litakost wengine.
Pesa ya...
Nimeona clip Mkuu wa Mkoa Arusha anasema kuna mwananchi kanunua nyumba kashindwa kukabidhiwa nyumba aliyolipa asilimia 70 na kapewa kesi yaani ujambazi wa kutumia silaha na kituo cha polisi Usa...
Kila hela itayopatikana tufanyie mambo ya msingi. Tuache matumizi ya hovyo.Mi nilishachukua shamba kwetu Iringa na mwaka juzi muheshimiwa alinisaidia kupata diploma ya pharmacy.
Ni ushauri wa...
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Khamis amesema Tume inaendelea kutuma njia mbalimbali za kutoa elimu ya haki za binadamu na misingi ya utawala bora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.