Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (Open University of Tanzania - OUT), Adam Namamba amezungumza na JamiiForums kuhusu madai ya baadhi ya Watumishi wa Chuo...
0 Reactions
1 Replies
494 Views
Mafundisho ya Nabii Muhammad yana tofauti kubwa na yale ya Yesu Kristo katika maeneo mbalimbali, hasa kuhusu tabia ya Mungu, mahusiano ya binadamu, na njia ya wokovu. Hapa kuna baadhi ya tofauti...
5 Reactions
34 Replies
981 Views
Novemba 18, 2024, Mwanachama wa JamiiForums.com alitoa ushauri kwa Uongozi wa Chuo Kikuu Huria ufanye Ukarabati wa Mazingira ya Chuo hicho, Kampasi ya Singida kwa maelezo kuwa hayaendani na hadhi...
0 Reactions
1 Replies
313 Views
Dar es Salaam, 16 Januari, 2025 - Tech & Media Convergency (TMC) Inapenda kuwatangazia ushirikiano wake na Idara ya Serikali ya Marekani (Ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam) katika kuzindua Mradi...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
Imenibidi kuandika huu uzi ili kubadililishana ujuzi wa kukabiliana na changamoto za hapa na pale kwenye hili life Kuna kipindi nilikuwa nafukuzia mchongo kwenye kampuni fulani. Ilifikia hatua...
9 Reactions
23 Replies
773 Views
Wakuu, Yaani ni wazi kabisa kuwa serikali ya CCM ina-propagate hii idea ya Uchawa ionekane ni kitu cha kawaida. Hivi karibuni wameanzisha tuzo za wachekeshaji na ndani yake wanaweka kipengele...
4 Reactions
19 Replies
428 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeitaka sekta Binafsi Tanzania kutumia fursa ya maboresho yaliyofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam kuitumia...
0 Reactions
1 Replies
150 Views
Rais mteule wa Marekani ameonya kwamba kwenye serikali hakutakua na muendelezo wa ujenzi wa umeme wa upepo. Trump anasema umeme wa upepo ni umeme ghali sana. Ni umeme unaotegemea ruzuku, bila...
1 Reactions
9 Replies
476 Views
Soma kichwa cha habari cha video, halafu tazama na sikiliza wanachokiongea hao jamaa. Halafu, tafakari kwa kina. https://youtu.be/Uu95VpOzQ3c?si=XxVL8cS2tKG4IkHv Kama muda wako hautoshi au MB...
1 Reactions
1 Replies
202 Views
C E O wa Manara Tv na Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM Haji Manara amefunguka kuwa miongoni mwa wanawake majasiri Duniani ni pamoja na Rais Samia Suluhu Hassan. Akizungumza na waandishi wa Habari...
6 Reactions
18 Replies
625 Views
Mwanaume unakuwaje masikini yaani unalialia njaa kabisa na midevu Yako unataka sisi vidume wenye pesa tukuhurumie yaani dada yangu hawezi kuolewa na mwanaume lofa sababu ni mkosi kwenye familia...
12 Reactions
153 Replies
3K Views
Unapotua tu katika mtaa huu wa Keko Mwanga katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam utagundua mabadiliko ya hewa tofauti na ulipotoka, harufu inayotoka hapa, hewa inayovutwa eneo hili si ya...
1 Reactions
13 Replies
871 Views
Salaam Wakuu, Baada ya Mwanachama wa JamiiForums kudai kuna Utiririsha wa Maji taka kwenye Mitaro ya Ubungo Riverside, Manispaa ya Ubungo imetolea ufafanuzi. Hapa chini ni Ufafanuzi; "Ufafanuzi...
2 Reactions
7 Replies
773 Views
Wakuu mimi nina tabia ya kupenda kucheka sana yaani napenda kutaniana na watu yaani nitacheka sana. Ila ni kwa watu tuliozeana tu ila kwa mtu ambaye sina mazoea nae ni ngumu kuelewa kama mimi ni...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Habari za muda huu hapa, Naishi Dsm Nina familia ya mke na mtoto mmoja. Kazi --nimeanza kufanya kazi ya ULINZI kwenye kampuni binafsi la Gardworld, nikiwa hapa hapa Dsm. Maisha yamekuwa magumu...
18 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari Wana jamiiForums, Nipende kuwapongeza sana madaktari na manesi wa Hospitali ya Afya ya Akili iliyopo mkoani Dodoma. Kwa mtazamo wangu, niliposikia hii ni Hospitali ya wagonjwa wa afya ya...
4 Reactions
16 Replies
526 Views
Hello wakuu, Kuna kitu nimekiona, kipo na mara nyingi najiwazia nakuwa na wasiwasi juu ya afya zetu kama jamii. Hii tabia ya kula kila mahali, mazingira yoyote bila kujua namna chakula...
16 Reactions
60 Replies
1K Views
Anonymous
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) ni moja kati ya Taasisi za Serikali ambayo hawajali kabisa suala la kulipa pesa za kujikimu kwa Wafanyakazi wao wanaposafiri. Utakuta mtu anapangiwa kituo cha...
0 Reactions
2 Replies
335 Views
Kwa takribani wiki mbili wakazi wa Kimara mpaka mbezi wanaishi pasi na umeme kila siku kwa zaidi ya masaa 12 bila ya taarifa yotote. TANESCO kila inapofika saa 4 asubuhi wanakata umeme na hurudi...
0 Reactions
11 Replies
280 Views
Back
Top Bottom