Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

tunaanza na mistari ya biblia Mithali 13:2 Mtu mwema huwaachia wana wa wanawe urithi Mithali 19:14 “Nyumba na mali ni urithi apatao mtu kwa babaye; Bali mke mwenye busara, mtu hupewa na Bwana”...
22 Reactions
117 Replies
5K Views
Hii interchange ipo kisumu, mji wa mdogo kabisa huko kenya, lakini interchange kama hii imejengwa huko. Barabara ya Kimara - Kibaha hadi leo haijaisha, wametuwekea mataa utadhani ukumbi wa...
24 Reactions
150 Replies
25K Views
(1) Balotelli alifanyiwa adoption na wazungu. (2) Baada ya kimbunga na maafa kule Haiti, wazungu walichukua idadi kubwa sana ya watoto kuwapeleka Ulaya na Marekani kama watoto wao. (3) Ni mtu...
21 Reactions
178 Replies
4K Views
Ndani ya hii miaka miwili Kuna muingiliano mkubwa sana wa jamii wa watu wa hadza na watu wa ulimwengu wa kwanza kitu ambacho binafsi naona kama kitachangia sana kuharibu mfumo wa mzuri wa kiasili...
16 Reactions
117 Replies
3K Views
Hayawi hayawi ndivyo ndelemo za 2025 zitakavyokuwa huu ni mwaka mwaka wa Tanganyika. Si rahisi rahisi rahisi ndivyo itakavyokuwa. Sumu haionjwi kwa ulimi, ni gusa unate, gusa unuke na...
0 Reactions
3 Replies
222 Views
Kama wapo nisaidieni kuwatag. Nilikuwa na 250k kwenye account yangu jana saa 9 nikatoa 50k kwa wakala. Leo kuangalia salio nimebakiwa ba 89k. Nimepiga simu namba yao huduma niliyopata sijalizika...
10 Reactions
90 Replies
5K Views
Habari wana JF. Kuna suala linaloendelea juu ya app za kukoposhe ONLINE. Hii mikopo imekaa kiunyonyaji sana. Mtu anakopa pesa online anapewa lakini mwisho wa siku usumbufu unakuja kwa watu ambao...
1 Reactions
0 Replies
303 Views
Sijui kama hili limewakumbuka na wengine au lakini hali ya Mahakama ya Mwanzo Bunda si shwari. Walalamikaji wanapokwenda kusikiliza kesi zao wanachangishwa pesa ya kununua mafaili @ 1500 na bila...
0 Reactions
1 Replies
137 Views
Tanzania ni nchi yenye utajiri wa utamaduni na makabila mbalimbali, kila moja likiwa na sifa na historia zake za kipekee. Hapa tunachunguza baadhi ya makabila ambayo yana sifa ya kuwa na wanaume...
8 Reactions
48 Replies
3K Views
Kuna tatizo kubwa kwenye ubora wa elimu yetu, mimi siyo muandishi mzuri ila nimeona mfumo wetu wa elimu unajenga watu kukariri ili ufaulu mtihani na siyo kujifunza au kuelimisha Hii imepelekea...
2 Reactions
10 Replies
305 Views
Wanapinga kitu wasicho kijua. Nimefanya utafiti WA Kina kuhusu New World Order . Nimesoma vitabu ishirini kuhusu " New World Order" . Ninasema hivi dunia hii Ina ihitaji New World Order Kuliko...
2 Reactions
46 Replies
1K Views
Polisi Mkoa wa Shinyanga limefukua mwili wa Asha Mayenga (62), mkazi wa Lugela, Kata ya Nyamhanga, Manispaa ya Kahama uliofukiwa shambani, baada ya kutoweka kwa siku tano. Akizungumza na...
1 Reactions
7 Replies
308 Views
Tumeshuhudia nchi isiyo na mwenyewe Ya DRC kila mlipuko mpya wa ugonjwa Africa lazima iingie. Halafu kifuatacho ni harakati za misaada "mingi" sina hakika kama ni yote.
0 Reactions
0 Replies
75 Views
Uchawi upo ndugu zangu. Kuna rafiki yangu mmoja alikuwa anagombea kiwanja cha babu yake yeye na mjomba wake, dogo babu yake alimkatia eneo kubwa tu na akafanikiwa kujenga. Mjomba wake akajiapiza...
60 Reactions
2K Replies
117K Views
Wizi mwingine sasa ni kama wametumwa na waganga wa kienyeji! Sasa huyo mtoto wamempeleka wapi kama si uchawi wote huo. =================== Watu ambao hawajafahamika wamevamia nyumbani kwa mkazi...
5 Reactions
67 Replies
3K Views
Wakuu, Baadhi ya wananchi wa Manispaa ya Iringa wanalalamikia kundi la watu waliotajwa kama Mgambo kuvamia na kuvunja Vibanda, nyumba na kuharibu mali mbalimbali ikiwamo na kuvunja jiwe la msingi...
2 Reactions
15 Replies
409 Views
Sisi tumezaliwa wa4 Bahati mbaya wazazi wamefariki na wakatuachiia nyumba 5...! Wa3 kati yetu kila mtu ana maisha yake ila mmoja yupo kwenye nyumba mojawapo huku zingine tumepangisha Sasa hapa...
3 Reactions
26 Replies
930 Views
Kamanda Jumanne Muliro, tuache unafiki, tuache kuoneana. Unatutangazia kuwasimamisha hawa Polisi wawili walioonekana wakichukua fedha kwa makondakta wa dadadala kwa sababu wamefanya kosa au kwa...
23 Reactions
88 Replies
2K Views
Ni wazi kwambq CCM imekosa attention kabisa, kampeni za chaguzi za CHADEMA zimefifisha kabisa taarifa za kinachoendeleq huko Dodoma, watu kila leo wapo bize kutaka kujua chadema kuna nini...
1 Reactions
5 Replies
197 Views
Charles Mwita, aliyekuwa mwandishi mahiri wa masuala ya uchumi na biashara, ameripotiwa kufariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana. Tukio hili la kusikitisha limetokea...
5 Reactions
18 Replies
963 Views
Back
Top Bottom