Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Baadhi ya Kampuni za simu Tanzania nadhani hazina akili timamu, tabia ya kuzuia simu za wateja na kuwachatisha WhatsApp kupitia BOT ni ulimbukeni Hii tabia ya baadhi ya kampuni za simu kuzuia...
5 Reactions
19 Replies
565 Views
Shirika la Reli Tanzania (TRC), linapenda kutoa pole kwa abiria waliokuwa wakisafiri kati ya Dar es Salaam, Morogoro na Dodoma Januari 8, 2025 kufuatia usumbufu uliojitokeza kutokana na hitilafu...
1 Reactions
11 Replies
769 Views
Wakuu, Katika mji wa kale wa Hierapolis nchini Syria, picha ya ajabu ya uso wa Yesu Kristo imefunuliwa, inayojulikana kama "Keramion." Kipande hiki cha kipekee cha sanaa kinatokea katika enzi...
7 Reactions
20 Replies
984 Views
Dunia imebadilika sana Wenzetu wa nchi Jirani hasa Rwanda na Kenya wanaexport huduma za kiulinzi Sisi bado tuko na kuexport Maua, maparachichi na nanasi
4 Reactions
16 Replies
457 Views
Kutokana na moto unaoendelea kuweka huku miundombinu likiendelea kuharibika Zipo taarifa kadhaa ikiwamo moto huo kuhusishwa na ugaid Na kama itakuwa ndivyo basi marekan atakuwa amevuliwa nguo...
2 Reactions
12 Replies
516 Views
Wakuu, naaamini humu kutakuwa na wajuzi watakaoweza kujibu swali langu hili. Kama umegonga Twiga kama inavyoonekana hapo pichani, faini yake huwa ni shingapi? Hii picha nimekutana nayo huko X na...
6 Reactions
66 Replies
2K Views
Waziri wa Michezo wa Kenya amedai kwamba Kenya ndio imechaguliwa kuwa Mwenyeji wa mechi za Ufunguzi na Fainali za AFCON ya mwaka 2027 pamoja na mechi zingine. Sasa naomba ieleweke kwamba mechi za...
13 Reactions
90 Replies
6K Views
Jamani kwema? Nisiwachoshe. Wiki ilopita nilikuwa kitaa na Binti mmoja ni Binti ambaye kiukweli nimekuwa nampigia hesabu za kumtongoza toka kitambo. Sasa nikaanza zile hatua za mwanzo zikiwemo...
6 Reactions
10 Replies
597 Views
Wakuu, Akiwa anatoa "zawadi" ya bodaboda hivi karibuni kwa mchekeshaji Asha Boko, Steve Nyerere amesema kuwa kuna kipindi alikuwa na Rais Samia na kwamba Rais Samia alimuuliza yeye kuhusu wapi...
4 Reactions
8 Replies
392 Views
Imeelezwa kuwa Serikali ya Awamu ya sita, inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa ushirikiano wa ufadhili wa Benki ya Dunia kupitia mpango dharura ( CERC PROJECTS), imetoa kiasi cha...
1 Reactions
2 Replies
164 Views
Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma linawashikilia mume na mke, wakazi wa mtaa wa Mji Mwema manispaa ya Songea kwa tuhuma za kuiba mtoto mwenye umri wa miezi 11 (jina limehifadhiwa). Akizungumzia tukio...
1 Reactions
12 Replies
300 Views
Wanachuo wanatumika zaidi ya madada poa ni wajuaji, wabishi na wajeuri now days wanajiita feminist ni uchafu mtupu. Ona Binti wa kidato Cha nne au aliemaliza darasa la Saba inatosha. Utapata...
14 Reactions
52 Replies
1K Views
Mwaka 2018, Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya usimamizi wa Mkurugenzi wake, Masanja Kadogosa lilifanya bomoabomoa kubwa katika maeneo mbalimbali kando ya Reli ya Kati, likiwa na lengo la...
1 Reactions
2 Replies
454 Views
Hotuba ya waziri mkuu wa Zanzibar Mohammed Shamte kwenye mkutano wa united nations tarehe 16/12/1963
1 Reactions
0 Replies
91 Views
Nimeshituka sana tangu Jana kuaona ajira za walimu na idadi ya walioomba , kumbuka anayesoma ualimu ni either 1. Mtoto wa maskini 2. Uwezo mdogo shuleni 3. Kama hayo mawili hayapo Basi alikumbwa...
1 Reactions
4 Replies
275 Views
Napata hili tatizo leo, naomba wahusika mrekebishe haraka
1 Reactions
4 Replies
155 Views
Kati ya mwaka 1968 na 1970, mtafiti wa tabia za wanyama, John B. Calhoun, alifanya jaribio maarufu liitwalo "Universe 25", ambapo alichunguza maisha ya panya waliowekwa kwenye mazingira ya anasa...
6 Reactions
15 Replies
680 Views
Wakuu, hii ni seriously nahitaji mkopo laki 600,000 marejesho ni ndani ya mwezi mmoja riba nitayoomba nitoe isizidi 25% nipo dar es salaam. Dhamana naweza kuweka vifaa vyangu vya bakery km mxer...
6 Reactions
25 Replies
4K Views
Ni jambo la kushanga ila ni tukio halisi, Rais Daniel Arab Moi wa Kenya mwaka 1994 aliwahi kuunda tume maalum ya Rais kuchunguza imani za waabudu shetani Kenya. Hata hivyo baada ya ripoti kutoka...
1 Reactions
3 Replies
169 Views
Back
Top Bottom