Leo ndio naelezwa kuwa watu wengi wanaweza kuzurika kulingana na makabira yao na mazao yao.
Nilipata story kuna uchawi ambao unaweza ukawekewa kwenye muembe,mnazi,ndizi,mpapai na mengine ambayo...
Bila kupoteza muda...
Hapa kuna baadhi ya mafundisho ya kipagani ambayo yamekuwa yakihusishwa na Ukristo kutokana na mchanganyiko wa tamaduni za kipagani na imani za Kikristo kupitia historia...
Katika project ambazo zinanipa kutafakari ni kuhusu uhai ambao kama dunia unaweza ukafikiria.
Physics na kemia kuna kitu kinaitwa ukomo wa kitu sana sana unaegemea kwenye kemea kuhusu mada za...
Jeshi la Polisi mkoani Rukwa kwa kushirikina na Mamlaka ya Mawasilino Tanzania TCRA limeanzisha operesheni ya kuwabaini watu wanaojihusisha na utapeli kwa njia ya mtandao na kufanikiwa kuwakamata...
UKIENDA MJINI KUTAFUTA MAISHA HAKIKISHA UNAFANYA HAYA
Anaandika, Robert Heriel
Leo sina mengi ya kusema, najua Maisha hayana Formula Ila zipo Formula katika Maisha. Ukitaka chukua usipotaka...
Mna zile za kusafiri angani kila mwezi.
Kuna siku ya wanawake duniani.
Siku ya maombi ya kina mama.
Kuna mothers day.
Ukipiga hesabu hakuna siku iliyobakia zote zenu.
Ni kawaida mtu anapotuma maombi ya kazi atatakiwa kuambatanisha baadhi ya nyaraka, lakini hizi nyaraka zote kwa wakati mmoja ni kwa ajili ya nini?
Mtu anatuma maombi anatakiwa aambatanishe...
Zab 105:17-21 SUV
[17] Alimpeleka mtu mbele yao, Yusufu aliuzwa utumwani. [18] Walimwumiza miguu yake kwa pingu, Akatiwa katika minyororo ya chuma. [19] Hata wakati wa kuwadia neno lake, Ahadi ya...
Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu.
Shetani...
Nashindwa kuelewa hawa viongozi huwa wana tumia akili gani katika maamuzi yao.
Msidhani kila mtu anaishi mtumba hapo dodoma muwe mnafanya tafiti za kina kabla ya kuleta hiyo mifumo yenu kwanza...
Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMENT) pamoja na Kituo cha Sheria na haki za binadamu LHRC wameendelea kuisisitiza Serikali kuhusiana na kufutwa kwa adhabu ya viboko shuleni badala yake kubuniwe kwa...
Tanzania kuna tatizo moja ambalo mimi silielewi kabisa, inawezekanaje watu mna elimu sawa mmoja alipwe pesa nyingiiiiii kuliko mwingine kwa sababu ambazo azieleweki?
Kwa mfano Mhasibu wa cheti wa...
Niko ugenini, usiku nikakaribishwa chakula cha jioni, wenyeji wangu ni watu wa imani kali, tukiwa tunaendelea na kula huku tukitazama tv ya Mwamposa akawa anasisitiza na kuhimiza watu watoe...
Biblia inaeleza hatma ya mtu asiye Mkristo kwa njia tofauti, ikizingatia imani katika Yesu Kristo kama msingi wa wokovu. Hapa kuna baadhi ya mafundisho yake:
1. Yesu Kristo Ndiye Njia Pekee ya...
Umewahi kujiulixa hili
Makanisa mengi ya kiroho wakianza kuombea watu
Kama ULIKUWA HUJUI hili kama ukisikia neno "umeme " nguvu za kiumeee ama za kike
Ukisikia mwenye umeme uliopotea nikujuze...
Nauliza tu kwa Nia njemaa
WAPENDWA
Mm na sehemu kawe tatu za BIASHARA nimekodisha
KILA ukifika wakati WA KULIPA kodi nkatumiwa msg za MATAPELI NDUGU....jitahidi basi tulipane Kodi yetu na...
Habari wadau wa Barabarani, kumekuwa na changamoto kubwa kwenye Mtandao wa Polisi wa kuangalia Traffic Fine za magari na madeni ya leseni, mtandao huu umeacha kufanya kazi tangu mwanzoni mwa...
Leo nilikuwa nakimbizana na wapendwa kadhaa kuwasaidia baadhi ya vituon waliivyopelekwa
Ktkt pita pita Yangu nimeona vituon vimejaaza pikipik mpaka unashangaa
Na zingine zinaozea vituoniiii...
Ni miezi sasa kila nikitaka kununa vitu kupitia Aliexpress haiwezekani
Mimi natumia MasterCard za mitandao ya simu Tigo au Airtel ila sifanikiwi kama mwanzo nilivokuwa nafanya
Wakuu habari
Naomba kuuliza kwa wataalamu wa kuagiza bidhaa aliexpress na kwenye platforms nyingine
Kwa sisi tuliopo mikoani (MBEYA) MZIGO unatufikia hadi huku
Ikiwa umewatumia wao kuagiza
Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.