Mbunge wa Jimbo la Nyasa, Mhandisi Stella Manyanya, ameonesha masikitiko yake bungeni baada ya kuuliza swali mara tano kuhusu changamoto ya upungufu wa wodi katika Kituo cha Afya Kiyagara, bila...
Hatimaye bunge la Iraq limepitisha rasmi sheria ya ndoa kuwa miaka 9.. Kwamba mtoto wa kike akifikisha miaka tisa basi ni ruhusa kuolewa
Ndoa ninini!? Wengine watakwambia ni ndoano.. Lakini ndoa...
Mkuu wa zamani wa jeshi la Rwanda na Waziri wa Usalama wa Ndani Jenerali Patrick Nyamvumba amewasilisha hati zake za utambulisho wa kidiplomasia leo kama Balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania...
Mpaka mwisho wa hii dunia hatutapata suluhisho; unless igunduliwe chanjo au dawa. Kinyime cha hapo dawa ni hiyo niliyowapa, ila mpango huu unahitaji ujasiri kuufanikisha, Rais legelege hatoweza...
Kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu, nimesikia na kuona ugonjwa wa kipindupindu kushamiri wakati au majira haya ya kiangazi.
Hahahahahahahaha, kwanza inachekesha, lakini pia inahuzunisha...
Habari Ndugu zangu? Naitwa Lugete Mussa Lugete mchambuzi wa siasa za Kimataifa, Mwanahistoria na Mwanamajumui wa Afrika.
Nachukua nafasi hii kuwapongeza wasomaji wangu wote kwa sababu Barua yangu...
Madereva 47 kutoka Tanzania, ambao walilia msaada kutoka kwa wanajeshi wao huko Congo (TPDF), waliokolewa na kusaidiwa na M23. Kisha walisaidiwa kuondoka katika eneo la vita na kukimbilia Rwanda...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amepita baadhi ya maeno Jiji la Dar es Salaam kujionea namna Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Usalama wanavyotekeleza majukumu yao...
Inaingia wiki ya tatu sasa wakazi wa Kimara hawajui kitu kinachoitwa maji , na wala hamna taarifa wala maelezo yoyote ambayo yanatolewa na mamlaka husika.
Meneja umetulia ofisini una sign posho...
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama akikagua mabanda ya hospitali maalum zilizotengwa kwa ajili ya kuhudumia wageni wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)...
𝗝𝗔𝗣𝗔𝗡 𝗜𝗠𝗘𝗥𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗙𝗜𝗧𝗜 𝗞𝗨𝗨𝗠𝗕𝗔 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗗𝗔𝗠𝗨
Dunia na maajabu yake!! 👋
Nchini Japan mwaka 2019 waliweza kupitisha Utafiti kwa kuweza kuwaruhusu Wanasayansi kuweza kuumba Wanadamu.
Mfumo huo...
Ni ajabu kuona Afrika kuwa ni bara lenye rasilimali nyingi, tukiwa na ardhi yenye rutuba, madini, mafuta, na nguvu kazi kubwa ila masikini upande wetu Mungu katunyima viongozi wenye kujua waafrika...
Mkuu wa Mkoa wa Songwe Daniel Chongolo amewataka Vijana kutotumia fedha wanazokopeshwa na Halmashauri kulipia mahari badala yake wafanyie shughuli za maendeleo akieleza kuwa Wanawake wamekuwa...
DAWASA wamekuwa hawatutendei haki wakazi wa maeneo ya Kifuru kwa ukosefu wa maji kwa muda mrefu, na mbaya zaidi hakuna taarifa yoyote ya sbb za ukosefu wa maji.
▪️Ampongeza Rais Samia kwa kwa maono ya kukuza sekta ya Madini
▪️Avutiwa na aonesha utayari wa kusaidia VISION 2030
Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN)
Mhe Amina Mohamed ameipongeza...
Hii nchi ina vijana wa hovyo, na wazee wa hovyo pia wapo.
Mama yake mzazi anamwita bimkubwa, bimdashi, mazeri lakini mama wa wengine ndiye anamwita MAMA, anajua mpaka tarehe ya kuzaliwa ya mama...
Malamba Mawili Msikitini hakuna maji bombani kwa miezi miwili, DAWASA ukiwapigia wanajibu wamepokea taarifa wataiwasilisha sehemu husika inaishia hapo, ukipiga tena wanakuuliza taarifa mpya kabisa...
Tatizo la maji lilikuwepo kwa muda mrefu baadaye mwezi wa 6 yakarejea yakawa yanatoka kwa wiki mara moja, sasa ni mwezi na siku bila hata tone shida nini? DAWASA mbona mnapenda kutuvuruga akili...
Wakazi wa mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino) tumekosa maji toka July 2023, DAWASA hawatoi majibu ya kuridhisha.
Na si mbali na ofisi za Mkuu wa wilaya ya Ubungo lakini hakuna utatuzi wowote wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.