Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Uongozi wa Wilaya umetoa maelezo kuhusu madai ya kuwepo kwa Wananchi ambao hawajalipwa fidia ya kuhama katika Bonde la Mto Ruhila ambapo wametakiwa kuhama ili kupisha sehemu hiyo ya hifadhi. Mdau...
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Wadau hamjamboni nyote? Ukweli uko wazi na lazima usemwe hata kama unakera Tafakuri ya kina kwa wenye ilimu ya theolojia Siku njema Genesis 25:6
0 Reactions
2 Replies
102 Views
Nilitegemea bima ya afya ya daktari imuwezeshe kupata huduma zote za matibabu na kwa haraka fast track,na vvp. 1)Kwa kuwa daktari anahudumia wagonjwa kama viongozi wa kisiasa n.k ambao wao BIMA...
1 Reactions
5 Replies
281 Views
Jana Pete Hegseth alipokuwa anahojiwa na kamati ya bunge, alisema alitambulika kama mwenye "msimamo mkali" hivyo kukataliwa nafasi hio ya kulinda sherehe ya uapisho wa Rais Biden. Lakini cha...
0 Reactions
2 Replies
248 Views
Kuhakikisha mtoto wako halii usiku ni changamoto ya kawaida kwa wazazi wengi, hasa kwa watoto wachanga. Hapa kuna mbinu zinazoweza kusaidia Hakikisha mtoto ana ratiba ya kulala inayofuatwa kila...
5 Reactions
16 Replies
734 Views
Wakulima 2000 Wilayani Kiteto wamemuomba Raia Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wao na hifadhi ya Makame WMA iliyodaiwa kupora maeneo yao waliyotumia zaidi ya miaka 15. Chanzo: EATV
0 Reactions
1 Replies
258 Views
Salaam kwako Ndg Mussa Kilakala, DC na M/Kiti kamati ya ulinzi Wilaya ya Morogoro (Mjini naVijijini). Kuna mgogoro mkubwa wa Ardhi unaendelea ndani ya manispaa yako Mtaa wa Ngerengere B, kata ya...
1 Reactions
3 Replies
184 Views
Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa. Ingawa kanisa hilo halikuwahi kukataza wapenzi wa jinsia moja kuwa mapadri...
4 Reactions
168 Replies
4K Views
Yawezekana nyakati hizi unapitia changamoto fulani, nakuombea usibaki kwenye hilo sononeko bali mtazame Mungu ukajipe tumaini kwake na mambo yako yatakuwa sawa. Kikubwa mwanadamu pale alipo...
12 Reactions
91 Replies
1K Views
Aman iwe nanyi wapendwa katika bwana Husika na kichwa cha habari hapo juu Ni tikuo kubwa sana ambalo huwa nalikumbuka had leo, nikikumbuka huwa nabaki na maswali mengi sana Vp kama...
12 Reactions
249 Replies
17K Views
Leo nipo zangu kwenye daladala na kavocha kangu ka 500 nimeshakwangua tayari kwa kuingiza. Wakati naingiza nilikuwa nahangaika maana kioo changu hakitachi vizuri. Jamaa wa jirani akawa anainakili...
12 Reactions
40 Replies
899 Views
Wdau hamjamboni nyote? Nimeweka nukuu ya Nabii Mke wa Waadventista Wasabato Hellen G White akidai kuambiwa saa na siku ya kurudi kwa Yesu Kristo katika njozi "As God has shown me in holy vision...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Wadau katika zunguka yangu katika Mkoa wa Kagera leo nimefika katika kijiji kimoja kinaitwa Buzi tarafa ya bugabo huko Bukoba vijijini. Hiki kijiji niliwahi kusoma taarifa zake hapa na masuala ya...
2 Reactions
1 Replies
380 Views
Wanakijiji 10 wa kijiji cha Chang’ombe kilichopo kwenye kata ya Segera wilayani Handeni wamefariki dunia kwa kugongwa na lori lililopoteza uelekeo wakati walipojitokeza barabarani kutoa msaada...
-1 Reactions
38 Replies
1K Views
Na kinachowatofautisha ni mafunzo tu. Kwa sababu hata huyo mbwa wa kizungu inabidi kila baada ya muda flani inabidi uwe unampeleka kwa mwalimu. Na usipofanya hivyo naye anarudi kuwa mbwa koko tu...
6 Reactions
34 Replies
1K Views
Sewa Haji, soma historia ya mtu aliyetukuka. Ndie aliyetajwa katika moja ya wodi ama majengo ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili... Inasadikiwa Hospitali ya Muhimbili ndie aliyeijenga kabla ya...
1 Reactions
5 Replies
375 Views
Kwa takwimu za kimataifa, katika bara la Africa, Tanzania ni nchi ya pili kwa wingi wa Ng'ombe (bila kujumuisha kondoo, mbuzi, na kuku) ikitanguliwa na Ethiopia. Sasa cha kujiuliza, kitu gani...
15 Reactions
119 Replies
3K Views
Naam huu ndio mwaka wa hekaheka, waswahili husema mtoto hatumwi dukani. Kama ulikuwa unasikia "tukutane 2025" basi mwaka wenyewe ndio huu. Kuna mtu aliwahi kusema "mwaka wa kula hela za wajinga"...
2 Reactions
3 Replies
243 Views
Nimeona ITV kuna zoezi linaendelea kwa kukagua daladala kila mji. Niwajuze tu kama mtakagua daladala za Dar es salaam yaani zile ofisi zitajaa mabasi mpaka tuchoke. Nashauri zoezi liishie tu...
4 Reactions
12 Replies
592 Views
Wakuu, Ama kweli miaka inakatika. Nimekutana na washkaji zangu yaani 80% wana viapra na mvi. Uzee tayari. Kijana, ukipata nafasi, fanya mambo yako chap kwa haraka, umri haukusubiri. OA , KUWA...
48 Reactions
191 Replies
5K Views
Back
Top Bottom