Usafiri wa mwendokasi unazidi kuzidiwa nguvu kila siku.
🥲 kwa nini wasipunguze adha kuwa kuleta ata 20
Leo kuna mtu kamshika mwenzie shingo akijua ni nguzo
Mwendokasi
Mwendokasi
Mwendokasi...
Gharama ya kuungiwa umeme kwa wakazi wa vijijini ni shilingi elfu 27 tu (27,000). Lakini kwa wakazi wanaoishi mjini gharama yake ni Laki tatu na arobaini na moja elfu (341,000)- Mh. Jones Olutu...
Kidunia, kutokana na maendeleo, sayansi na teknolojia, ongezeko la ukwasi wa vitu yamewafanya watu kuwa na maswali mengi kuliko majibu kumekuwa na mahitaji makubwa sana ya kuelewa zaidi ya kile...
wananchi masikini wanahangaika ila mabeberu wapo bize kununua magari ya milioni mia nne ++ wakiendelea kula rushwa na kurundika madeni nchini, mwisho wa siku wanaachia ngazi na madeni yakushiba
Barabara ya kutokea Mvuha kupitia Kibungo Chini Mission kuja mpaka kutokea eneo la Mikese imekuwa kero kwa kila raia anayeitumia, na ajabu ni kuwa barabara hii imekuwa hivi kwa muda mrefu na...
Ipo hivi wakuu Kuna Jamaa nilimuamini sana maana niliunganishwa na rafiki yangu yani rafiki yake na rafiki yangu katika kumsaidia katika kazi!?
Siku ya alhamisi akanishtua huyo rafiki yake na...
Wakuu this is my story.
Jamii tunayoishi bado haijafunguka na kuifungua akili mpaka mwisho wake. Kuna watu mpaka leo hii wanazichukulia powah course za online.
Mimi ni graduate wa shahada...
Shule ya Sekondari Reginald Mengi yapokea vifaa vya tehama
Ofisi ya Mbunge Jimbo la Moshi Mjini imeendelea kutekeleza ahadi zake na kutatua kero mbalimbali za Jimbo kupitia Serikali Kuu...
Hakuna jambo linaondoa UTU WA MTU kama hichi kinachoitwa uchawa,Uchawa ndani yake umeficha maovu,umeficha ukweli,umeficha uzalendo na umeficha uMungu,kwa tafsiri ya chawa ni mtu aliyetayari...
Mwandishi: Dokta. Mungwa Kabili….0744 000 473
Nimekuwa nikipokea barua pepe kutoka kwa watu mbalimbali, wakitaka kujua masuala mbalimbali kuhusu ulozi, uchawi na jinsi ya kujikinga dhidi ya uchawi...
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia mwezi June mwaka huu 2024, deni la Serikali liliongezeka na kuwa Tsh. bilioni 96,884.18 (Tsh. trilioni 96.8) ambapo Kati ya...
Wakuu nipo Venue hapa kuna MTU anasoma nyuzi za Robert Heriel na kujifanya ni za kwake huku akijisifu.
Hakika JF sasa ni zaidi ya chuo.
Hivi wanafunzi wa masters utawadanganya kirahisi hivi!
Hapa nawajibu wale wenzangu na Mimi, ukiona mtu anakueleza anapata faida fulani kwenye biashara fulani ujue hiyo biashara alishaacha kuifanya kitambo.
Biashara ni Siri kubwa na faida za biashara...
Kuna wakati tunaingia kwenye ugomvi na watu kwasababu ya kushindwa kusema hapana
Na Kuna wakati tunaingia kwenye magumu ambayo hatuku paswa kuya pitia kwa kushindwa kusema hapana
Unapo shindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.