Akili ya mwafrika ninaijua vizuri utafikiri Mimi ndio nimewaumba waafrika.
Waafrika watasema:
" Ooh! GeorDavie anachukua nyota za watu anao wasaidia ndio maana kila akiwapa magari wanapotea...
Dar es Salaam. Shahidi wa 16 katika kesi ya mauaji inayomkabili Miriam Mrita, mjane wa aliyekuwa mfanyabiashara tajiri maarufu wa madini mkoani Arusha, marehemu Erasto Msuya, maarufu kama Bilionea...
Gari la Polisi lililodaiwa kutumiwa na washtakiwa wa kesi ya mauaji ya mfanyabiashara wa madini, Mussa Hamis kwenda katika kituo cha Polisi Mitengo Mtwara na kisha kuondoka na mtu aliyebebwa...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Yustino John Mgonja ameieleza Mahakama Kuu Kanda ya Mtwara namna mfanyabiashara wa...
Wakati ambao zimekuwa zikiripotiwa taarifa za uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali nchini lakini inashangaza bado inashuhudiwa uwepo wa masuala ambayo yanaweza kuchangia na...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Emmanuel Tutuba amesema kuwa Noti Mpya za Tanzania zenye Saini ya Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb) na yeye mwenyewe, za toleo la mwaka 2010...
Ni kama Scenario ya Mgahawa..., kuna wateja wamekuja kuburudika sisi kama dunia (wenye mgahawa) kwa busara zetu tunajua wateja wote ni wafalme.., sasa kuna huyu mteja mmoja analeta sintofahamu...
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa na mpendwa wako
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kama motisha wa kufanya vizuri zaidi
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa wito kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kumchukulia hatua za kinidhamu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert...
Vijana Wapiga Kambi viunga Vya Uwanja wa ndege wakisubiri kuwasili Kwa Rais wa Burkina Faso Captain Ibrahim Traore
Vijana hao wanadai kumpungia tu mkono Captain Ibrahim Traore ni Baraka kubwa...
Sasa mm nimeamuaa kuja na wife wangu nyumbani kama nilivyosema awali nina mke mkenya sasa nataka nije nae home jee nitatakiwa kufuata taratibu gani ni mjamzito tayar
Ushauri wangu kwa Rais wa Tanzania Dkt. Samia ampe tena kazi Prof Anna Tibaijuka kwasababu ana uzoefu mkubwa sana wa masuala ya utumishi akili kubwa kama hii isistaafu mapema
Prof Tibaijuka ana...
TANESCO Chanika, Ilala tunaomba ufafanuzi wa kwanini umeme unakatika sana Chanika mwisho pale eneo lote la Stand ya Mbagala
Nina shangazi yangu anaishi Chanika mwisho anadai umeme unakatika sana...
Wakuu nataka niwekeze humu kwene piki piki.
Nahitaj kumiliki vyombo vya moto kwa kuanza na pikipiki moja.
Nataka nipate mkataba ambao utaniwea rahisi na unaombana mwendeshaji kuweka nidham ya...
Naombeni Ushahuri, Nnamdogo wangu kapata fursa ya Kusomea Locomotive Driver (Dereva wa Treni) uko Tazara ambapo wataenda somea Huko Zambia kwa muda wa miaka Miwili chet kilichotumika ni cha Form 4...
Tafiti hupingwa kwa tafiti.
Kenyan Doctor exposes World Health Organization’s dark agenda to depopulate Africa through vaccines.
==========================
29/01/2025...
Usalama wa Taifa ni pamoja na Utulivu wa Raia wake.
Kiukweli kabisa Huwa Nashangaa hii Nchi yetu vipi?
Trump kajitoa WHO, taarifa na vumi mbalimbali kuhusiana na upatikanaji wa ARVs zinazunguka...
Wiki mbili zilizopita nimepata msiba wa kuondokewa na mzazi wangu wa kiume yaani Baba.
Kupitia issue hii nimejifunza mambo Mengi sana.
: Rafiki wa kweli siye unayeishi naye sasa.
: Sio kila...
Huko Marekani kuna uhaba mkubwa wa mayai, kama huna buku mbili huli yai moja. Msemaji wa serikali ya Trump anasema ni kwa sababu ya utawala wa Biden kuua kuku milioni 100 na sera zake mbaya za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.