Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Great thinkers na wataalamu wa taa hii gharama ni Sahihi au watu wanakusanya za uchaguzi?
11 Reactions
72 Replies
2K Views
HUU NI ULIMWENGU WA UDANGANYIFU ✍️Kuweza kuelewa kuhusu ulimwengu asili lazima ujiunge na wakushi yaani watu wa asili,huko utaweza kutumia mimea,mafuta ya mimea ,wanyama na ndege ,mawe ya kiroho...
1 Reactions
0 Replies
234 Views
Wakuu mpo? Kwa wale mlio na familia namaanisha mke na watoto nadhani mtanielewa kwa haraka, Mtu aliyeoa mwenye majukumu, mwenye afya njema ni nadra sana kumkuta kalala ndani bila kujishughulisha...
2 Reactions
5 Replies
153 Views
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea kuonyesha dhamira yake ya kuboresha huduma kwa wananchi. Moja ya mafanikio makubwa ni uboreshaji wa mfumo wa...
0 Reactions
8 Replies
248 Views
💠💠💠💠Namna ya kuona aura yako💠💠💠💠 ✍️Kama ilivyo katika aina nyingi za uwezo wa kiakili, kuona aura kunaweza kutokea kwa hiari au kwa mapenzi. ✍️Wakati mwingine watu huripoti kuona aura ya rafiki...
3 Reactions
0 Replies
366 Views
Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini. Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo. HUWEZI...
25 Reactions
130 Replies
4K Views
Tuanze na wanawake wa Mikoa kama Manyara, Singida, Mara, Kilimanjaro, Arusha na Dodoma. Makabila Wambulu, Wamangha'ti, wagogo, wanyaturu, wakurya, wajaluo wajita, wanyiramba, wapare, wachagga...
3 Reactions
13 Replies
335 Views
Niliona kwenye luninga kwamba kuna meli la kivita la Chaina ripo hapa Tanzania kutoa huduma za afya na matibabu bure.Hivi bado wapo?mlokwenda jee ipo kwa wapi nafikaje mfano mtu ninayeishi Tabata...
1 Reactions
3 Replies
291 Views
Nisaidie hiyo meli ipo sehemu gani na napanda gari hadi wapi Niliona kwenye luninga kwamba kuna meli la kivita la Chaina lipo hapa Tanzania kutoa huduma za afya na matibabu bure. Hivi bado wapo...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
103 Reactions
363 Replies
25K Views
Habar wakuu nna mdogo wangu kasoma civil engineering anataka kwenda Norway kuhangaika kwa kazi yoyote. Nauliza wadau yoyote mwenye uzoefu wa viwango vya mishahara zakazi za aina zote uko norway
0 Reactions
6 Replies
590 Views
#HABARI Mfanyabiashara wa madini Marwa Masese Festo (55) pamoja na mtoto wake John Marwa (30) wakazi wa Kunduchi Mtongani jijini Dar es Salaam, wameuawa baada ya kupigwa na vitu vizito kichwani na...
13 Reactions
136 Replies
19K Views
Je, pesa zako ni baraka au mzigo unaobeba harufu ya maumivu ya wengine?. NB:Picha kwa hisani ya gazeti la mwananchi mwakajana. Katika jamii ambayo utajiri hutafsiriwa kama nguvu, pesa mara...
2 Reactions
13 Replies
471 Views
Nashangazwa na Wazanzibar kushindwa kuifahamu historia ya juzijuzi tu hapa ,yaani miaka 61 iliyopita. Hawa watu wataweza kweli kuwa na historia miaka 100 ijayo. Siku ya mapinduzi bwana Karume...
1 Reactions
1 Replies
147 Views
Wagonjwa wa Kipindupindu Wafikia 22 Mbeya: Mamalishe na Vilabu vya Pombe Hatarini Katika mji wa Mbeya, Tanzania, hali ya afya imekuwa ya wasiwasi kufuatia ripoti za wagonjwa 22 walioathirika na...
3 Reactions
9 Replies
810 Views
Nilipewa barua kwamba watoto walio darasa la sita wanaosoma day inabidi waanze kwenda boarding kujiandaa mapema na darasa la saba, nilistushwa sana kwasababu shule ipo karibu na mtoto ana uwezo...
24 Reactions
47 Replies
2K Views
I will be short Humanity is hard work We do a lot of mistakes , bila kuwa na mganga wako wa kureverse some things . Stress na mistakes zitakuua . It’s no joke Mimi ni pure Christian . Ila...
12 Reactions
16 Replies
620 Views
Niliwahi kuwa na matatizo yangu na kama mnavyojua desturi ya hapa bongo, matatizo yakituandama huwa tunaenda kwa siri kambi za wataalam wa tiba asili. Niliambiwa tiba inabidi nifukizwe miti...
33 Reactions
45 Replies
2K Views
RC CHALAMILA ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JESHI LA UKOMBOZI LA WATU WA CHINA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi...
0 Reactions
2 Replies
270 Views
Anonymous (2372)
TANESCO Wilaya Bariadi Simiyu wanatukosea sana, umeme unakatika katika mara kwa mara. Kwa saa unakatika si chini ya mara 5. Tunahofia vifaa vyetu vya umeme na nyumba zetu watatuunguzia. Waseme...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Back
Top Bottom