Habari za leo ninyi nyote Bibi/Bwn?
Nina mtoto wa kiume ana miaka 2 sasa ameanza kuongea lakini nimegundua ana kigugumizi cha hatari.
Binafsi mimi mwenyewe nina kigugumizi cha kuzaliwa sio...
Mimi ni mmoja wa Wasafiri wa Treni ya SGR, nilikata tiketi ya kuondoka asubuhi ya Saa 12:00 leo Januari 8, 2025 lakini ulipofika muda huo safari ikasogezwa mbele kwa nusu saa.
Safari yangu ni...
Kesi za mirathi na kesi zote za umiliki wa ardhi na majengo zimepata suluhu baada ya Mh Jerry Silaa kuongeza kasi ya kukomesha wale wote wanaosababisha mtafaruko ndani ya jamii
Mh raisi Samia...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila katika ukurasa wake wa Instagram ame-share video fupi ikimuonyesha akifanya mazoezi na Simba wanaofugwa katika pori la akiba la Mabwepande jijini...
SANAA YA VITA
XII: KUSHAMBULIA KWA MOTO
1. Su Tzu alisema: Kuna njia tano za kushambulia kwa kutumia moto. Ya kwanza ni kuunguza jeshi kwenye kambi yao. Njia ya pili ni kuchoma maghala ya...
Habari wakuu,natumaini mko poa..
Nina ishu ktk kumalizia kibanda changu, nahitaji frame za milango na milango/top kwa ajili ya milango ya nje miwili mkubwa (double) na mdogo wa kawaida.
Kwa...
Kupitia jukwaa hili, mimi mwananchi wa Kata ya Kabondo Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu.
Kwa niaba ya Wananchi wa kata hii, naomba kuleta malalamiko yetu kwa viongozi hasa Mheshimiwa Rais na Waziri...
Hili Soko la China linalojengwa pale Ubungo Msilichukulie poa kabisa mchina atauwa Biashara nyingi sana kuanzia za hawa Niagize china hadi Hawa Silent ocean ambao wanasafirisha mizigo ya watz...
Habari wadau.
Binafsi ni mkristo. Ila nimependa sana utaratibu uliowekwa kwenye makaburi ya waislamu Tabata segerea.
Kanuni yao namba moja ambayo inakataza kujengea kaburi ni nzuri sana.
Imeelezwa kuwa kundi la vijana kati ya umri wa miaka 15 mpaka 24 wanaongoza kwa kuchangia maambikizi mapya ya VVU – UKIMWI ambayo ni sawa na Asilimia 40 (40%).
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu...
NIKIENDA SOKONI NAMUUNGISHA MFANYABIASHARA MWANAUME NA KUMUACHA MFANYABIASHARA MWANAMKE KWA SABABU ZIFUATAZO:
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Íwe ni Mabibo SOKONI, iwe ni Kariakoo, íwe ni...
Hebu vuta picha, umetembelea mahali ambapo hujawahi kufika lakini unagundua kwamba kuna kitu cha ajabu, unatazama kushoto unamuona mtu mmoja lakini ukigeuka upande mwingine, unamuona mtu mwingine...
Nimeona Habari hii ITV, nikasema ngoja nishare na wanajukwaa.
Inatoka uko Kijiji cha Nyangunge kilichopo katika Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu, wananchi wa Kijiji hicho wanasema wamekosa huduma...
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nimeshuhudia mimi mwenyewe. Nilikuwa na mgonjwa aliyehitaji huduma ya dharura katika hospitali moja ya Wilaya ya Ilala. Tena tumemkimbiza usiku wa saa sita...
Mada hii ni zao la mada hii ya kumbukumbu za ulimwengu
https://www.jamiiforums.com/threads/kumbukumbu-za-ulimwengu-world-archives.1995367/
Kumbukumbu za ulimwengu (World Archives)
Ni wazi dunia...
I. 道 The Way
1. The Way that can be told of is not an Unvarying Way.
2. Because every one recognizes beauty as beauty, ugliness exists.
3. Cease to set store by products that are hard to get...
Ni tafsiri isiyo rasmi ya mduara/ mzunguko wa milele
Tunaambiwa na kuaminishwa kwamba hakuna kinachodumu milele lakini ni sahihi kabisa... Lakini kuna mwendelezo katika hilo kuna maelezo ya ziada...
ZIJUE NYAKATI VIZURI (1)
Imeandaliwa na kuandikwa na Dr Dogoli kinyamkela
🗣️Kila kiumbe ambacho kinaishi katika dunia hii kina nyakati zake, majira yake ya kuwa hivi ama vile Kulingana na...
Nikiwa chini ya miaka 20 nilikuwa nawaza sana mambo makubwa makubwa umasikini na shida niliona kama vitu vya kupita.
Nilikuwa najiuliza na kushangaa sana inakuwaje mtu anaishi mpaka anafika miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.