1️⃣ Tumeshuhudia ongezeko la vijana wa kiume wanaokataa ndoa au kuikwepa. Hili si jambo la bahati mbaya, bali ni matokeo ya malezi yaliyomwacha mtoto wa kiume bila mwongozo wa kutosha.
2️⃣ Kwa...
Kwanza kabisa poleni na pilika za mwisho wa mwaka, mambo yamekuwa mengi ajali, magonjwa na kila aina ya ubaya unaotulenga sisi binadamu.
Tuwe na mwisho mwema.
Hili suala la uhuru kiukweli mimi...
Katika maisha kuna changamoto nyingi Sana Ila kubwa kuliko yote ni pale nilipooa na miaka 35 na ajira yangu ya kwanza niliipata na miaka 34.
Nb nilimaliza chuo 2007 and I became jobless na mwaka...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Alexander Mnyeti ameiagiza Kampuni ya Ranchi za Taifa (NARCO) Kufanya tathmini ya mashamba ya Serikali ya mifugo yaliyokodishwa kwa wawekezaji na wakiwabaini...
TAMKO LA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA (TEN/MET) NA LHRC JUU YA MATUKIO YA KUJERUHIWA NA KUUAWA KWA WANAFUNZI KUTOKΑΝΑ ΝΑ ADHABU KALI YA VIBOKO MASHULENI
Dar es Salaam, Machi 11, 2025.
Ndugu...
Kwa dunia ya wenzetu mpira ni biashara,ligi zao zinawadhamini,club zina zinaingia mikataba na kampuni kubwa km adidas na n.k.
Pia clubu wanauza wachezaji kwa gharama kubwa.l
Swali najiuliza kwa...
TORONTO (AP) — Ontario’s premier, the leader of Canada’s most populous province, announced that effective Monday it is charging 25% more for electricity to 1.5 million American homes and...
Katika Videos kumi utaka-zoplay either FACEBOOK, INSTAGRAM e.t.c, Saba katika videos hizo ni za kuhamasisha ngono.
Je, Ni kuwa watu wamewekeza sana katika ngono.
Karibuni tujadili hili...
Walimu wa shule ya msingi tulizeni vichwa mnapokuwa mnafanya usajili wa watoto kwenye mifumo ya serikali. Wakati wa usajili mathalan Darasa la kwanza au darasa la nne huwa mnatuagiza tulete vyeti...
JF kwa kweli hongereni sana timu nzima ya wakandarasi wa mtandao huu pendwa.
Licha ya kwamba JF imekuwa jukwaa huru, lakini hawa platinum members kwa kweli wamekuwa ni watu wa maana kabisa...
Katika pita pita zangu asubuhi hii, nikasema nikae kidogo kwenye kijiwe cha kahawa, nichangamshe kinywa na kufurahia upepo mwanana wa alfajiri. Watu walikuwa kwenye gumzo, kila mmoja akitoa maoni...
Kampuni ya FIC Imenitapeli – Naombeni Ushauri
Ndugu wanajamii,
Nimejikuta katika hali ngumu baada ya kuwekeza zaidi ya shilingi milioni 1 katika kampuni ya FIC, lakini sasa fedha hizo...
Mkurugenzi Msaidizi, Sehemu ya Anuai za Jamii, Idara ya Uendelezaji Sera, Bi. Mwanaamani Mtoo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imefanya jitihada kubwa katika kuwawezesha...
Kama vile ilivyo bandwidth yaani capacity ya watu kuweza kuongea kwa wakati mmoja kwenye simu / mitandao ndio hivyo Umeme ukishauzalisha inabidi utumike, sababu kuutunza ni gharama, (Ingawa...
KUKAMATWA TENA KWA MASHEIKH 12 BAADA YA KUACHIWA HURU
Machi, 10 2025, Dar es Salaam
Mnamo tarehe 4 Machi 2025, LHRC ilipata taarifa kuwa Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imewaachilia huru...
Afisa Mnadhimu Namba moja wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Makao Makuu, Mrakibu wa Polisi (SP) Suzan Kidiku akieleza namna ambavyo wamepata fursa ya kujifunza na kufurahia Utalii katika...
Habari wadau wa Jamiiforums,
Juzi nilipata wasaa wa kuongea kwenye simu na mshakaji wangu mmoja wa Nairobi. Dah conversation Ile ilikuwa makini sana nikasema kwanini nisiwaletee wadau hapa JF na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.