Kuna changamoto kubwa katika ufundishaji wa hii part ya chemistry ukitaka kujua chemistry ni rahisi sana hata kwa mjinga kufauku bila kusoma na kuelewa kwa sababu wengi Wana kalili sana, tatizo...
Awali, Mdau wa JamiiForums.com aliandika kuwa Walimu wa Halmashauri ya Arusha wanatarajiwa kupewa mafunzo kwa ajili ya mitaala mipya ya Kidato cha Kwanza kwa malipo ya Tsh. 3,000 kwa siku ikiwa ni...
Kumekuwa na mijadala mingi isiyokuwa na Afya kwa masuala ya Dini humu majukwaani. Tatizo la hiyo mijadala ni watu kuleta mada ambazo ni porojo bila ushahidi wowote huku wakiaminisha watu kuwa ni...
Naomba kuwasilisha kero kwa Mamlaka zinazohusika kwani madarasa ya Shule ya Sekondari Teule ya Kigoma Ujiji katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji yanavuja jambo linalowapa shida...
Habari za muda huu
Sisi kama wanafunzi wa digrii tuliomaliza chuo mwaka Jana 2024 katika chuo kikuu TEOFILO KISANJI tunamalalamiko juu ya kile uongozi wa chuo unavotufanyia watahiniwa wake...
Binadamu Mungu ametupatia karama kubwa Sana na tofauti Sana.
Mimi huwa nikimtamkia mtu mema lazima yatokee.
Mfano Mimi ni Jobless sijapata Ajira Ila mpaka sasa nimewatafutia wengi sana Kazi na...
Habarini Wana JF,
Leo mwanangu katoka shule jioni,Ananiambia baba waalimu wamesema kesho twende na Hela ya Nembo kwenye Soksi!Najiuliza maswali,kama ni utambulisho wa mwanafunzi,nani anamacho...
Huwa napata shida sana tangu niko mtoto na hii inaniumiza sana binafsi mm Siamini dini yeyote kati ya ukristo wala uislamu sasa hivi mnaavyosema ety Jerusalem maka na madina ni miji mitakatifu...
👉Mimi binafsi sikumpenda Trump tangu mwanzo si sababu ya chuki hapana ajenda zake si nzuri kwavwatu weusi toka mwanzo. Trump kabla hatujaelekea uchaguzi alitamka kauli ya kwamba "atahakikisha...
Nimeota tumeenda nyikani mi na rafiki yangu mmoja ambaye simkumbuki vizuri ila nakumbuka kama alikuja kunipitia ninapokaa
Tukaenda porini/nyikani mbali kidogo na tunapoishi mara tukawaona sungura...
Leo nawaletea kisa hiki cha mjomba angu aliyewahi kuwa kiongozi wa ukoo katika koo moja ya
Wanganyitaka waliopatikana NGANYITAKA.
Haikuwa rahisi yeye kuwa kiongozi katika katika koo hiyo ila...
Habari zenu wadau.
Nilikuwa nataka kumtumia mtu hela kupitia NMB MOBILE APP.Bahati mbaya nimekosea namba yake ya mwisho ya account na hela imeenda kwa mtu mwingine (nilikuwa busy sikuzingatia...
Jicho la tatu ni chakra ya sita kati ya chakra saba katika mwili wa binadamu
Ukiweza kufika kituo hiki cha Nishati basi utakuwa na uwezo mkubwa wa kiroho na kupata maono na utambuzi wa mambo...
Hii sasa imekuwa too much wananzengo Yani katika wiki Moja kupata umeme wa uhakika labda ni siku tatu! "what a shame to authority"
Jamani mnaohusika oneni aibu hii sio sawa kabisa mnazingua sana
FISI
MAMBA (Maeneo ya Ukerewe)
BUNDI
NYOKA
PAKA
NYUKI
PANYA
Ni siri gani hio ya kiroho inayounganisha viumbe hawa katika utekelezaji wa uchawi au ni stori tu za vijiwe vya gahawa?
Katika harakati za kutafuta maisha niliamua kwenda kusaka maisha kanda ya ziwa,sitataja mkoa.
1. Mtu akifa katika eneo lenu kuna mtu anapita na spika kuwatangazia,kuna daftari la wananzengo...
Ukienda mjini leo, unaweza kuhisi ni sikukuu au mwisho wa juma (weekend), baada ya barabara kufungwa kutokana na ugeni wa marais na viongozi mbalimbali wanaoshiriki mkutano wa kimataifa wa Nishati...
Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa...
Kutoka kwa kijana machachari Abi ahamed Jiji la Adis Ababa limegeuzwa kuwa jiji la kimataifa kwa kuliwekea international standard
Abiy anadai Lengo ni kuifanya Adis ababa kitovu cha usasa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.