Ni wakiume Kazaliwa 2019 alipotimia miaka 4 nikampeleka nusary ile siku ya kwanza alivyoingia darasani akalia sana
Nikamrudisha abaki hom nikijua bado mdogo
Mwaka wa pili nikampeleka tena shule...
JESHI la Polisi mkoani Mwanza limethibitisha kuua watu wawili wanaodaiwa kuwa ni majambazi, katika jaribio la kuiba nyumbani kwa mfanyabiashara, wakiwa wamevalia mavazi ya kike kuficha jinsia na...
HilI jambo nazani liko well planned na ma elite wachache wanaojua wanataka kufanya nini. Rejea cartoon film za The Symptons ambazo zilitoka zamani lakini zikiwa na matukio yajayo miaka kadhaa...
Leo nikiwa zangu kazini katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, wife ananipigia simu kuwa nitakaporudi nitaoga matope. Namuuliza kwanini, ananiambia kuwa maji HAKUNA.
Sitaki kuiongelea...
Wakuu wasalam..
Wakuu uhai na kifo vimetenganishwa mstari mwembamba sana.
Kama wewe unadanganywa na kina Kiranga sijui Mungu hakuna wee subiri kila mtu zamu yake inakuja.
Wakuu katika haya...
Yaani Mwamposa umeona ukisema hizo Nyumba ni zako Utasababisha Waumini wako unaowakamua Kutwa waanze Kukukacha hivyo ukamtafuta Rafiki yako Lugumi kwakuwa Yeye ni Mfanyabishara basi ajifanye ni...
Kwema humu jamani, kwa nia njema tu sio kama nakufuru nauliza ili na mimi nipate kujua, ilikuaje mpka leo Sir God hajamsamehe Shetani, mana naambiwaga Shetani alimkosea Mungu lakini sikumbuki kama...
Kampuni za bima kwenye jiji la Los Angeles zimeanza kuwasilisha maombi yao haraka kwamba ya kufilisika.
Hiyo imejili kutokana na moto unaoendelea kuwaacha wakaazi wengi nje bila makazi.
Moto huo...
Hiki Chama bado sijakipa jina.
Sheria zake;
1.Kada atakuwa hana hiari ya kutokuwa na tabia nzuri. Yoyote atakayekuwa na tabia mbaya atakuwa amefanya kosa.
2.Kama kada akifukuzwa kwa kufanya kosa...
Chanzo: mtandaoni
George Simbachawere ni dharau kwa spika au maamuzi yako?
Kuna vijana wamejitolea kwenye shule za serikali zaidi ya miaka 3 hadi 4. Spika aliomba kufanyike utafiti ili wawe...
𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘆𝗮𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗸𝘂𝘁𝗲𝗻𝗴𝗲𝗻𝗲𝘇𝗮 𝗡𝗱𝗲𝗴𝗲 𝘇𝗮𝗸𝗲
Hatimaye Tanzania imefanikia kuanza kuunda ndege zake zenyewe ambapo Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amefanya ziara katika kiwanda cha Airplane...
Pontyo wa Pilato akawauliza wayahudi " Wanamtaka nani Kati ya Yesu na Baraba? Nani afunguliwe nani abaki?"
Kwa mshangao wa Pilato wayahudi Waka shout wakisema " Tunamtaka Baraba"
Hadi Pilato...
Habari zenu wana JF wenzang,
Leo nawaletea kisa cha ndugu yetu Nestory Bingwa, ambae ni mjomba wangu kabisa wa kuzaliwa na mama yangu mzazi.
Huyu bingwa ni miongoni mwa watanzania wachache sana...
Huku mtaani kuna mwizi alichezea kichapo usiku baada ya kutuhumiwa ni mwizi na kama mnavyojua hili neno ukiitiwa usiku wa saa 7 hata kama sio mwizi raia wanapiga.
Sasa inasemekana kapona hajafa...
Kumekuwa na wizi wa mita za maji maeneo ya Mbweni Teta kwa kasi sana na hakuna jitihada yoyote ya uchunguzi inayofanyika na DAWASA.
Pia soma ~ Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya...
Kama unahisi something wrong on ur life circulation, i recommend to you this book, 'The Power of Your Subconscious Mind'. Kama unahisi Maisha yako yamepoteza maana Soma hiki Kitabu.
Kila kitu...
CHANYA
Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu.
COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.