Mtaalamu wa Uchumi wa Umoja wa Mataifa amesema kiwango Cha Uzazi Nchini Tanzania kinazidi kupungua kutoan wastani wa 6.5 Hadi 4.5 jambo ambalo ni hatari Kwa Nchi kama Tanzania ambayo inaendelea...
Hali ya taharuki na vurugu vimeibuka katika Mtaa wa Elkiroa Kata ya lemara Mkoani Arusha baada ya Wananchi kuweka kambi katika Familia ya Kijana Elibarik Tarimo kwa siku tatu baada ya kudaiwa kuwa...
Wakuu,
Waziri wa Elimu, Sayansi na Tekonolojia, Dkt. Adolf Mkenda amesema wizara hiyo itatuma timu ya wataalam Shule ya Sekondari Baobab iliyopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani kuchunguza kwa...
Acheni kulalamika, mwamba ametoa shavu bila masharti magumu!Hakuna cha unamjua fulani, tuma kazi yako!
https://x.com/elonmusk/status/1879531470886465545
Jumanne tarehe 14 Januari 2025, Baba Mtakatifu Francisko amefanya teuzi mbali mbali katika ofisi za Curia Romana.
Kwa njia hiyo amemtetua, Mheshimwa, Monsinyo Gilbert Ndyamukama Gosbert, kuwa...
Habari za Leo?
Jamani, nimeshirikishwa fursa na mtu mmoja, anasema, Kuna biashara mtandao inaitwa Governmentwide Acquisition Contract (GWAC).
Watu wanawekeza pesa na ukishawekeza baada ya siku...
"Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu:
Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia...
Kuhusu maendeleo ya kiteknolojia, Africa hatujalogwa na wala hatuna udhaifu wowote ule wa kimwili au kiakili unaotufanya tuwe nyuma kiasi hiki, bali ni mazingira ya makusudi tuliyowekewa na...
Je, unamfahamu madhara ya condom iliyotumika ambayo utupwa ndani ya Choo ao jalalani ambayo ndani yake mna manii. Hivi unajua kazi yake ni ipi kwenye ulimwengu wa roho.
HORACE Kolimba ni miongoni mwa viongozi waandamizi nchini ambaye Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alitofautiana naye na baadhi ya wenzake kuhusu masuala ya msingi katika uongozi na mwelekeo...
Habari Tanzania !
Nipenda kuweka maombi kwenu ewe SERIKALI na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania mkishirikiana na Makampuni ya huduma ya Mawasiliano nchini.
Endapo na ikiwapendeza mtoe huduma za...
Jina Ziwa Victoria liliundwa na John Speaker kumuenzi Malkia wa Uingereza, pamoja na kupata uhuru Bado tunamkombatia mkoloni, tunapaswa kubadili jina la ZIWA Victoria kama EAC.
Ukoloni unapoisha...
Yeeeerrrrreeeeh wanajamvi
Kuna uwezekano timu ya mpira maarufu kwenye ligi ya uingereza liverpool FC kukosa ubingwa msimu huu kutokana na vita huko mashariki ya kati.
Hii vita ya majibizano kati...
Kuna mambo yanafikirisha sana asee, gharama za umeme Bado zilezile, badhaa Bado na bei ileile, uchumi wetu raia Bado uleule!. Ni kwanini tulijenga hili bwawa ili tuwashie taa? Viwanda havijengwi...
Tangu mwaka huu 2025 umeanza TANESCO wamekuwa na huduma mbaya ndani ya Mkoa huu wa kwao wa kiutendaji (KINONDONI SOUTH) hasa njia ya umeme ya kutoa huduma kuanzia Kimara mpaka Kibamba.
Umeme Kila...
Hakuna mtu yoyote mwenye pride duniani akamaliza maisha yake salama..
Its written in the all holly books.
Wahenga wamezungumza, methali za kiswahili zimesema "" Hakuna usalama kwa mtu mwenye...
Imeelezwa kuwa ndege huyo aina ya Faicon aliyefuatiliwa mwenendo wake na kifaa cha GPS amesafiri kutoka Afrika Kusini hadi Finland akikamilishsa Kilomita 230 kila siku na kukamilisha safari yake...
Waziri wa Maji, Jumaa Hamidu Aweso, amewaasa wafanyakazi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) kuacha kuzoea shida za wananchi, na badala yake kuzitafutia ufumbuzi ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.