Ifike mahali wananchi waache kulialia na kuhitaji kila kitu bure. Hii nchi bado inajitafuta na hata kama tutajipata hatutaweza fikia azma ya kutoa huduma za afya bure.
Zahanati, Vituo vya Afya na...
Leo tare 27.1.2025 serikali imefunga vyuo vikuu vilivyopo Dar es salaam kupisha suala la "Mkutano wa wakuu wa nchi" 🤧 pamoja na shughuli zingine za kiuchumi zimesimamishwa.
Fikiria kwa wanachuo...
Habari zenu wanajamvi
Miaka sita (6) iliyopita nilichukua mkopo bank ya CRDB kwa dhamana ya utumishi na marejesho yakiwa yanakatwa moja kwa moja kwenye mshahara, moja ya masharti ya ule mkopo...
1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa.
2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit...
Jana (Ijumaa) nikiwa kazini Kuna saa nilikosa Kazi (zilikua zimeisha). Nikawazaa, ghafla mawazo ya maisha ya UYATIMA niliyopitia yalinijia.
Ni ndefu sanaa we somaa.!
Japo siwezi kuyaandika...
Wanafunzi wa Kidato Cha Tatu Shule ya Sekondari Businda Wilayani Bukombe Mkoani Geita, wamepoteza maisha katika msiba, huku wengine 82 wakijeruhiwa baada ya kupigwa na radi wakiwa Masomoni
Mkuu...
Haya ni makabila yenye akili, utajiri na maendeleo kede kede.
Ni jamii zilizo piga hatua kielimu na kibiashara kwa mbali sana.
Hivyo ni jamii zinazoonewa wivu wa wazi wazi na baadhi jamii...
Shikamoni Shimba ya Buyenze , Mshana Jr na Bujibuji Simba Nyamaume wengine wote hamjamboni?
Tofauti kidogo na Uzi wa mtaalam Kyambamasimbi hapa tutaangalia vijiji vizuri vyenye Amani, maziwa na...
Hili ni jambo la kusikitisha sana baada ya waalimu mkoani Mwanza kufanya mafunzo ya mtaala mpya bila Posho ya kujikimu wakiwa mafunzoni.
Fikiria serikali inatekeleza jambo kubwa kama hili halafu...
Wadau hamjamboni nyote?
Kwa heshima kubwa naombeni mnipatie majibu kupitia vyanzo sahihi kwa kuzingatia kichwa cha habari.
Je Pombe ni dhambi au ni haramu?
Je Pombe imekatazwa na Quran tukufu...
Salaam wakuu, kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano.
Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na...
Wakuu
mimi huwa ninaposoma iwe kitabu,uzi,gazet biblia nk
Kuna kasauti fulani hivi zinanijia za huyo muandishi yaan kasauti kanaongea ndani yangu kupitia uandishi wake
Na hilo nilifanya...
Kisa Changu Kiko hivi, Kuna mzungu aliniomba urafiki Facebook baada ya kumkubalia akaniomba namba ya Whatsapp. Tukaanza kuwasiliana ndani ya siku mbili tatu akaahidi kunitumia mzigo ambao ni simu...
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Halmashauri ya Mji Kibaha iliyopo Mkoani Pwani kupandishwa hadhi na kuwa Manispaa.
Uamuzi huo umetangazwa leo Januari 27...
Si lengo langu kukufuru au kuzodoa bali kutaka kujua. Ukiangalia namna walivyokufa au kilichotokea baada ya vifo vyao, unatia shaka uhalali wa dini za kimapokea. Yesu kifo cha kikatili cha...
Bunduki hizi watoto wanazoona Kila siku kwenye TV? Zikiua watu?
Vitoto vya darasa la Nne? Badala ya Kujibu mtihani kanabaki kuwaza mibunduki, pengine wanawaza watakufa?
Acheni mazoea ya Kijinga...
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemkuta na kesi ya kujibu aliyekuwa mke wa mfanyabiashara wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kwa jina la Bilionea Msuya, Miriam Mrita...
OK Mtamwachia sasa, huyu Dada wa Msuya yeye alichinjwa na nani? Watesi wa Marehem huyu wako wapi? Alijichinja Mwenyewe?
Ifike Mahali, madhaifu ya SHERIA zetu mbovu mbovu yasitumike kuondoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.