Kuna ajali ya lori la mafuta imetokea hapa Mzambarauni , Morogoro.
Kitu kilichonishangaza ni uwepo wa watu ambao wamejiandaa kabisa kwa kuchota mafuta wakati si miaka mingi naeneo hayo hayo...
Kuunda jeshi dhabiti kunahitaji uwekezaji mkubwa wa kifedha na bajeti ya ulinzi ina jukumu muhimu katika kupata silaha za hali ya juu, kuboresha miundombinu na kuboresha programu za mafunzo.
Bara...
Katika hii Dunia Jambo lililo Bora ni kua na Nguvu Kiuchumi, au Kuna Free Economical, hili swala ltakufanya uwe huru na Kuishi kwa Amani sana.
Nguvu ya Kiuchumi ni Bora katika Maisha.
Watu...
Naomba kufahamishwa kwa uchache tu.
Je, ni nani anapaswa kuwa na muhuri wa Halmshauri ya kijiji kati ya Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji? Muhuri huu ni tofauti na Mihuri ya Afisa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amemtaka Mkandarasi anayejenga barabara kutoka Mjini kati Ohio hadi Mwenge na Tegeta, kufanya kazi Usiku na Mchana ili kuhakikisha Ujenzi unakamilika mapema...
Sisi Wananchi wa Kijiji cha Imalamate katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega Mkoani Simiyu, tunaomba tupaze sauti zetu kwenye hili jukwaa la Jamii Forums.
Kijijini kwetu kuna mgodi wa dhahabu...
Habari wana Jf kwa ujumla.
Sina muda mrefu tangu nijiunge na jumuia hii chini ya kaka Max.
Ni hivi, napitia msongo mkali sana wa mawazo yaani nikisema ni mkali namaanisha.
First of all nilikuwa...
Mimi Mkazi wa Songea Kijijini, Kata ya Liganga katika Jimbo la letu ambalo Mbunge wetu ni Jenista Muhagama, huku tuna changamoto ya ardhi.
Miaka 10 iliyopita tuliuziwa eneo na Kijiji ambapo...
Katika kutathimini namna ambavyo kama taifa linapaswa kuwekeza kwenye elimu ya biashara (ujasiriamali) na ubunifu badala ya vijana kutegemea ajira za serikali, uchunguzi uliofanywa katika miji ya...
WHY?
1. Matumizi ya nicknames ili kuficha identities zao while wa akina Maria Sarungi wakitumia taarifa zao halisi Katika account za mitandao yao katika kutema nyongo na kusema ukweli dhidi ya...
KIJANA JITAHIDI USIJIPOTEZE UKIWA NA UMRI KATI YA MIAKA 20-30
Katika makuzi kuna mgawanyo wa hatua takribani nne ambapo karibu kila mtu kwa kudra za mwenyezi Mungu huzipitia, Vipindi hivyo...
Waparee mpoooo
Jumuiya ya waparee waishiyo Kenya wameomba KUTAMBULIWA RASMI. Kama wakenya na wachangiaji WA uchumi WA Kenya
Wakiongea MBELE ya makamu WA RAISI wamesema wanaomba kupitia gazeti...
Baraba ya UDART gmboto to kariakoo mkopo
75% SGR mikopo
UDART Bunju to Mwenge mkopo
Vituo vya afya 214 mikopo
20% ya mikopo vyuo vikuu mikopo
Bandari. imepewa mwarabu
Uwanja wa ndege wa...
Kariakoo (Dar) kwa siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la kubwa la biashara ya simu zilizopachikwa jina kama 'Simu za Mtumba' ambazo uuzwa kwa bei nafuu, simu hizo ni za 'brand' mbalimbali...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ado Shaibu akizungumza na wanahabari leo Januari 15 Makao Makuu ya chama hicho Magomeni Dar Es Salaam amesema “Wakitokea watu wanataka kujiunga ACT Wazalendo kutokea...
Kutokana na changamoto ya maji Vigwaza, huku ikiwa ni karibu na chanzo cha maji ya mto Ruvu,
1: DAWASA HAWANA TAARIFA? "WIZARA YA MAJI"
2: VIONGOZI HAWASHUGHULIKII HILI SUALA AU NI WANANCHI...
Mwaka 2009, Sweden ilichagua kuondoa matumizi ya vitabu na badala yake kutumai computer shuleni. Sasa baada ya miaka 15, imeamua kutenga kiasi cha euro milioni 109 ili kurudisha matumizi ya vitabu...
Wakuu,
Kama una nyumba sehemu kaa kwa chonjo kuna habari mpya huku kutoka DCEA.
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), Aretas Lyimo, amewahimiza...
Kila kundi la vijana wa vijiweni lina historia yake, historia inayogusa nyoyo, inayosimulia simulizi za huzuni, kukataliwa, na kusahaulika. Wanapokaa chini ya kivuli cha mti mchache wa mji...
Jeshi la Polisi Tanzania, liliagizwa na Makamu wa Rais Hon Philip Mpango kuhakikisha wanavaa kamera ambazo zitaonyesha vitendo vyao vyote wawapo barabarani, hapa namaanisha Traffick mnamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.