Hii hali inashsngaza sana. Toka sa11 alfajiri simba yanga simba yanga. Hizi radio zetu haziwezi kualika wataalsmu na wakatwangwa maswali directly ili watoe ufafanuzi wa kununua umeme Ethiopia...
Hii haikuhusu wewe mlokole ambaye hauna ushirika yaani mchungaji wako akifa na kanisa linakufa wala wewe msabato ambaye tumaini lako katika wokovu linategemea mahubiri ya mabaya ya kanisa...
Wana Arusha wanasema mama mi 5 tena Ili kazi Iendelee.
Ahadi imetekelezwa Arusha: Serikalini kuanza Ujenzi wa Ukumbi Mkubwa wa Mikutano wa MK-ICC Uliokwama Kwa miaka 18. Wadau, Hii renders...
Moja kwa moja kwenye mada;
Wenyewe wanaita green city, hii sio kweli . Jina linatakiwa liwe Dusty City.
Hivi pamoja na Hali ya hewa nzuri kitu gani kinazuia halmashauri ya mji kuwa na mipango ya...
Bandari ya Mtwara mkoani Mtwara, imepokea meli ya kwanza kati ya nne ambazo zinatarajiwa kuleta viuatilifu kwa ajili ya kukuza uzalishaji wa zao la korosho nchini, kwa msimu wa mwaka 2025/2026...
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba Amewataka Walimu Nchini Kujiunga Na Benki Ya Walimu 'MCB BANK' Kwa Lengo La Kuendelea Kukuza Kipato Cha CWT
Aneyasema...
Serikali Imesema Inapanga Kuifanya Tanzania Kitovu Cha Utalii wa Mikutano Duniani ambapo Miji ya Arusha,Dar, Zanzibar na Dodoma itajengwa kumbi za Kisasa Ili kutimiza Azam hiyo.
Aidha Inatarajia...
WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wameigomea taarifa ya mradi wa ujenzi wa Soko la Zayoni lililopo Kata ya Nkuhungu mkoani Dodoma kwa kudai ina mapungufu...
Imani za watu, huvunjika na kupotea baada ya kupatwa na mtihani wa mauti.
Hapo hata wapendwa, mashehk, mapadri, wachungaji hulia kwa huzuni ya kuondokewa na mpendwa wake.
Ni ngumu kukabiliana na...
Zaidi ya wananchi 300 wa Kijiji cha Ikungugazi kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita wamekabidhiwa Hati za Ardhi za Kimila. Wananchi hao wameeleza kuwa hati hizo ni urithi kwa...
Tanzania bado tuna changamoto ya kuona watu weupe ni wawekezaji wakubwa.
Mfano mtu anatoka nje anakuja na hapa na maneno mengi anapewa eneo kisha ilo eneo na yeye anaenda kuliombea mkopo nchini...
Karibu binti na mwana wa Afrika.
Nyota ni nini?.
Lugha za dini, huita bahati, Neema, upako, n.k Kinyume chake ni mikosi, laana, gundu, nguvu za mapepo wabaya, bahati mbaya.
Lugha za kidunia, Ni...
Kwanza niwape pole Watanzania wote Mashabiki na wapenda mpira kwa kadhia ya kunyimwa burudani ya soka kati ya watani wa jadi.
Jambo lile limeleta hathari si kwa Azam tv Pekee Bali kwa watanzania...
Lawama hazijawahi kuondoa tatizo,
Kila jambo lina faida na hasara!
Moja ya faida ya mizengwe iliyotokea katika mpira wetu ituamshe ili tuboreshe kanuni na sheria ili kulinda hadhi ya ligi!
Pasipo...
Mtu ambaye amekutesa maisha ya utotoni Mwako hata hela ya Shule hakukupa akiamini huwez fika kokote
Chumba nilichokua nakaa alikipingasha akisema maisha magumu hivyo chumba chake kingemsaidia...
Katika haya MAISHA kuna mystery (siri nyingi)
Katika Familia ya mzee wangu (Baba) watoto wote wamefanikiwa wapo jumla nane Ila hakuna hata mmoja ambaye ameishia darasa la Saba
Wote Elimu zao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.