Nakumbuka kuna siku Ben alipata ajali, alikuwa anatoka kwa Rita, akaanguka kwenye mtaro na Benz lake. Akampigia Askari wake wa amani ndio akaenda kumtoa, alikuwa mwenyewe akijiendesha. Alipata...
Wadau hamjamboni nyote
Wanayoyafanya yalishatabiriwa siku nyingi, Biblia takatifu haisemi uongo hata siku moja
Tafakuri ya kina kwa wenye hekima
Tumsifu Yesu Kristo
Usinielewe vibaya mimi sio Mercantilist, na ninakubaliana na Bwana Smith aliposema, "It is the maxim of every prudent master of a family never to attempt to make at home what it will cost him...
Mchambuzi wa zamani wa CIA Asif Rahman alikiri katika mahakama kwa kuvujisha rekodi za siri, ikiwa ni pamoja na mipango ya Israeli kuishambulia Iran.
Rahman, aliyekamatwa nchini Kambodia mnamo...
Niaje niaje, lengo la uzi wangu sio kubishana na mamlaka za serikali bali naomba kupata ufafanuzi. Nimelileta hapa jukwaani suala la DCC kukamata vile vitoyo vya kuchaji na kuvipiga faini kwa...
Mimi naishi mtaa wa Zavala - Kwambiki kata ya Buyuni Chanika Ilala Dar es salaam. Nyumbani kwangu na baaadhi ya nyumba za majirani zangu tumekuwa tukipata tatizo la umeme kukatika katika kila siku...
Waziri wa sheria wa kongo Constant Mutamba.Kupitisha sheria ya kunyonga na kukamata wahalifu kongo kuna weza kusabisha asilimia kubwa au ndogo wengi wakaenda kufanyia nchi jirani.
Ili swala...
Habari za asubuhi wanajamii
Nahitaji kufungua nmb chap chap account je kwa pale bank nikienda watadai nini kingine tofauti na namba ya nida ili kuweza kunifungulia hiyo chap chap account
Tarehe 04 / 01 / 2025 nilienda Zahanati flani hapa mjini, ni ya Serikali baada ya kuwa sijiskii vizuri, nikapewa dawa kadhaa na panadol.
Leo jioni kichwa kikawa kinauma sana, nikasema nimeze...
Tangu jana nawasikia mkisoma habari fulani kuhusu umeme na kusoma kama megabyte badala ya megawatt. Megabyte ni kipimo cha data za Internet kama hilo bando unalonunua na kifupi chake ndio Mb.
Nisikuchoshe ndugu msomaji Kocha hi nguli duniani Mzee Pep Guardiola wa Man City (Naweza kusema muasisi og wa Gusa Achia Twende Kwao) naye limemkuta baada ya wife kuomba taraka kisa jamaa yuko...
Tafuta pesa wewe, sabuni, dawa ya mswaki havikai dirishani.
Tafuta pesa wewe, mb 500 siyo za kutumia week. Tafuta pesa wewe, hakunaga bei ya mwisho sh. Ngapi.
Tafuta pesa wewe weekend siyo kwa...
🗣️ "Hongera sana Jeff Besoz kwa kufanikiwa kufika katika orbit katika jaribio la kwanza kabisa la rocket ya New Glenn" Ameandika Elon Musk .
— Mmiliki wa kampuni ya SpaceX amempatia Hongera zake...
Nchi za wenzetu wanasheria zinazoratibu matumizi ya fedha kwenye uchaguzi ili kuweka fairness. Najaribu kujiuliza hili Kwa Tanzania lipo, au kila MTU anatuma kadiri awezavyo. Hivi karibuni CCM...
Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua...
Tanzania ni nchi yenye historia ndefu na utajiri wa tamaduni mbalimbali, zinazochangia umoja wa taifa. Hata hivyo, kuna hoja inayozidi kujitokeza kuhusu ufanisi wa mfumo wa utawala wa sasa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.