TanRoads Rukwa hebu kueni na consistency kwenye specifications zenu.
Inakuaje Taa Mpya mlizofunga Sumbawanga Mjini na Kijiji Cha Chala na Kaengesa huko hazitoki Mwanga wa kutosha muda wa usiku...
Mwanaharakati na mhariri wa kujitegemea, Maria Sarungi, amesema baada ya kuachiwa jana usiku na watekaji, walimtaka asiongee na mtu yeyote na asizungumze chochote kuhusu tukio hilo.
Maria amesema...
Wanabodi,
Bado niko hapa nchini Marekani kwa ziara binafsi, nimejitahidi kujichanganya na baadhi ya wana diaspora wa Tanzania walioko nchini Marekani, na kujiuliza jee wana Dispora wetu...
Maelezo ya Malalamiko:
Naandika malalamiko haya kwa niaba ya ndugu yangu ambaye ni mwanachama wa NSSF na alifuata taratibu zote zinazohitajika ili kudai faida za uzazi (maternity benefits)...
Nianze kwa salaam
Natumai wote wazima, ningependa niende Moja kwa Moja kwenye mada ambapo nilikua naomba mnisaidie katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu katika mikopo ya halmashauri...
Naona kuna raia wanasema umpeleke kituo cha polisi Ili sheria ifanyike Sasa najiuliza Hawa wezi wanavyotuvamia unakuta wanatuua na pesa zetu wanabeba inamaana wao ni wanahaki ya kuua na kuiba pesa...
Wanaume wengi wakifikisha miaka kuanzia 45 hadi 65 (miaka ya husda na fitina) wana anza kua na roho mbaya bila kua na sababu za msingi kisa wenyewe wamekosea maisha nakushindwa kupata ndoto zao za...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kudai kuwa kuna changamoto kadhaa ndani ya mfumo wa Chuo Kikuu cha SAUT (Augustine University of Tanzania - SAUT), ufafanuzi umetolewa.
Mwanachama huyo...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania, Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13...
“Natoa wiki moja kuanzia tarehe 13 Januari 2025 Wazazi na walezi hakikisheni wanafunzi wote waliochaguliwa kujiunga na masomo katika Wilaya ya Mufindi wanaenda Shuleni, tarehe 20Januari, siku ya...
Yesu alisema ukifunga jiweke uso wako vizuri kwa mafuta ili mtu asijue unafunga. Ni dhahiri kwa mafundisho yake funga ya mkristo ni suala binafsi na ni siri ya anayefunga.
Vipi leo haya maredio...
Hii ni true story ya mpangaji wa bibi yangu pale ilala kota,naandika uzi huu kama hamasa kwa wapambanaji wote kwamba ukiweka malengo na kuishi nayo hakika utafika pale unapotaka kufika
Mpangaji...
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam.
Taarifa za...
Mwenzie mmja wa Ghana , BBC iliripoti kwamba Kwa umri wa miaka 15 tayari ni mrefu kushinda vipimo vyote na anazidi kuendelea kukua ambapo Utafiti ulionesha bila.kufa yiwa vipimo anaweza kuwa kama...
Ni muda mrefu sasa, yapata mwezi mfumo wa TMS Check wa polisi kitengo cha usalama barabarani haupo hewani. Hii inapelekea usumbufu kwa dereva kwa kutoweza kuangalia mwenyewe kama ameandikiwa fine...
Waungwana kuna mambo maishani huwa yanapotazamwa humuachia mtazamaji kila aina ya tafakuri kichwani mwake. Ndani ya miaka kadhaa ya hivi karibuni, kumezuka tabia ya watu kuitundika bendera ya...
Sote tunatambua kuwa EWURA wamezuia mafuta ya petrol na Diesel kuuzwa kwenye madumu. Swali langu kwa wale watu ambao wana mashine zinazojienndesha kwa kutumia hiyo nishati watafanyaje?
Kwa mfano...
Kama Kuna mashirika ya Umma yanatafuna Kodi za Watanzania basi ni haya mawili kwa sasa.
Kafulila ni lini haya mashirika mtayatafutia mwekezaji wa Ubia?
Pia soma: Kafulila: Tanzania ina miradi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.