Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema. Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga. Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa...
27 Reactions
725 Replies
44K Views
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna...
108 Reactions
2K Replies
150K Views
Hivi karibuni kupitia mitandao ya kijamii kulizagaa taarifa kuwa Shule ya Msingi National Housing iliyopo Manispaa ya Ubungo Jijini Dar es asalaam inauzwa, kiasi cha kuzua taharuki miongoni mwa...
0 Reactions
5 Replies
626 Views
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Hassan Bomboko amekanusha taarifa zilizozua taharuki mitandaoni kwamba Shule ya Msingi ya Ubungo National Housing ambayo ni ya Serikali, imeuzwa kwa Wawekezaji. Akiongea...
2 Reactions
5 Replies
380 Views
Wiki iliyopita siku ya Jumamosi, Watoto waliporudi nyumbani walileta taarifa ya kushtua kuwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing (NHC) inauzwa, na wazazi tunahitajika kufika shuleni leo...
12 Reactions
63 Replies
3K Views
Wakuu heshima yenu. Maandiko Yako wazi yanatuambia kuwa Shetani au Ibilisi aliasi huko mbinguni na akatupwa Duniani. Na mara zote tunaambiwa Huko mbinguni hakuna dhambi maana wanaishi viumbe...
8 Reactions
62 Replies
2K Views
Ni weekend nyingine ya mwezi wa pili mwaka 2025 inaishia.. Wenye kazi zao wako kwenye maandalizi ya kuwahi kesho kazini.. Tusio na kazi kesho ni siku nyingine ya upweke na simanzi nyingine..😪...
13 Reactions
319 Replies
2K Views
Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo...
3 Reactions
10 Replies
510 Views
Salaam JF. Nilikuwa naomba uzoefu wenu wanaJF, hasa katika hizi dawa wa wanazotumia wezi kuwaibia raia wema kuwapulizia madirishani wakati wa usiku wanapolala. Kwanza nilikuwa nataka kufahamu...
28 Reactions
366 Replies
115K Views
Wakuu mambo si mambo.. Watu na wadau wakubwa wa mtandao wa X zamani Twitter, tumepata shambulizi ambalo hata Elon Musk anakiri hajawahi kupata ama kuona shambulizi kubwa kama Hilo la kimtandao...
18 Reactions
56 Replies
2K Views
Kuna tetesi nimesikia kwamba Soko kuu la Kariakoo linataka kuhamishiwa Ubungo, kwamba watu badala ya kwenda hadi Kariakoo wataishia tu Ubungo. Je, hii imekaaje kaaje, nini mtizamo juu ya hili...
7 Reactions
67 Replies
7K Views
Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imempandisha kizimbani Mkazi wa Mabwepande Jijini Dar es salaam, Shembiu Shekilaghe (38) akikabiliwa na mashtaka ya kutoa taarifa za uongo na kujifanya yeye ni Rais...
5 Reactions
16 Replies
870 Views
Mwanafunzi mmoja toka chuo cha Koteti Mkoa Tanga nchini Tanzania anaitwa Bonus Mbono nwenye umri wa miaka 21, amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu na kusomewa mashtaka...
6 Reactions
26 Replies
670 Views
Mimi Mbwichichi nafahamika na baadhi ya watu humu kutokana na historia yangu ya upambanaji katika kutafuta riziki. Kwa miaka mingi sana nimekua napambana kupata pesa,lakini hustle nyingi za...
7 Reactions
27 Replies
906 Views
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa misa zake ikiwemo kusitisha kupeana amani kwa mikono ili kujikinga na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox (homa ya...
1 Reactions
3 Replies
187 Views
Eti wakuu ukiondoa kukata viuno kupenda ngoma na starehe zingine (gambe, ngono, betting), sisi weusi tuko hodari kwenye uvumbuzi gani hasa?
9 Reactions
64 Replies
729 Views
Nimeona baadhi ya chaneli za Youtube, zinazomilikiwa na watu wa huko US, Canada, UK, Nigeria, SA n.k ambazo baadhi zina maudhui ya kusaidia wahitaji mbalimbali ili kuvutia watazamaji. Kinacho...
8 Reactions
56 Replies
590 Views
Wakuu jana nilipata mkosi wa kufika mitaa ya mbezi mwisho karibu na shule ya mbezi mwisho, roundabout ya kuelekea goba kuna bar nyingi sana eneo moja kuna guest nyingi sana eneo hilo hilo kuna...
51 Reactions
335 Replies
51K Views
Nimetembelea kahama Leo takribani siku ya Tano mfululizo mita Kwa mitaa naona jinsi biashara zilivyoshamiri, Kahama Kuna pool kubwa Sana ya walipa Kodi kiasi kwamba naona TRA kana kwamba hawawezi...
0 Reactions
11 Replies
324 Views
Nyani Ngabu LIKUD Kiranga Mshana Jr Vincenzo Jr Kichuguu kiwatengu Uzi tayari.
6 Reactions
12 Replies
264 Views
Back
Top Bottom