Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Hili la kutaka kufungia namba za utambulisho wazee mnazingua, wananchi hawajagoma kuchukua vitambulisho vyao. *** Mamlaka ya vitambulisho vya taifa NIDA leo imetangaza kuwa itasitisha matumizi ya...
2 Reactions
15 Replies
635 Views
Wakuu Nimefanya maombi ya hati ya ardhi mwaka wa pili unakatika. Kutoka dawati moja kwenda lingine faili linaweza kutumia miezi mitatu! Nyie experience zenu zikoje na hizi ofisi za ardhi?
6 Reactions
38 Replies
902 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Usiku mwema
4 Reactions
38 Replies
674 Views
Maana hao wazaramo na wandengereko halisi walishahama maeneo ya mijini wameenda maeneo ya ndanindani huko hasa maeneo ya mkoa wa pwani. Jiji limebaki kukaliwa na mchanganyiko wa watu kutoka kona...
6 Reactions
18 Replies
530 Views
Kulingana na uzoefu wao wa kukusanya mapato na rushwa hawa jamaa wahamishiwe TRA ili kuongeza ufanisi
3 Reactions
14 Replies
396 Views
1. Huangamiza nafsi. "Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa;Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." (Mithali 6:32) Mtu hufa kiroho, kama ilivyo dhambi yoyote ile humuondoa mtu katika...
20 Reactions
118 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Nimekuwa nikijiuliza hili swali mara nyingi kutokana na hali ilivyo katika nchi yetu , kila mmoja wetu tokea siku ameanza kujitambua mapambano yamekuwa kutafuta uelewa ama fursa...
2 Reactions
3 Replies
102 Views
Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tunajiuliza kuna shida gani Wilayani kwetu? Pesa za likizo kwa Watumishi wa Umma kutotoka kwa wakati hilo jina jambo la kawaida, hali hiyo...
1 Reactions
14 Replies
319 Views
Wanaotajwa sana na vyombo vya habari,mitandao na makada wa CCM kuwa mmojawao atateuliwa kuwa makamu mwenyekiti wa CCM Taifa ni hawa hapa. 1.Paul Kimiti 2.Abdulah Bulembo 3.Mizengo Pinda 4.Dr...
3 Reactions
29 Replies
864 Views
Jamani life limenichapa miezi kadhaa iliyopita nilifunga biashara yangu ya picha, vifaa nikarurdisha nyumbani. Leo nimeamua kuuza vifaa vyangu ili maisha yaendelee Nina camera canon D 550 Studio...
4 Reactions
12 Replies
289 Views
Zimebaki siku tano hadi ban ya tiktok kuanza nchini Marekani lakini habari zinasema japo tiktok inajaribu kuwapeleka watuamiaji wake kwenye app yao nyingine inayoitwa lemonde wao wameamua kuanza...
4 Reactions
14 Replies
588 Views
Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer...
19 Reactions
60 Replies
1K Views
Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano. Hapo yeye anatafuta hela ya...
46 Reactions
169 Replies
4K Views
Katika status yake leo hii facebook, mhe, ameongelea kuhusu kuwa na makabila na imani tofaut za dini lakini bado tunaishi kindugu hivyo anasema ni kitu kimojawapo cha kujivunia katika miaka 50 ya...
1 Reactions
94 Replies
15K Views
Habari wakuu Kwenye historia kwenye vitabu tumewasoma watu mashughuri, wagunduzi wa vitu mbali mbali lakini cha ajabu kuna watu wa muhimu sana hatu wapi umuhimu uliopaswa kupewa Just imagine...
0 Reactions
14 Replies
214 Views
Kanisa Katoliki la Italia limefungua milango yake kwa wanaume mashoga kujiunga na masomo ya upadre, mradi wasiendelee kupigia debe au kuunga mkono kile kinachoitwa "utamaduni wa mashoga,"...
13 Reactions
154 Replies
3K Views
DAHA ILE SEHEMU ILIKUWA KAMA GAZAA YAAN USITEMBEE RIVERSIDE KUIONQA UBUNGO WANAUME HAOOO WAMEKUPITIA NA SIMU WAKIKUKOSA SIMAMA KWENYE KARATA USHANGAE MIUJIZA WANAKUPITIA DAH..YAAN ILE SEHEMU...
5 Reactions
19 Replies
641 Views
Hamjambo Waungwana, Nmekuja na bandiko la kuomba ushauri , wiki ijayo nina safari ya kutoka kahama kwenda daresalam, pia nikiri kua huko niendako ni mgeni sijawaih kufika, naenda kuhemea mzingo...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Enzi hizo Sinza kila baada ya nyumba kadhaa unakutana na sehemu ya ulevi, iwe grocery flani hivi ama baa. Sinza ilikuwa na baa maarufu kama Hongera, B-Bar, Lego, Vatican City, Waungwana...
29 Reactions
214 Replies
14K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Genesis 50:26 [26]So Joseph died, being an hundred and ten years old: and they embalmed him, and he was put in a (Coffin)...
4 Reactions
24 Replies
793 Views
Back
Top Bottom