Ukosefu wa Maji Baadhi ya Wananchi Mtaa wa Luguruni Wilaya ya Ubungo
Tangu Februari 2024, baadhi ya wananchi wa Mtaa wa Luguruni tumekutana na tatizo la ukosefu wa huduma ya maji.
Tumeshajaribu...
Mimi Mkazi wa Mindu, Manispaa ya Morogoro jamani huku kwetu kuna kero ya maji mno licha ya kuwepo kwa bwawa lakini sisi hatuna huduma ya maji mpaka imekuwa kero inatulazimu kutumia maji ya kwenye...
Waziri wa Maji Juma Aweso alivyokuja alibadilisha uongozi kwenye idara ya maji hapa Morogoro na akasema maji yawe yanatoka hadi weekends kwa katikati ya wiki waweke utaratibu kama kutoka yatoke...
Geita, Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=vUhvYl7Mfww
Wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda, wilayani Bukombe wapoteza maisha huku 73 wakijeruhiwa nchini Tanzania
Tukio hilo...
“Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati, kupitia mpango wetu tunatarajia kuongeza kasi ya kuunganisha umeme nchini hadi kufikia 72% ifikapo mwaka...
Mungu alimuumba mwanaume kwa mfano wake, na sio MWANAMKE. Hivyo basi mwanaume ni kiumbe kitakatifu cha Mungu muumba na MWANAMKE ni kiumbe kitakatifu cha shetani, ndio maana nyoka aliweza kumtumia...
Mimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke (mtoni kwa Aziz Ally) nilishuhudia mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa...
Hali ya usomaji wa taarifa zenu za habari hazifanani na sifa mnayojipa, usomaji wenu vituo havieleweki kiasi cha msomaji kuishiwa pumzi.
Taarifa husomwa kimperampera yaani dakika sita mmemaliza...
Tafadhali ndugu Mavunde tusaidie sisi wakazi wa mtaa wa Chinyoyo kata ya kilimani tunateseka sana na ubovu wa barabara.
Kata ya kilimani ina mitaa mitatu, Uzunguni, Chinyoyo na Image! Cha...
Wakuu niaje?
Natumai mko poa...
Twende kwenye mada tajwa hapo juu... Je kuna uwezekano wa kumuabudu Mungu pasipo kuwa na mafungamano na haya madhehebu ya kidini?
Siku za hivi karibuni nimefanya...
Kama kichwa cha habari kilivyo!
Makondakta na Madereva wa dala dala Mbeya wanatoa lugha mbaya sana kwa abiria. Sumatra waelimisheni abiria haki zao ndani ya dala dala acheni kushinda ofisini watu...
NOVENA YA MT RITA WA KASHIA YA SAA 15
MAALUM KATIKA SHIDA KUBWA(Sali Novena hii kila saa. Hadi ufikishe saa zote 15 bila kukatisha . Saa 15 za Novena hii hukumbuka miaka 15 ambayo Mt Rita aliishi...
Hivi inawezekanaje TBC1 kama Chombo cha Taifa kinatoa Kipaumbele kwa Saa zaidi ya Mbili (Masaa Mawili) Watangazaji wake kuonyesha Viongozi wa Mikoa (RC's) na Wenyeviti wa CCM Mikoa wakimsifia Rais...
Sijajua kwanini Watangazaji wetu tena nguli kabisa hawajaonekana wakifanya Kitu chochote Kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Nishati
Au hatuna Watangazaji nguli wa Kimataifa hapa kwetu?
Nimeshangaa...
Serikali ya Donald Trump imetambulisha sera ya bendera moja, ambapo bendera ya Marekani pekee ndiyo itakayoruhusiwa kupepea katika vituo vyote vya Serikali ndani na nje ya nchi zikiwemo ofisi za...
Yes, kwa maana hii competition ya AI itafanya intelligence kuwa na uwezo mkubwa wa kuweza ku dis-organize na re -organize kwa maana naamini AI it evolve kuwa kitu kipya then kwa kutumia ubunifu...
Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu,
Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha...
Nilikuwa katika pitapita zangu za kawaida pale Ubungo Kibangu, lengo likiwa kumtembelea rafiki yangu wa zamani ambaye tulisoma naye sekondari. Ni kijana wa miaka 28, mcheshi na mwenye kipaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.