Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Hellow wakuu, Kuna dada mmoja ana umri wa miaka 39 ni mkulima mama wa watoto wanne, Anachangamoto ya "kajembe" (kati kati ya kifua kwa chini pametengeneza shape ya mbonyeo "u flat" Mapigo yake...
3 Reactions
56 Replies
2K Views
Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa kampuni ya Mabasi ya J4 Express, alidaiwa kuwaua kwa kuwapiga kwa risasi Ally Abeid Mohamed, mkazi wa Igoma na Claud Sikarwanda, mkazi wa Nyasaka Ilemela, Julai 13...
23 Reactions
320 Replies
25K Views
Jamani wana JF kuna malalamiko mengi ya wazazi na wadhamini wanaofadhili watoto kwenda vyuo nchi mbali mbali. Sio wote wanaokwenda hizo nchi wakafanya vizuri ila wimbi kubwa linapotea sana kwa...
14 Reactions
172 Replies
18K Views
Salaamj Wana JF. Naitwa DJ. DON NALIMISON Ni Mtanzania mwenye asili ya Kimarekani. Yaani baba Mzazi ni raia wa Marekani na mama Mzazi ni raia wa Tanzania. Nimezaliwa 28.06.1980 wilayani Kahama ...
24 Reactions
152 Replies
13K Views
Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha kumbukumbu ya Sebastian Kolowa (SEKOMU), Mchungaji Dk Msafiri Mbilu amelazwa katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Tanga ya Bombo akiwa mahututi baada ya kula keki...
3 Reactions
39 Replies
8K Views
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kisa kinene ,yapo mengi hatuyajui yapo mengi tunahaso tuyajue Elimu haina mwisho,Tuendelee kijifunza tupo kwenye nchi ya Dunia ya tatu ipo nyuma Kwa mambo...
3 Reactions
12 Replies
248 Views
Madereva wa malori kutoka Tanzania waliokwama nchini Kongo (DRC) wameomba msaada wa haraka baada ya waasi wa kikundi cha M23, kinachodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, kuteka mji wa Goma. Soma...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Rejea maneno haya ya nabii Mkuu wakati anampa Mwimbaji gari "Mimi napenda kuuona uzuri wa watu na kuuyoa nje". Kwa haraka sana gari hapo limekuja la kiwakilisho tu katika ulimwengu wa vitu...
0 Reactions
21 Replies
984 Views
Kwa Kizazi hiki Cha Sasa cha Tanganyika siyo ajabu miaka 20 ijayo Nchi hii ikawa zaidi ya Congo Kwa UPIMBI Vijana siyo Wachapakazi, siyo Wabunifu bali wanaoamini katika Uchawa, Muziki na Maagizo...
3 Reactions
8 Replies
246 Views
Wadau hamjamboni nyote? Kwa mujibu wa uchunguzi wa kina wa RITA billioni mbili za kitanzani Mali ya msikiti wa manyema zimefanyiwa ubadhilifu hivyo agizo wahusika wapelekwe mahakamani
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Kwa taarifa nilizonazo mpaka sasa zimeshawashwa mashine sita kati ya tisa zinazotarajiwa. Hii ni hatua kubwa tumepiga kama nchi na ni vizuri tukaacha vizazi vijavyo nao kuutambua mchango mkubwa...
0 Reactions
1 Replies
98 Views
Wana JF kuna mtu kaweka clip kwenye Yuotube anapotray the situation in Tanzania but´...... angalia hii link http://www.youtube.com/watch?v=ultGDaCcpUc Tanzania iko Hivyo? Au ndio tunaelekea huko...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Nimekutana na hii clip ya wanawake wa Katavi wakilalamika kuwa wakati wanawake wanaamka asubuhi kwenda shambani kufanya kazi, wanaume wanafanya tofauti. Wanawake wanasema kuwa wanaume...
2 Reactions
19 Replies
473 Views
Kuna vijana ambao tayari wamepigwa za uso na kukosa imani na kijana wa mizimu Bw. Chief, lakini pia kuna ambao hawajui ukweli kuhusu kujiunga nao. Hii yote ni vijana kutaka mafanikio makubwa ya...
3 Reactions
9 Replies
744 Views
Nashauri serikali ipeleke muswada maalum wa kuwalinda watoto kwa kuwa ni dhahiri muda si mrefu watakuwa waathirika. Katika Hali ya sasa binadamu wamekuwa kama wanyama pori, bata au kuku, madume...
2 Reactions
12 Replies
281 Views
Mimi ni mwalimu tarajali mwenzenu wa level ya IIIA, ila kwa matokeo ya kiswahili yamenikatisha tamaa sana, hasa baada ya kuona waalimu wanaofundisha secondary somo la kiswahili kwa miaka zaidi ya...
0 Reactions
13 Replies
481 Views
Wakuu nauliza tu!! Kulingana na dunia inavo enda Tech giant zinapewa pesa na serikali zao kusambaza ajenda na maslahi ya nchi zao!! Tanzania tuna ajenda nyingi ambazo tunaweza kuzitumia tech...
7 Reactions
62 Replies
887 Views
GT. What is wrong with the below leter?????? Total Hoax!!!!! WAFUNGWA HONG KONG WAENDELEA KUFUNGUKA, MWINGINE AANDIKA BARUA ISOME HAPA
1 Reactions
62 Replies
17K Views
Back
Top Bottom