Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Sasa hivi ukionekana humo unaonekana na wewe mtafuta malaya..
13 Reactions
76 Replies
11K Views
Je unajua ubatizo unaua na vile vile unaokoa?. Ipo siri kubwa sana katika ubatizo ambayo laiti watu wengi wangeijua wangeutafuta kwa bidii zote. Hebu tusome mistari ifuatayo, 1 Petro 3:20 “watu...
1 Reactions
2 Replies
266 Views
Mimi nikijana nimepanga geto sasa hapa hii nyumba ina vyumba vitatu tuu kimoja na kama mm bachela kingine anakaa mwenye nyumba na mke wake kilichobaki anakaaa jamaaa pia mpangaji kaoa sasa Ishu...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Mstari unaotenganisha Rap na uhuni ni mwembamba sana. Mimi ni mmoja wa watu wanaopenda zaidi rap kuliko aina yeyote ya mziki. Ili roho yangu isuuzike kusikiliza mziki basi inabidi iwe rap. Zamani...
2 Reactions
6 Replies
217 Views
Niliwahi kumuuliza tajiri mmoja ambae najua hela zake sio za kukwepa kodi kwamba "Kwa nini unajihusisha kutoa sana misaada wakati wewe ni tofauti na wengine sababu wengine hutumia hio njia...
4 Reactions
6 Replies
328 Views
Hili swali nimejiuliza kwa muda mrefu sana na sijawahi kupata jibu. Inakuwaje unaenda dukani unakuta muuzaji anauza mchele au karanga ambazo hazijachambuliwa? Inafikirisha sana karne hii na...
0 Reactions
5 Replies
194 Views
Nimeona kwenye movie nyingi za kileo wengi sana wamejichora miili yao. Nilidhani labda ni maigizo tu wameamua kutokeza kwa staili hiyo lakini nashangaa hata matukio mbalimbali ambayo ni halisi...
2 Reactions
2 Replies
153 Views
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa kuelekea kuwa nguvu ya kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, mwelekeo uliothibitishwa na uongozi wa mabadiliko wa Rais Samia...
4 Reactions
43 Replies
925 Views
Wakuu, Hawa waajiriwa wapya wa maweni wote hawajalipwa hela za kujikimu. Na ukiangalia intake yako hospitali zingine zote wamelipwa. Ndo kusema ukiwa Kigoma kila kitu kigumu hadi stahiki muhimu...
2 Reactions
56 Replies
836 Views
Kueleka mwaka 2050 serikali ya Tanzania imehimizwa kuweka lengo la kuhakikisha kuwa kunakuwa na muongozo sahihi wa matumizi na ulinzi ya akili mnemba (Artificial Inteligence) ili kuhakikisha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa. 2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati...
3 Reactions
33 Replies
1K Views
Kufuatia kufunguliwa kwa shule, waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu amekemea vikali tabia ya BAADHI ya Wazazi na BAADHI ya Walimu kupiga watoto kupita kiasi BILA...
4 Reactions
15 Replies
569 Views
Kwema Wakuu? Naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Tanzania ni nchi ambayo inaingiza au kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje. Bidhaa hizi zinaweza kua za mahitaji au matumizi binafsi, bidhaa za...
6 Reactions
10 Replies
240 Views
Maelezo yake ni dhahiri ya kupikwa, hayana uhalisia hata kidogo. Script haikuandaliwa vizuri. Kwakua mwanaharakati huyo amekua akipuuzwa kwa muda mrefu katika masuala mbalimbali anayojaribu...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
SERIKALI imeanza ujenzi wa hospitali ya rufani katika Kisiwa cha Nansio Wilaya ya Ukerewe kwa lengo la kuwaondolea adha wananchi kuvuka Ziwa Victoria kufuata matibabu ya kibingwa jijini Mwanza...
1 Reactions
1 Replies
166 Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Wahariri na Waandishi wa Habari kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Vyombo vya Usalama katika utekelezaji wa...
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Kwa karne nyingi, Afrika imekuwa ikijulikana kama bara tajiri kwa rasilimali zake za asili. Tunapenda kujigamba kuwa tuna dhahabu, almasi, mafuta, gesi, ardhi yenye rutuba, na madini adimu. Lakini...
2 Reactions
0 Replies
124 Views
Wakuu nimeitwa Usaili Bukoba , baada ya kusambaza CV yangu Ila changamoto nilionayo ni nauli tu. Kama unaweza nisapoti lift nitashukuru Sana . Au Kwa namna yoyote ile.
2 Reactions
7 Replies
203 Views
KUTOKA KWENYE KITABU CHA NAMBA NAMBA YA BAHATI : NAMBA 21 ili kuvutia bahati nzuri na furaha, rudia namba "Ishirini na moja." Kwa sababu hii ni namba ya neno"furaha", hii ni kwa sababu...
2 Reactions
12 Replies
487 Views
Naomba nisiseme sababu hapa ila kama Raia Tukuka wa Afrika Mashariki naomba atulie Kwanza kwani Hali ya Anga kwa sasa si nzuri Kwake. Na kama itampendeza basi ajitahidi mno kwa mwaka huu wa 2025...
10 Reactions
34 Replies
1K Views
Back
Top Bottom