Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa wasilisho kuwa kuna changamoto ya kukosekana kwa vifungashio vya dawa na hivyo inakuwa kero kubwa kwa wanaoenda kupokea kwa kuwa zinakuwa hatarini...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Kuvaa nguo zisizo za heshima ni moja ya sifa za wanamuziki wetu. Wote tumeona na tunaangalia TV chanel zetu za ndani. Siyo vyema kusimulia zaidi kinachoonekana kwenye miili ya wanamuziki hao...
1 Reactions
1 Replies
178 Views
Watu wa Mikoani kama mnavyotuita tumepata Media kubwa kutoka Singida, ambayo Kwa Sasa inakamata pande zote Tanzania Umeajiri watangazaji maarufu na wana vipindi Bora sana Za chini ya kapeti ni...
3 Reactions
48 Replies
2K Views
Juzi kati nilikuwa Tabora, Kata ya Goweko, Kijiji cha Kamama niliendea kumtembelea ndugu yangu wa karibu pande za Uyui mkoani hapo, kuna kitu ambacho nilikiona na nikajiambia hii sasa ni hatari...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna kipindi ilishawahi Azam cola kushtakiwa kwa sababu kutumia neno Cola sababu wenye Cola waliona ni neno lao. Hili jambo la sukari ni kama monopoly business ambayo haitaki mwengine kuanzisha...
2 Reactions
3 Replies
807 Views
Uchafuzi wa mto Goba unaweza kuonekana kutoka angani. Hamuamini? Angalieni picha zilizo chini. Zinaonyesha picha za satelaiti za mto Goba. Kati ya 2018 – 2021, kulikuwa hakuna maeneo makubwa ya...
6 Reactions
18 Replies
939 Views
Habari wanandugu, Nianze kwa kusema kuwa niipongeze serikali kwa nia nzuri iliyonayo ya kupitia na kupanga upya viwango vya mishahara kwa wafanyakazi wa kada zote. Kwa muda mwingi tumeshuhudia...
13 Reactions
257 Replies
23K Views
Anonymous
Shule ya ,singi Vikunai iliyopo Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam kuna changamoto kubwa Wanafunzi hawana madawati baadhi wanakaa chini. Shule pia inabebesha wazazi mzigo wa kutoza Tsh 500...
5 Reactions
25 Replies
554 Views
Binamu wanaoana..... Watoto wa baba mkubwa na mdogo wanaoana. Zanzibar limetamalaki sana hili. Yote hayo mimi yamenishinda; yaani nikamuoe mtoto wa baba mkubwa/mdogo? Damu yangu? Nimeshindwa...
18 Reactions
200 Replies
12K Views
Wakuu mpo vizuri? Nimeajiriwa recently na kiwanda fulani cha wachina, wanatengeneza bidhaa fulani ambayo ni very fast moving na ni bidhaa pendwa kwenye society yetu ya kitanzania. Kwa kweli toka...
16 Reactions
47 Replies
2K Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, ameagiza ujenzi wa kituo cha kuwashikilia wahamiaji katika Kituo cha Guantanamo Bay, ambacho alisema kitakuwa na uwezo wa kuhifadhi hadi watu 30,000. Alisema kituo...
1 Reactions
8 Replies
534 Views
Wakuu kwema? Twende moja kwa moja kwenye mada. Huduma ya Bolt ukititokea unataka kuwasiliana nao labda umepoteza kitu au una malalamiko kwenye huduma yao, hakuna chaguo la kuwapata moja kwa moja...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Cuthbert Sendiga akikata keki ikiwa ni ishara ya kumbukizi ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan iliyofanyika Kiteto...
0 Reactions
4 Replies
149 Views
Habari Wana jukwaa la JamiiForums, leo nimekuja na jambo hili linalowahusu hawa Wafanyabiashara wa Samaki katika masoko ya Soweto na Uyole jijini Mbeya. Baadhi ya hao watu hawajali kabisa afya za...
3 Reactions
50 Replies
1K Views
Kuna Shule ya Msingi Irunda ipo Kata ya Ngoma Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza inakabiliwa na upungufu wa madawati ambapo karibu nusu ya Wanafunzi hulazimika kusoma wakiwa wameketi sakafuni...
2 Reactions
36 Replies
1K Views
Anonymous
Shule ya Msingi Kitonga iliyopo kwenye Halmashauri ya Jiji Dar es Salaam (Ilala) iliyopo Kata ya Msongola, Kitonga ina Wanafunzi zaidi ya 4000 ambao wanatumia madarasa 13 huku wakitegemea Walimu...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Ila wabongo, aya bwana.
24 Reactions
139 Replies
4K Views
Hodi hodi JF Wakongwe tumeamua kurudi JF, vitoto vya 2000's mtupishe. Ngoja niifufue na ID yangu ya wakati JF inaitwa Jambo forum. Uzi tayari toka kwa wazee wenu wa JF. 😀😀😀😀
2 Reactions
6 Replies
228 Views
BAADHI ya wazazi katika Kata ya Kivule, Ilala - Dar es Salaam wametupia lawama Shule ya Msingi Anex, Serengeti na Kivule kwa madai ya kuwatenga, kuwanyanyapaa wanafunzi ambao wazazi wao...
1 Reactions
1 Replies
169 Views
Back
Top Bottom