Mwanakwaya wa Kanisa Katoliki Parokia ya Buhangija, Manispaa ya Shinyanga, Agatha Nyahuma (32), mkazi wa Bugayambelele, Kata ya Kizumbi, amefariki dunia baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana...
Wakuu,
Nimelelewa na mama yangu kwa asilimia 90 mpaka hapa nilipo.
Baba yangu aliondoka nyumbani mwaka 2011 akamuacha mama yangu akiwa amejifungua wiki mbili akaenda kusikojulikana na mwanamke...
Nanukuu......
Kitabu cha “In the Name of the President: Memoirs of a Jailed Journalist” kilichoandikwa na Erick Kabendera, @kabsjourno kimeanza kuuzwa leo. Mwandishi anaeleza kuhusu kutekwa na...
Ikiwa ni siku chache zimepita tokea maazimisho ya siku ya wanawake duniani na hapa inchini kwetu ambayo iligubikwa na mfululizo wa vibweka,mbwembwe,tambo,mikwala/lawama dhidi ya wanaume, vitu...
Nimeona ma simu zaidi ya 60 kwenye taarifa ya habari wamekamatwa matapeli WA simu
Naamini KUWAPATA WAHUSIKA n NGUMU sana
Kama n hivyo hizi SIMU TUNASHAURI tukawape wale wanasaidia jamii kama...
Watu ambao anakosea badala ya kuomba msamaha anakutafutia na wewe kosa ili muonekane wote ni wakosefu au wewe ndiyo mwenye makosa.
Ukimfanyia kitu kidogo tu anakikuza kiwe kikubwa na kukasirika...
Siku hizi imeibuka tabia ya baadhi ya askari polisi kuvaa kininja na wengine kuvaa mask pasipo sababu ya msingi. Wengine wanavaa shingoni vile vitambaa kama vya masheikh/ waarab (kama alivyopenda...
Kurogwa ni shambulio la kiroho kwa kutumia nguvu za giza, waweza kujilinda kwa njia kadhaa ikiwemo ya uhakika ulinzi wa Mwenyezi Mungu,
Vita ya Mababii na mitume dhidi ya shetani ilikuwa ya...
Maisha yanaenda kwa kasi mno.
Ni miaka mingi imepita ila nawakumbuka ndugu zangu vijana wa kitanzania....kutoka Mbagala, Temeke, Kinondoni na Kariakoo walioenda ukanda wa maziwa makuu kujitafutia...
Yaani hawa YANGA wana hasira sana. Kuna gazeti limeandika kwamba simu moja tu itairudisha YANGA kwenye gemu pamoja na msimamo wa sasa kwamba hawachezi tena dabi.
Sasa SIMBA wasiombee YANGA...
Msanii wa Reggae Cocoa Tea, aliyezaliwa Colvin George Scott, amefariki dunia. Alipata umaarufu miaka ya 1980 kwa nyimbo maarufu kama "Lost My Sonia" na "Rikers Island." Cocoa Tea maarufu kwa...
Wadau wa JF, poleni na mihangaiko ya maisha! Leo naja na jambo zito, zito kama mawe ya almasi yaliyolala ardhini yakisubiri wachimbaji wenye macho ya kuona fursa! Kuna mabillioni ya fedha...
Habari. Ni utaratibu upi hufuatwa ili mtu aweze kupata mkopo wa fedha benki kwa kutumia nyumba au kiwanja kama dhamana?
Risk zake zipoje.
Faida na hasara zake je, na kama kuna...
Machi 2023 Rais Samia Suluhu Hassan aligusia ‘mikopo chechefu’ wakati akipokea taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) 2021/2022. Wengi hawakufahamu ni kitu gani.
Pia...
Kuzaliwa mwanaume ni zawadi ya kipekee sana ambayo hukuichagua ila ulipewa kwa mapenzi ya Mungu.
Tutambue ya kwamba Mwanaume hakuumbwa MATESO bali mateso yalichaguliwa na Mwanaume mwenyewe...
Huenda Heading isilete maana ya moja kwa kwa moja lakini kwenye maelezo nitaeleza kwa kirefu sana.Japo ni ndefu ila nitafupiza sana mimi sijui kuandika ....".inaendelea"
Hii ni familia kubwa ya...
Mwanafunzi Mhoja Maduhu anayedaiwa kuuawa kwa kupigwa na mwalimu kupita kiasi na kusababisha damu kuvujia kwenye ubongo, amezikwa huku huzuni na simanzi kubwa vikitawala.
Pia soma ~ Simiyu...
Wakubwa kwema!,jamani Mimi nilikua nauliza je Kuna ukweli wowote kwamba sigara aina ya embassy imetengenezwa Kwa kiwango cha juu kidogo kulikoni hizi sigara zingine,maana nilimsikia mzee mmoja...
Mshtakiwa Ferdnand Ndikuriyo (27), maarufu Chuma cha Chuma ameshindwa kutimiza masharti matano ya dhamana ikiwamo kusaini bondi ya Sh10milioni na wadhamini wawili raia wa Tanzania wanaotambulika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.