Mjadala ulizuka baada ya muimbaji wa nyimbo za Injili kuchoma moto gari alilopewa kama zawadi na Mchungaji, ambapo baadhi ya watu walisema hilo ni kosa kisheria wengine wakisema siyo kosa...
Pombe kali za makopo ambazo hazina viwango, na nyingne kali za kupima kwenye vikombe ama glasi(sio gongo) ambazo hazijulikani zimetengenezwa wap na kwa kutumia nini.
Wanywaji wa Pombe hizo...
Amani iwe kwenu watu wa MUNGU
Serikali ijiandae kwa janga kubwa ambalo liko mbele yetu ndani ya mwaka huu
Kuna tetemeko kubwa sana la ardhi litaipiga inchi yetu litaipiga Dunia
EARTHQUAKES...
https://www.youtube.com/live/NFDVUW-lXwg
Rais Samia: Utegemezi wa kuni na mkaa ni 90%, kufikia 2034 tunatarajia matumizi ya nishati safi yafikie 80%
Akizungumza katika uzinduzi wa mpango wa...
Wachina wanaojidai kuwa ndio wafadhili wetu wakubwa wa miradi mbali mbali hapa nchini baadhi yao wanatumia mwanya huo kutuhujumu hasa pale wanapoamua kuwa soko huru la kununua nyara za taifa letu...
RUVUMA: Mkuu wa Wilaya, Kapenjama Ndile amesema uwepo wa mifugo mingi kupita kiasi umekuwa ukiathiri kilimo na kuathiri mazingira Wilayani hapo na kuwa hali hiyo inachangiwa na rushwa...
Kwa sisi tutakao nangoromboko vitu kama hivi tumekuwa kuviona huku kwenu.
Mtundiko, baikoko, etc ni design ya ngoma zipatikanazo maeneo ya pwani, zimekuwa na maudhui ya wanawake kukata viuno hadi...
Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar.
"Wanawake wamekuwa wakilalamika wakichukua fomu wanaanza kufatwa kwamba wao' si mna viti vyenu Maalumu ' tuachieni sisi huko ( jimbo), ndio maana tuna sema kuna...
Mimi ni mgonga ulimbo mwenye matumaini tele wakati wagonga ulimbo wenzangu wakiwa addicted na porn na betting.
Basi mimi niko addicted na page & website za sekretarieti ya ajira maana nina imani...
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imemkamata kinara wa dawa za kulevya jijini Dodoma, Suleiman Mbaruku Suleiman maarufu Nyanda mwenye umri wa miaka 52 ambaye mamlaka hiyo...
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam imetangaza kuwa Barabara tisa Jijini Dar es Salaam, zimefungwa kwa siku sita kuanzia leo Januari 25 hadi Januari 30, 2025 ili kupisha misafara...
Na Thuwaiba Habibu, Zanzibar.
Sensa ya watu na makaazi ya
mwaka 2022 inaonesha Zanzibar ina watu 1,889,773 kati ya hao wanaume ni 915 ,492 huku wanawake ni 974 ,281 hii ikimanisha wanawake ni...
Habari WanaJF
Nimekuwa nikijiuliza maswali kwanini kuna zoezi zima la verification codes wakati wa zoezi la ujazaji form za mikopo ya elimu ya juu kulipia?, Kwanini wasitengeze vyeti vya kuzaliwa...
Baadhi ya wananchi Wanaotakiwa kupisha Ujenzi wa Bandarikavu katika eneo la Nandanga, Kata ya Mpemba, Halmashauri ya Mji wa Tunduma, Mkoani Songwe wameilalamikia Ofisi ya Serikali ya Mtaa...
Hivi ndivyo inavyokuwa wazazi wanapoweka kipaumbele kwenye elimu badala ya burudani. Hebu fikiria iwapo watoto wengi zaidi wangeanza kusoma kama hivi wakiwa na umri mdogo. 📚
Jana nimeshangazwa na kukutana na mheshimiwa wa taifa ambalo limeshakubali kubadilika kutoka kuwa kanisa akiimba injili ya rehema na baraka kwa kutimiza miaka mingi.
Waheshimiwa wanaogopa...
Katika siku za hivi karibuni naona Dollar inazidi kuporomoka sijajua sisi tumepunguza importation au Shilling inazidi kuimarika au biashara imekuwa na mwelekeo mzuri watu hawafichi tena dollar...
Ujue katika mapambano ya kutafuta maisha hasa kwetu vijana huwa tunajitahidi kupita maeneo mbalimbali kurisk ili mambo yetu yatuendee vema.
Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilishawahi...
Kama ambavyo tumewahi kujadili hapa JF kuhusu makelele yaliyokithiri katika miji yetu. Ipo haja katika mabadiliko ya sheria za mazingira ambayo yatajadiliwa bungeni kuhakikisha hivi vipaza sauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.