Hatma ya mtoto wako ipo mikono mwako!
Huyu mtoto ameniacha hoi! Ebu chukua picha ndo mtoto wako mwenye miaka mitatu anatema vitu namna hiyo?
The whole purpose of education is to turn mirrors...
Hapa kuna orodha ya dini kubwa zaidi duniani kwa mujibu wa idadi ya wafuasi wao:
1. Ukristo: Ukristo unajumuisha madhehebu mbalimbali kama vile Wakatoliki, Walutheri, Waanglikana, Wapentekoste...
Ikitokea umebananishwa na umekutana na mojawapo wa wanyama hawa wakali Fanya haya kujiokoa
1 Simba
Huyu ni mnyama mkali sana
Ukikutana na Simba porini panda mti, au jiamini mtizame na uanze...
Waswisi ni wezi werevu, wanaishi kama peponi kwa pesa za wezi na kuhalalisha wizi wao wamejitungia sheria za kujilinda na kubariki wizi huo.
Wana mabilioni ya dola wanayafanyia biashara na...
Juzi kuna msanii amechoma Gari .
Lakini huyu msanii anaonekana siku za kuishi zimeisha na anaumwa magonjwa ya kimwili na akili Saikolojia .
Niltegemea familia yake imtafute na kumpeleka katika...
Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) na nchi ya Burundi leo Januari 29, 2025 zimesaini mkataba wa ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR yenye urefu wa kilomita 282 kutoka Uvinza...
Kuna mambo ambayo tunayafanya sisi Ngozi nyeusi yanatatiza sana hadi unabaki na maswali hivi hili limefanywa na binadamu mwenye akili sawasawa kweli?
Kuna visa kadhaa wa kadhaa ambavyo nimewahi...
Hakika mwalimu alishinda vita ya kijamii, sidhani hapa Africa ana mpinzani katika social policies ambazo hadi leo tunafaidika nazo.
Sidhani hii leo kuna kiongozi anaweza akawa honest kuwa...
RIPOTI kutoka Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili, Mirembe imeeleza kuwa mfanyabiashara Khamis Luwonga (38) anayetuhumiwa kumuua mkewe Naomi Marijani na kumchoma moto kwa kutumia magunia mawili ya...
Ukitazama ramanj vzr ya tanganyika utaona kabsa kuwa Rwanda na Burundi imo ndai ya tanganyika kbsa lkn ajabu Ni nchi zinazo jiitegemeaa
Sasa kwani mwalimu hakuona haja tuwe taifa moja badlaa...
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) amekutana na Rais wa Nigeria kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Taasisi...
Kuna hiki kikundi wanajiita wanatoa mkopo kwa kupitia MO DEWJI Foundation na wanatumia nyaraka za Mo dewji kinyume na sheria na wana kila kitu hadi leseni za biashara na namba zao za mawasiliano...
Habari wakuu, naamini huku JF kuna watu wengi wengine tuna kipato cha kawaida cha maisha ya mtanzania, wengine hatuna chochote zaidi ya kumiliki smartphone kwa ajili ya kureply matusi na...
Marekani baba lao. Baada ya Trump kuanza kuwarudisha makwao waamiaji haramu na kusitisha misaada ya bure kupitia USAID na kujitoa WHO, dunia nzima inalia na kumlalamikia Trump kuwa sio mtu! Kila...
Amani kwenu watumishi wa MUNGU
One Man down again
Ni denzi kinoma huyu chali ya chuga
He rest down because of love
MUNGU MWENYEZI awatie nguvu wana familia
LONDON BOY
Utafiti wa Viashiria vya UKIMWI wa mwaka 2022/23 unaonesha kuwa, kiwango cha maambukizi katika Mkoa Njombe ni 12.7% kiwango hiki kimeongezeka kwa 1.3% ukilinganisha na 11.4% ya utafiti uliofanyika...
Kuna rafiki yangu fulani amenithibitishia kuhusu ndugu yake aliyepona VVU baada ta kunywa dawa ipo kama chai alienda magomeni ama clinic yake kwa dokta anaitwa tr msigwa hata youtube video zake...
Baba Mtakatifu Fransisko ameridhia ombi la kustaafu Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa wa Jimbo la Iringa, na kumteua Padre Romanus Elamu Mihali wa Jimbo la Mafinga, kuwa Askofu mpya wa Jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.