Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

TANESCO zamani nguzo za umeme hizi za milingoti zilidumu hadi miaka 20 na kuendelea kwa sababu licha ya treatment ya kuchemsha kwenye dawa, ziada ilikuwa 1. Shimo la kusimikwa nguzo kulimiminwa...
2 Reactions
5 Replies
229 Views
Habari ndugu zangu, Wana jukwaa wenzangu hasa tunaoishi ndani ya Jiji chafu kuliko yote nchini, Jiji la Mbeya Naomba leo niwape angalizo kidogo hasa sisi wenye Watoto ambao ni Wanafunzi, tujaribu...
3 Reactions
51 Replies
1K Views
Msikilizeni mtaalam ninyi wenyewe https://www.facebook.com/reel/4051466028406815
0 Reactions
4 Replies
163 Views
Kufuatia andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Nyegezi Jijini Mwanza kudaiwa kuwa ni duni, kisha kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa...
0 Reactions
0 Replies
215 Views
Mliokimbizwa kea nguvu na mliokimbia kwa hiari karibuni tena.. Najua mlipamisi sana hasa pale kati.. Leo mitaa ilikuwa tupu na barabara hasa za kuelekea na kutoka Airport ilikuwa raha tupu Hakuna...
6 Reactions
37 Replies
904 Views
Orodha yake sikii kaicopy wapi ya nchi ambazo raia wake watatimuwa Marekani. Hii atajuwa ka copy mahali na hajiulizi, anacopy na anaweka watermark yake kana kwamba kaandaa yeye kumbe kacopy tu mahali.
4 Reactions
12 Replies
437 Views
Kama ungelikuwa Rais wa Congo DRC, ungeweza kuifanya hiyo nchi kuwa na amani? Naamini suluhisho la Congo DRC lipo kwa Wacongoman wenyewe! Lakini hilo wataweza kulifikia kupitia viongozi wao, kama...
1 Reactions
15 Replies
391 Views
Mind you, hamas imekuwa ikitumia kondomu zilizojazwa heliamu kuelekeza mabomu kupitia mpaka wa Israel ili kufanya madhara.
0 Reactions
4 Replies
267 Views
Hili sakata linaloendelea la Rais Donald Trump kutishia kufuta misaada iliyokuwa inatolewa kwa Nchi Maskini hasa afrika imezua kasheshe. Hata hivyo wananchi ktk mataifa mbali mbali yaliyoko...
1 Reactions
6 Replies
265 Views
Mimi sio msomaji mzuri wa Biblia lakini nikipata muda kidogo huwa natulia kusoma baadhi ya vitabu vya Biblia. Leo nimesoma kitabu cha Matendo ya mitume kinachozungumzia maisha na matendo ya...
2 Reactions
4 Replies
208 Views
Imekuwa ni kawaida kwa wale wateja ambao matumizi yao kwa mwezi ni chini ya 75 units kuwekwa kwenye tariff zero (yaani huyu mtu kwa takribani 9600/= anajipatia units 75); Sasa kuna wadau kama...
3 Reactions
30 Replies
1K Views
8 things you should never, ever reveal about yourself, according to psychology There’s a fine line between being open and oversharing. Over-sharing can sometimes place us in vulnerable...
1 Reactions
5 Replies
436 Views
Yaani kila mwanakijiji au kama tukiamua wote wawe Tariff Zero kila mwenye Mtungi wa kujaza elfu 25 akienda kununua huyu wa umeme anasave elfu 16 au kwa maana nyingine ni kama mwenye umeme...
3 Reactions
11 Replies
655 Views
Kutokana na mkutano wa nishati wa viongozi wa Afrika barabara zikafungwa, kazi zikasitishwa, wanafunzi wakasalia majumbani. Tukayaficha matatizo ya jiji la Dar es salaam kwa muda. Ingawa nayo...
3 Reactions
0 Replies
243 Views
Wakuu kheri nyingi kwenu nyote. Tuanzie hapa. Miaka kadhaa iliyopita hapa kazini ulikuja uongozi mpya wa wazungu kuanzia ngazi ya gm,super hadi kwa foreman. Hawa wazungu walikuwa wametoka...
23 Reactions
137 Replies
2K Views
Jamani, Jamani Wapendwa wa humu narudia tena, Chana au haribu kabisa tiketi au karatasi yoyote yenye taarifa zako sahihi kwa usalama wako. Niko hapa Police Kimara, rafiki yangu wa kiume...
57 Reactions
183 Replies
5K Views
Wengi hawamjui cheetah ni yupi Haswa. leopard ni yupi ?, na jaguar ni yupi ? Kutokana na ufanano wao wanyama hao tofauti watau wanafananishwa sana ! Hanatofautiana katika asili yao, namna yao ya...
1 Reactions
9 Replies
291 Views
Hawa majamaa Wana roho nzuri Sana kwanza katika biashara wanauza bidhaa zao kwa Bei nafuu kuliko Wafanyabiashara wengine Kingine wapemba Ni wakarimu Sana wanapenda ufanikiwe Wana ushauri mzuri...
11 Reactions
91 Replies
12K Views
Salaam Aleykum ndugu katika imani, Nilisikiliza hii kauli ya mheshimiwa RC Dar Chalamila ikabidi kwanza nitafute hao uduvi wanaoongelewa hapa ni kitu gani, nikagundua uduvi ni dagaa wa kamba wale...
0 Reactions
8 Replies
533 Views
Safari yangu ilianzia Mwanza to Kigoma, then Kigoma to Dar... Saa 12 asubuhi nilifika stand ya Nyegezi nikapanda gari moja maarufu linaitwa adventure, Mwanza kwenda Kigoma yapo magari maarufu...
55 Reactions
163 Replies
17K Views
Back
Top Bottom