Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Meneja wa Mizani wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Leonard Mombia ameeleza umuhimu wa kutumia mizani katika kudhibiti uzito wa magari kama njia ya kulinda barabara na miundombinu...
2 Reactions
2 Replies
149 Views
Kweli sijui kama TTCL wanajielewa aisee. Unapopita maeneo mengi yenye mazingira mazuri na yaliyopendeza, unakutana na nyaya za TTCL zilizopita hovyohovyo, nyingine zikiwa zinaning'inia chini, huku...
4 Reactions
21 Replies
546 Views
WANANGU WOTE ZINGATIENI ELIMU KWA MAANA ELIMU NDIYO MAISHA YENU MAZURI YA KESHO YENU KUIKOSA ELIMU NI MATESO KWA MAISHA YENU YA KESHO. Tukisoma Kitabu Cha Nukuu za Kiswahili za Mwalimu uk 148...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Jeshi la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam, limefanikiwa kuwapata watoto wawili wakiume na wakike nyumbani kwa mganga wa kienyeji anayefahamima kwa jina la Abdulikarim mkazi wa Kimara baruti...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) amesema yeye na wenzake "wameponea kifo chupuchupu" katika shambulio la anga la Israel kwenye uwanja wa ndege nchini Yemen. Tedros Adhanom...
0 Reactions
4 Replies
351 Views
Wafanyakazi wa Shirika la Ndege la Afrika Kusini wamegoma baada ya kukosa mishahara kwa miezi kadhaa kutokana na shirika hilo lenye ndege zaidi ya 40 na vituo (destinations) zaidi ya 42 duniani...
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwanzia mwaka huu 2025 dunia itashuhudia mambo mengi ya kutikisa akili, kusisimua na ya maajabu mbele ya macho yetu Kwenye upande wa medicines, technology, uongozi, kutakua na uwezekano usio na...
1 Reactions
0 Replies
99 Views
Mimi ni Mtanzania ninayeuamini Utanzania wangu na kuiamini Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 1977 toleo 2005, ibara 08(1) a, b, c, d. Naiamini ilani ya CCM 2020–2025: Ukurasa wa 01...
1 Reactions
0 Replies
135 Views
South African Airways (SAA) wanarejea Dar (JNIA) kuondoka Dar*JNIA 0510am kufika OR Tambo International Airport 0755am. Timing nzuri (unatoka alfajiri straight to business meetings ,shopping) Bye...
11 Reactions
43 Replies
947 Views
ADABU ZILIZOKOSEKANA Siku hizi kutangaza makosa ya watu au tuliyoyafanya limekuwa si jambo la kuogopwa tena Tumekuwa rahisi kuharibu heshima za watu.. Tumekuwa wa rahisi wa kukosoa watu ...
0 Reactions
0 Replies
70 Views
Wenye chama chao wapo Dodoma, wewe upo hapa unatupigia kelele tu, amka toka usingizini! Punguza uchawa…
2 Reactions
6 Replies
183 Views
Sisi sote hufanya makosa, Tunasema vibaya, Tunafanya vibaya, Tunaanguka,tunainuka Tunajifunza,tunakua Tunasongambele tunaishi, Tunamshukuru MUNGU kwa kutupa nafasi nyingne daima, tujifunze kusamehe
1 Reactions
0 Replies
81 Views
Binafsi nimejaribu kukitafuta Kitambulisho changu cha NIDA, bila mafanikio yoyote, ofisi za Kata hakipo, ofisi za serekali za mitaa hakipo, japo nilihama eneo, nikaendelea labda nilijikomfuzi...
5 Reactions
34 Replies
933 Views
Asalaaam aleikum,ipi hukumu ya kuchukua mikopo ya riba? Wakuu naombeni msaada aisee wakuu
2 Reactions
4 Replies
155 Views
Habari. Naomba kufahamu je. Raia wa kenya anaweza kuona mke Raia wa Tanzania na vipi huyo mwanamke anaweza kwenda kuishi kenya kwa uaratibu gani muda wote? Asante
0 Reactions
0 Replies
60 Views
OUR MAN IN ITALY: Romano Prodi, waziri mkuu wa zamani wa Italy aliwahi kuhusishwa na tuhuma za kuwa kwenye payroll ya Idara za usalama za Russia/USSR. PICHA HAPO JUU: Putin akiwa na Prodi. KWA...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Bodaboda ni sekta rasmi Kwa Sasa. Ni dharau kubwa Kwa bodaboda ambao kwasasa wapo zaidi ya watu million 10 hawa watu wote kila mtu akilipa elfu 10 Kwa mwaka ni pesa ndefu Kulipa Kodi ni jukumu...
10 Reactions
41 Replies
833 Views
MWEKEZAJI kwenye Shamba la VASSO lililopo kijiji cha Dakau wilaya ya Moshi vijijini, Fons Nijenhuis(73) raia wa Uholanzi, amedai kufukuzwa kwenye shamba hilo na watu wasiojulikana huku kundi kubwa...
2 Reactions
17 Replies
805 Views
Katika eneo la Tegeta kwa Ndevu wahusika wanaosimamia suala la kuzoa taka wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe ambao wamekuwa wakiruhusu utokee kwa kubariki Wafanyabiashara wa soko lisilo rasmi...
0 Reactions
2 Replies
264 Views
Habari zenu wana JF Niliwahi kuandika juu ya suala ya usafirishaji kwenye majiji yetu yote. Nilikwenda mbali zaidi kwamba inafika wakati sio bisahara tena bali ni huduma. Serikali yetu...
0 Reactions
4 Replies
198 Views
Back
Top Bottom