Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

REMEMBER YOUR AGE GROUP TODAY IN THIS YEAR 2024 OVERTIME AGE 1924 - 100 years 1925 - 99 years 1926 - 98 years 1927 - 97 years 1928 - 96 years 1929 - 95 years 1930 - 94 years 1931 - 93...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni elimu ndiyo itaifungua nchi yetu kutoka kifungo cha ujinga na umaskini Ni elimu ndiyo msingi wa maisha na maendeleo Ni elimu ndilo chimbuko la viongozi weledi na wenye mafanikio nchini...
7 Reactions
6 Replies
192 Views
Makala iliyochapishwa na Watetezi Tv inamuonesha Mwananchi huyo Athuman Mohammed Zuberi (46) na baadhi ya wanafamilia wakieleza madai mbalimbali wanayodai kukumbana nayo.👇...
1 Reactions
3 Replies
236 Views
Ndugu wanajamvi, Kabla ya yote ningependa kutanguliza pongezi na hongera nyingi za kuweza kufika December tukiwa na pumzi. Pasipo kupoteza muda, ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mkasa...
14 Reactions
86 Replies
3K Views
Huyu alijiita member wa Deep State na alileta uzi hapa akidai kuna rais ataibuka Tanzania na kutawala kuanzia 2022 Hadi 2032. Utabiri huo uligonga mwamba. Happy New Year...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni ugeni mkubwa mwaka huu.. Maandalizi ni mengi na ni makubwa lakini yanayofanywa kwa siri kubwa sana hasa na wachina wenyewe. Madalali wa kichina tayari wako nchini wakizisaka fursa na...
46 Reactions
184 Replies
6K Views
Mkuu wa Wilaya ya Singida Godwin Gondwe, amewapigia magoti Wananchi wa Vijiji vya Msikiii na Munkhola katika Wilaya hiyo ikiwa ni msisitizo wa kuwaomba waondoke katika eneo walilovamia la hifadhi...
2 Reactions
6 Replies
589 Views
Jeshi la Polisi kikosi cha usalama Barabarani kimesema kuwa baada ya kuhitimisha zoezi la ukaguzi wa magari ya shule(School Bus) kwa kipindi cha likizo ambacho kilitangazwa ili kuondoa usumbufu...
2 Reactions
1 Replies
163 Views
Huu uzi ningeshauandika kitambo ila wakati nataka kuandika ndo likatokea janga la moto huko Marekani. Wataalamu wameshaongea kuhusu sababu za moto na kutaja kuwa chanzo ni moto wa mwituni ulioenea...
6 Reactions
12 Replies
325 Views
Kuna wakati mtu unapata pesa za haraka alafu unashindwa kuwaza ufanye nini kwa haraka ili pesa yako isiishe bila kufanya cha maana. Wengine wanapata kutoka kwenye kiinua mgongo, mafao fulani...
2 Reactions
30 Replies
809 Views
Hukumu ya kesi ya kubaka kwa kundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti, mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam inayowakabili washtakiwa wanne wakiwamo askari wa Jeshi la Ulinzi la...
7 Reactions
158 Replies
8K Views
Kesi ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume na maumbile binti mkazi wa Yombo Dovya jijini Dar es Salaam, inayowakabili washtakiwa ‘wanaodaiwa kutumwa na afande’ leo Jumatatu, Septemba 2...
1 Reactions
6 Replies
677 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imeamua kuwa washtakiwa wanne wanaokabiliwa na kesi ya ubakaji wa kundi na ulawiti dhidi ya Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam, wana kesi ya kujibu. Uamuzi huo...
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Likizo yangu ya mwaka jijini Dodoma ilikuwa nzuri, tumshukuru magufuli kwa kuhamishia Serikali Dodoma, pamepambazuka sana, pamechangamka, kuanzia saa moja usiku hadi saa sita usiku panakuwa...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Utangulizi: Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo...
2 Reactions
6 Replies
289 Views
Nyota ya Samia inazidi kuwaangazia Watanzania,bila shaka na Prof.Janabi atafuata 👇👇 https://www.instagram.com/p/DEwiFCTMRzB/?igsh=MWViaGhlN3AxMDB4Mg==
0 Reactions
5 Replies
237 Views
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, anatoa tamko muda huu. Tamko hili linahusu masuala muhimu yanayogusa sekta ya sheria, haki za binadamu, na maendeleo ya taifa kwa...
2 Reactions
7 Replies
421 Views
Meneja Biashara wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Magreth Mambai (kushoto) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa mteja wa kampuni hiyo jijini Mbeya kwenye pikipiki...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Wakuu! Naomba nielezee na hii walau kwa uchache. Katika pitapita zangu za hapa na pale na kuangalia huku na kule kwenye kujitafuta, kujitafakari, kufikiri na kujichanganya na watu tofauti...
32 Reactions
255 Replies
6K Views
R.I.P Watoto 👇👇 https://www.instagram.com/p/DEwz9WII2fT/?igsh=a2xybHg0Y25idWEz
1 Reactions
5 Replies
268 Views
Back
Top Bottom