Mkuu wa Idara ya Wateja Wadogo na Kati wa Benki ya Exim, Bw. Andrew Lyimo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap...
Jamani nchi yetu inakwenda wapi? Mahospitalini karibia mwezi wa sita sasa huduma ya chanjo kwa watoto hakuna. Mimi nina mtoto mchanga tumeshazunguka hospitali karibia zote hapa jijini na chanjo...
Members of JF tunazungumzia dhana ya ufisadi, ulaji rushwa ufujaji wa mali za umma. Lakini kuna jambo moja ambalo linanitia mashaka matumizi na mantiki au lengo madhubuti. Karibu viongozi walio...
Habar ndugu zangu wa Jf
Awali ya yote napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa muanzilishi wa Jf kwani naburudika na naelimika kwa mada zinazotolewa humu.
Nisipoteze muda niende kwenye mada...
Mbunge wa Jimbo la Kavuu na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda amezindua kambi ya wiki mbili ya matibabu bure ya macho na matatizo ya mkojo kwa wananchi wa Jimbo...
Mhusika katika picha anaitwa PROSPER MHINA KWINGWA. Mkazi wa Karakata airport Dar salaam , ana matatizo ya afya ya akili.Hajaonekana nyumbani tangu tarehe 25/02/2025 .Taarifa imetolewa Polisi ...
Habari za uzima
Nkauliza tu mbona Hawa wah wanaouza kitimoto wakatili hivyo
Toka tar 5 kitimoto inepanda JUMLA Toka 8000 mpaka 11000
Kawaida Toka 12000-15000
Hivi hamna dini NYIE wauzaji...
MHE. NDUMBARO AKABIDHI VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA SONGEA
Waziri wa Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekabidhi vifaa tiba vya huduma ya utengemao...
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Rukia Said akikadiliwa kuwa na umri wa miaka 25-30 amekutwa na umauti ndani ya basi la abiria akisafirishwa kutoka Kilwa Pande kuelekea Hospitali ya Rufaa mkoani...
Kila siku mida hii ya usiku ñaona mabinti wanapita wanasema wanaenda msikitini, kipindi hichi cha mfungo wanaenda kufanyaje? Mbona kama NI hatari Sana?
Leo nimekuta binti mmoja kavaa ushungi...
Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa
Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania...
Ni ndefu kiasi ila jitahidi umalize.
Natumaini Wote Mu wazima wa afya, kwa walio wadhaifu basi Mungu awaponye na awatie nguvu tena.
Modes nimeamua kutumia ID tofauti na ambayo huwa natumia kwa...
Yule mwingine alikamatwa na ngada kwenye manywele yake. Huyu mwingine ni anatepeli watu.
Alafu wakija mitandaoni wanawaonesha marenji rova ili kuwaumiza roho.
Hii yote ni malue lue ya maisha ya...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwa kushirikiana na Serikali imefanikiwa kuwekeza katika utekelezaji wa miradi ya majisafi yenye thamani ya Trilioni 1.19 kwa...
Mwanaharakati Maria Sarungi ambaye ni Mtoto wa marehemu Prof. Philemon Sarungi amesema miongoni mwa sababu iliyomfanya kushindwa kuhudhuria mazishi ya baba yake ni pamoja na Suala zima la Usalama...
Serikali inakamilisha Utaratibu wa Kaya zisizokuwa na uwezo kupatiwa Bima za Afya za NHIF ambazo zitalipiwa na Serikali ili Kaya hizo ziweze kuwa na Bima hizo sambamba na kuondoa changamoto na...
Huwa nashangaa mtu anapata wapi ujasiri wa kujenga nyumba kwenye ardhi aliyopewa na wazazi wake Ili aishi na familia yake yaani Kila siku ukiamka unamuona mzee wako na mama Yako hata uhuru hamna...
Kila mmoja anasema pesa zipo kwenye personal brand! Lakini hawasemi maana halisi ya Personal brand.
Kwa lugha ya mtaani personal brand ni kama yule dalali ambaye anajulikana mji mzima. Na kila...
Research ndogo niliyo Fanya, wanaume wengi karibia 99.9% walio ingia kwenye ndoa, wanatamani kutoka , ila kwasababu ya kuwa na watoto inakua kipengele sana kuchomoka kwenye huo mtego.
Kinacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.