Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Yaani hili shirika la umeme nchini Tanzania huwa linajiamulia tu kukata umeme pasi na kutanguliza taarifa kwa watumiaji wa huduma zake. Hutaona afisa habari wa shirika hili akitoa taarifa mpaka...
0 Reactions
3 Replies
136 Views
Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024. Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025. Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024…...
5 Reactions
3 Replies
242 Views
Mkurugenzi wa hospitali ya Muhimbili, Profesa Mohammed Janabi amesema mpaka sasa wanawake 100 wamewekewa puto na wanaume wachache. Prof ameongeza kuwa puto ni kitu kimoja lakini nidhamu kwenye...
43 Reactions
163 Replies
14K Views
nimeitwa mzembe, nisiejitambua, wanadai nimesomeshwa kwa shida lakini naleta ujuaji kisa nimekua. Ni hivi wakuu, kwa sasa nipo sekta binafsi, hapa mjini, mwaka jana nilipewa connection na mkuu...
9 Reactions
33 Replies
1K Views
Zamani kidogo kama miaka 15 nyuma ukisikia msiba mara nyingi unakuta ni mtu pamoja na kuwa mzee wa walau zaidi ya miaka 65 ila utakuta hata ukimuangalia utaambiwa kabisa bwana huyu alikuwa mgonjwa...
9 Reactions
41 Replies
2K Views
Ni umri upo sahihi kupata moto Nina miaka 25 vipi nimechelewa au bado maana napambana naogopa kumpa moto wa watu mimba wakati maisha yangu bado sijaweka sawa vipi nitakua nimechelewa aud bado...
0 Reactions
20 Replies
1K Views
Ukiona GENTAMYCINE namkubali Mtu jua nimeshampima kwa Vigezo vyangu vyote na kuona anafaa. Mizengo Kayanza Peter Pinda apewe.
1 Reactions
3 Replies
159 Views
Jihad ni process, kwa hio magharibi wasichukulie poa. Amani na uhuru ni thamani, kwa hio itikadi kali wasichukulie poa. Hii vita imeipa shape ya kujua hali halisi ya middle east na namna ilivyo...
0 Reactions
1 Replies
96 Views
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari iliyotolewa jana Agosti 8,2024, Kamanda Kugaza amekiri kuwepo kwa tukio la kutoweka kwa kijana Shadrack huku akiomba wananchi kutoa ushiriano. Jeshi la...
2 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwa ile Press ya Lema hata hotuba za Mbowe huko BAWACHA na kule kwenye Mkutano mkuu hazinaga maana tena Nabii Lema amewafungua macho Wengi Kwamba Chadema ina wanachama Wengi Wasiojulikana Lema...
1 Reactions
2 Replies
140 Views
Inspector Haroun (Babu) amemtembezea kipigo mtoto wake akidai kwamba mtoto amempeleka chuo ila anashangaa kumkuta studio Yupo sahihi kwasababu uchungu wapesa anayolipa chuo tunaujua tunaolipia...
7 Reactions
9 Replies
658 Views
Inashangaza sanaa YAAN tkt za basi n MUHIMU kuliko elimu yetuu Naangalia mikoa zaidi ya mitano wanalia upandaji WA bei kuanzia madaftari Magodoroo Vyatu vya shuleeeeeeee Soksi Vitandaaaaa...
0 Reactions
2 Replies
135 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Seminari hizi za kikatoliki hawana habari na mtoto wa maskini. Nilimpeleka mtoto wa ndugu yangu aliyesoma shule za serikali kufanya interview kwa...
3 Reactions
8 Replies
442 Views
Wizara ya Afya imepokea tetesi za uwepo wa ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera. Kufuatia tetesi hizo, Wizara imechukua hatua kadhaa za haraka ikiwemo: kutuma timu ya wataalamu; kufanya...
1 Reactions
5 Replies
679 Views
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko unaoshukiwa kuwa wa virusi vya ugonjwa wa Marburg umewaua watu wanane katika mkoa wa Kagera Kaskazini magharibi mwa Tanzania. Taarifa ya shirika...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Mimi nachukia rushwa sana, na suala la rushwa kwa trafiki polisi nimelikemea sana humu JF na kwenye mitandao mingine. Ila nachukia zaidi mtindo wa viongozi kujifanya watendaji bora na wasafi...
4 Reactions
20 Replies
709 Views
Je inawezekana kwa familia ya wafanyakazi kuishi bila dada wa kazi au ni kujiendekeza tu? Naongelea kwa nyumba yenye baba na mama tu na wote ni wafanyakazi muda wote wote wanakuwa kazini na...
1 Reactions
17 Replies
442 Views
Huyu nimemuona leo hapa nilipo ni chura Mweupe sijawahi kumuona chura kama huyu aisee hapa nikifungua Tourists Centre si nakula hela za kutosha au? Waje kumuona tu wakachangia dollar 5 kwa kichwa...
2 Reactions
31 Replies
1K Views
Wale wakongwe walio anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer. Nini au tukio gani...
11 Reactions
122 Replies
3K Views
Back
Top Bottom