Naomba kuwasilisha kwenu Wakuu.
Namtafuta Mama yangu nahisi kuna asilimia nyingi zisizopungua 95 huyu Mama ninaehisi ni Mama yangu Mzazi sio Mama yangu Mzazi halisi, kuna kitu kinaniambia kabisa...
Bado tuna majibu mepesi mepesi na ya kisiasa kuhusu suala la kununua umeme toka Ethiopia. Kwanza tuliwauliza kama sisi tuna transmission losses kubwa kupeleka umeme mikoa ya kaskazini, Ethiopia...
App haifunguki
Simu hampokei
Wengine hatupo karibu na na hio mikoa yenye ofisi zenu, sasa tufanyeje? Mnakuwa utafikiri ofisi kinda wakati mna experience ya muda mrefu.
Wadau wa JF kila nikisoma biblia sioni hule uzito wa utukufu anaopewa Yesu kuwa ni Mungu, mazungumzo yake mengi anarejea kwa kumtaja baba yake ambaye ni baba yetu, mungu wake mungu wetu pia, ata...
Na Thadei Ole Mushi.
Walimu wa nchi hii asilimia 90 uliwaambia kwa nn Viongozi wa CWT huwa wanapigana wenyewe kwa wenyewe hawawezi kukuambia na wala hawajui chochote.
Nataka leo usijiulize...
Kabla ya kuufichua huo utapeli, hebu tuwasikilize kwanza hawa manabii feki:
Nabii XXL: Aisee, hizi sadaka tunazopata hazitoshi kununua ndege, na kutufanya tuishi maisha ya kifahari. Naomba tubuni...
Wakuu,
Disclaimer🫢 Hapa hatuongelei pesa madafu
Kuna mtu alisema ameenda kwa rafiki yake akakuta wana pump ya mafuta kwao🤣🤣🤣🤣
Yaani mambo za kwenda sheli si habari zao. Wanamaliza tuu hapo...
Watu wenye IQ kubwa mara nyingi huonyesha tabia fulani zinazowatofautisha na wengine.
1. Udadisi wa hali ya juu – Wanapenda kuuliza maswali na kutaka kujua jinsi mambo yanavyofanya kazi.
2...
Tarehe 15, Machi, wikiendi hii, Pendekezo la Ustaarabu Duniani litatimiza miaka miwili tangu lilipotolewa na rais wa China Xi Jinping. Katika kipindi hicho, kutokana na kanuni zake za kusisitiza...
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini?
Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
Mwigizaji Joyce Mbaga (32) maarufu kama 'Nicole Berry' leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni Jijini Dar es salaam amesomewa mashtaka matatu ikiwemo kuendesha genge la uhalifu na kupokea...
Swali kuhusu "maisha baada ya kifo" ni swali la kifalsafa na kidini ambalo limekuwa likijadiliwa kwa karne nyingi. Jibu linategemea sana imani na msimamo wa kila mtu. Hapa kuna baadhi ya mitazamo...
Habar wana Jf
Kwa kipindi kirefu huwa naiwaza sana hii ndoto yangu na jinsi gani nitaweza kuifikia
Niende moja kwa moja kwenye mada bila kupoteza muda.
Mimi ni kijana wa kitanzania nina...
Mada maalum ya uzao wa Afrika ambao haufahamiki sehemu kubwa ya dunia.. Ni picha na habari kwa niaba ya FB na mitandao mingine
SIRI ILIYOFICHUKA KUHUSU MILLI VANILLI.
MILLI VANILLI ni kikundi...
Udaktari tiba ni fani nyeti na ngumu sana lakini cha kushangaza daktari anapata salary ya Tsh.1,500,000 gloss hukuhandisi wa Civil pale TANROADS(case study) anapata 2,000,000
Clinical...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.