Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mimi kama mama. Naomba waziri waa mbie waache visa vyao, wanapogombana wao kwa wao anayeumia ni mama. Wasichana wadogo wanabakwa, wakinamama tunadhalilika. Jamani tuoneeni huruma mpate uongofu wa...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Naona zinanichanganya nashindwa kuelewa ni kampuni moja au tofauti Kama ni kampuni moja iweje na matoleo ya majina tofauti kwa mfano Kuna Xiaomi 14 na Kuna Redmi note 13 simu zote hizo utakuta...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Anonymous
Tumekua tukikosa maji bila taarifa hata wiki 3 mfululizo na DAWASA wakipewa taarifa wanajibu watashughulikia na hawafanyi chochote. Aidha maji yanaweza kutoka wiki moja tu ili waweze kutuletea...
1 Reactions
1 Replies
127 Views
Anonymous
DAWASA tunaomba majibu ni kwanini hatupati maji kwa kipindi chote hicho na bila taarifa, na pia wakipigiwa simu wanadai wanashughulikia lakini hakuna chochote kinachoendelea. Imekuwa ni...
1 Reactions
1 Replies
132 Views
DAWASA mna shida gani maji hayatoki maeneo mengi ya Dar es Salaam na mmekaa kimya tu hamsemi shida ni nini wala hamjatupa angalizo kuwa mnakata maji Ni takribani wiki sasa maji hayatoki maeneo ya...
3 Reactions
7 Replies
633 Views
Hali ya maji katika eneo linalohudumiwa na kituo cha Kimara ni mbaya Sana. Maji hayatoki katika baadhi ya maeneo karibu mwezi sasa. Hakuna taarifa yeyote inayotolewa. Viongozi wetu wa juu nao...
0 Reactions
8 Replies
405 Views
Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara. Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena. Mfano mara ya mwisho...
1 Reactions
33 Replies
987 Views
1. Kwa misiba ya Karibuni ya watu maarufu hapa nchini (Mafuru na Ndugulile) nimegundua wajane wote ni toka Uchagani. 2. Hawa viumbe wananusa fursa na kujulia namna ya kukuza kipaji cha mume mpaka...
37 Reactions
323 Replies
14K Views
Mtoto anafundishwa jinsi ya kukata kichwa kisha anazunguka damu mara kadhaa huku wote wakibwatuka allah akbar, baadaye akishakua mtu mzima, anategemewa aishi kama binadamu wa kawaida mitaani
2 Reactions
12 Replies
410 Views
Ni wazi kuwa uongozi wa Jiji la Dar es Salaam umeshindwa kudhibiti biashara haramu ya "dada poa" ambapo hivi Sasa biashara hiyo inawavutia wasichana wengi toka mikoa mbalimbali kuja Dar es Salaam...
44 Reactions
225 Replies
24K Views
Huu ni ushuhuda wa kweli kabisa. Katika maisha yangu nimekuwa nikiugua magonjwa mengi ya aina mbalimbali. Kifuani, tumboni, miguuni, katika vidole, machoni, masikioni, puani, kichwani, nk, nk...
74 Reactions
486 Replies
6K Views
Katika mazungumzo kati ya mwanakijiji na mkazi wa Mambisi na mtangazaji wa HakiTV, imegundulika kuwa kumekuwa na utupwaji wa maiti nyingi katika msitu wa hapo kijijini kwao, akisisitiza kuwa...
1 Reactions
5 Replies
267 Views
Ndugu zangu wana JF salaam, kuna jambo ambalo limekuwa kikwazo kwetu sisi wakazi wa Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora na Mkoa wa Tabora ambapo kama lisipofanyiwa kazi basi tutaendelea kuishi kwa...
0 Reactions
3 Replies
334 Views
Walimu 200,000 kugombania nafasi 14,000 ni kiashiria hii sekta haihitaji kuzalisha Walimu tena kutoka vyuoni, walioko wanatosha na kupitiliza. Hata serikali ikiwa inaajiri walimu 10,000 kila...
12 Reactions
60 Replies
2K Views
DAWASA, sielewi utendaji wao. Sisi wakazi wa Ukonga karibu na Aviation House, ni mwezi sasa maji hayatoki. Kuna tatizo la kutoboka kwa bomba kubwa Mlima Ukonga, lakini licha ya DAWASA Kinyerezi...
0 Reactions
5 Replies
209 Views
My Take Papa Fransis ameivunja mwiko wa kuwabagua wanawake kwenye masuala ya Uongozi wa kidini huko Vatican Kwa kumteua Mtawa wa kwanza mwanamke kwenye Jopo la Uongozi. VATICAN : KIONGOZI mkuu wa...
3 Reactions
14 Replies
712 Views
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu yangu; Mtanzania Raia Mpenda Misifa: Ukiambiwa umefanana na mtu wa usalama wa taifa usifurahie wala kuchekelea. Hiyo sio sifa njema hata...
19 Reactions
220 Replies
19K Views
Watanzania tuwe makini, kama unaamua kupeleka mtoto shule ya english medium, basi ni bora iwe international schools lakini hizi za uswahilini ni upuuzi mtupu, english yao utasikia "teacher is...
25 Reactions
43 Replies
2K Views
https://www.youtube.com/watch?v=gLonjJFJotY Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko,amesema kitendo cha wakulima wa wilaya ya Tanganyika kufyekewa mahindi kwenye msimu huu wa kilimo sio...
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Wakuu kwema? Nimisikia kuhusu hili na maeneo ya Mbezi Beach, Mikocheni na Masaki Masaki huko ni wahanga kweli. Unajenga nyumba inaweza ikabaki kidogo au ukaimaliza kabisa lakini ukawa una sehemu...
13 Reactions
89 Replies
3K Views
Back
Top Bottom