Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mambo vp wadau?? Ninaomba radhi "in advance" kwa uandishi m-bovu. I'm not a gifted writer. Kuna mama mmoja yeye ni kabila la Pwani/mzaramo. Ni mama mkaanga Samaki amepanga chumba na sebule huku...
50 Reactions
261 Replies
6K Views
Sio kama nina wivu bali sheria ya money laundering iko wazi. Mwaka 2018 tuliuza nyumba ya urithi na hela ikaingizwa kwenye akaunti yangu,milioni 340, Siku ya kwenda kuitoa ili tugawane,benki...
8 Reactions
38 Replies
1K Views
Habari wadau.. January imeisha .. wazazi wengi walikuwa wanalalamika school fees tatizo. Kwa maoni yangu kama mtu huna mali za kutosha, huna kampuni ya kueleweka wala huna mtaji wa kutosha...
129 Reactions
491 Replies
44K Views
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi...
0 Reactions
1 Replies
122 Views
Dar es Salaam. Tarehe 7 Januari 2025: Katika kuukaribisha mwaka mpya 2025, Benki ya CRDB imezindua mikopo ya ada kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini kote. Mikopo hiyo inayoitwa...
11 Reactions
113 Replies
5K Views
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Mwaka 2004 kuna mtu mmoja ( Mkristu) aliniambia ameoteshwa kwamba Mazinge ameokoka. Amekuwa mchungaji mkubwa sana na kanisa kubwa sana Tanzania. I told him " Sundu Meru". ( Wajaluo wakina popoma...
3 Reactions
13 Replies
710 Views
Moja ga jambo kubwa nililojifunza tokea nije huku ni kuwa na nidhamu ya kazi. Watu wengi wana nidhamu kubwa ya kazi. Mimi pia tokea nipo bongo nilikuwa nna same character kama za watu wa huku...
14 Reactions
82 Replies
7K Views
Palikuwa na mfalme mwenye masikio marefu kama ya punda. Siku moja mfalme alimuita kinyozi amnyoe nywele zake lakini asitoe siri kwa atakacho kiona. Kinyozi alipo mnyoa mfalme akaona mfalme ana...
1 Reactions
3 Replies
437 Views
My Take: Hili la Mwanza liwe fundisho kwa wengine kuheshimu pesa. Ikumbukwe BoT walipiga marufuku huu upuuzi.👇👇 ========== JESHI la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu wanne kwa tuhuma za...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Mtume Muhammad ndio mwana sayansi wa mwanzo kwenda katika mwezi na akaenda mpaka mbingu ya mwisho katika safari yake ya israa na miraj. TAZAMA VIDEO SHEHE ANAFUNDISHA MSIKITINI KWAMBA MTUME...
15 Reactions
44 Replies
1K Views
Hii huduma ya Tigo post paid ni kero, mawakala wanaowapa kazi waunganishe watu hawawaambii wateja vikwazo vilivyopo, wanakuunga kwa group la watu usiowajua. Akitokea mmoja hajalipa na kaacha...
0 Reactions
2 Replies
382 Views
Mi niko Mbeya town nauliza kwa wadau wanaojua bia gani tamu na inalewesha inapatikana wapi na shingapi kwa moja na kwa katoni..?
1 Reactions
1 Replies
129 Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Huwezi kuta mtu mwenye raha na furaha akiongea lugha nyingine zaidi ya kiingereza Ukiwa na hela kiingereza Ukitaka mkeo afurahi...
3 Reactions
10 Replies
221 Views
Wakenya hawana kitu cha kuwashughulisha sana,tabaka la chini la Kenya wanaipenda sana ligi yao ila hawana support. AzamTv wakiwekeza mpunga kwenye ligi ya kenya hasa wakiweza kuproduce live,pia...
0 Reactions
2 Replies
128 Views
Anonymous (5840)
KUHUSU USAILI WA WALIMU Inasemekana kuwa wanatakiwa kuwa na documents zenye majina yanayofanana. Hii inamaanisha kuwa vyeti vya taaluma na vile visivyo vya taaluma vifanane majina. Yaani kama...
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Habari wadau kuna tabia imezuka hapa jijini Dodoma inapofika usiku polisi wanapaki gari kwenye barabara za mtaani wanaanza kukamata bodaboda na kuwachukulia ……. Inafikia hatua tunakosa huduma za...
0 Reactions
2 Replies
143 Views
https://www.youtube.com/watch?v=tWtw3Di53L4&ab_channel=MillardAyo
4 Reactions
1 Replies
223 Views
Idadi ya vifo vilivyotokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa, Kariakoo jijini Dar es Salaam vimefikia 29, baada ya miili mingine tisa kupatikana. Jengo hilo liliporomoka asubuhi ya Jumamosi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom