Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Huu ujumbe nimeuchukua kutoka kwenye grupu la wananchi Tumsifu yesu kristo,Bwana yesu Asifiwe,Mwanakondoo Ameshinda,Asalam Aleykhum Jamia'Shalom-Ndg Zangu Naamini Kila mmoja wetu ameamka salama...
1 Reactions
7 Replies
108 Views
Wizara ya Afya imetoa taarifa kuhusu Ugonjwa wa Marburg kuwa hadi kufikia Machi 10, 2025, zimetimia siku 41 bila kuwa na mgonjwa mpya. Ikumbukwe Januari 20, 2025, Serikali ilitoa tamko kuhusu...
0 Reactions
1 Replies
187 Views
MHE. RAIS DKT. SAMIA ASEMA SERIKALI IMERUHUSU WANANCHI WALIOAJIRIWA NA WALIOJIAJIRI KUJIWEKEA AKIBA KATIKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII *Amesema Tanzania mambo ni moto moto *Mhe. Makonda...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Mimi umri wangu ni miaka 40 na zaidi kidogo, naish Dar es salaam na nimezaliwa hapa hapa Dar japo mie sio mzalamo, Siku moja miaka 10 iliyopita nilipokea taarifa kuwa dada yangu wa mwisho...
5 Reactions
31 Replies
1K Views
Ewe mzazi ukiwa unatafuta jina la kumpa mtoto wako punde baada ya kujifungua, kifiria kwanza hilo jina akifika muda wa balehe (ujana) ataweza kuishi nalo mbele ya vijana wenzake?? Watoto wengi...
19 Reactions
108 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForums Leo nimekuja na hii thread Dunia ya sasa wanawake wengi wameanza kushiriki shughili za uzalishaji mali kwa kiasi kikubwa Hii inatokana na wanawake kuimarishwa kielimu...
5 Reactions
12 Replies
111 Views
Wakuu, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dkt. Irene Isaka, amesema mfuko huo unaendelea na mazungumzo na Hospitali ya Aga Khan ili kurejesha huduma za bima kwa wanachama...
1 Reactions
3 Replies
156 Views
? Tunaweza kuona hali yetu ya nje kupitia muziki tunao usikiliza sio kuusikia, yaani maisha yametupa kusikiliza na kusikia. Je maisha yako yana usikiliza Muziki wa aina gani Kuna baadhi ya nukuu...
1 Reactions
7 Replies
113 Views
Je ni kweli mtu mweusi alipata laana baada ya kuchungulia utupu wa Baba yake ? Ukweli ni upi maana duniani kote mtu mweusi anachapika hatari.
2 Reactions
25 Replies
297 Views
Tokea kupata uhuru hakuna chama chochote cha upinzani kilichoweza kushika hata uraisi wala maamuzi makubwa zaidi ya chama cha ccm. Maamuzi haya yapo ndani ya serikali ya ccm ambayo ndio chama...
1 Reactions
0 Replies
37 Views
USIMDHARAU MTU 1. Za kale hapo zamani, hadithi inaanzia, Yamhusu Yasmini, binti aliyevutia, Mnene wa wastani, watu aliwazuzua, Usimdharau mtu, ungali humfahamu. 2. Juma mwana mtulivu, wa...
2 Reactions
3 Replies
111 Views
It's another beautiful day, another beautiful thread! Mimi ni Davidmmarista, na leo tunakuja na Uzi mzito wa kutikisa akili! Uchawi upo ama ni hadithi tu? Leo tunachambua matukio halisi 12...
7 Reactions
71 Replies
2K Views
Katika pita pita zangu asubuhi hii, nilijikuta nikichukua pumziko kidogo kwenye kijiwe cha kahawa. Hapo, kama ilivyo desturi ya vijiwe vya mijadala, palikuwa na mazungumzo yanayochemka. Ila sikuwa...
2 Reactions
3 Replies
102 Views
Jana nilikuwa nazika dogo MMOJA pale Arusha sekei Kijana amekuwa na bosi wake miaka kama kumi Wakafanikiwa KWENDA kununua kiwanja bagamoyo hk 4 BOsi wake hakufanjkiwa kukiendeleza Wakaakaa...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
TRA wamekua wakitamani sana kufanya mabadiliko na maboresho kwenye huduma zao lakini kuna jambo bado HAWALIFANYII KAZI AU HAWALIJUI. Pia nina mashaka sana na UWEZO wa watu wao wa kitengo cha...
0 Reactions
0 Replies
261 Views
Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa...
9 Reactions
242 Replies
12K Views
Heshima sana wanajamvi, Tumetangaziwa kwamba taifa litaanza kununua umeme Ethiopia !. Wanasiasa wa chama tawala na warasimu ndani ya serekali wamekuja na utetezi mwingi wa kitoto na wakibwege...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
1. Haijalishi mwanamke ni mrembo au mvuto wake ukoje, kamwe usilale na mke wa mwanaume mwenzako. Unajitakia laana, unaharibu maisha yako, na unavunja mshikamano wa amani kati ya wanaume. 2...
6 Reactions
6 Replies
205 Views
Tatizo kubwa la wanasiasa wa Tanzania ni kufikiri kwamba Watanzania wote hawana uwezo wa kufikiri, na hivyo huridhika kutoa maelezo mepesi ya kisiasa hata kwenye mambo ya kisayansi. Mfano ni hili...
16 Reactions
44 Replies
999 Views
Back
Top Bottom