Familia ya watu sita wilayani Monduli, mkoani Arusha kwa siku nne imelala nje, baada ya nyumba zao kuchomwa moto na wanaodaiwa kuwa maofisa maliasili.
Watu hao wanaoishi Kata ya Monduli Juu...
Arusha. Mwili wa mtalii, Inbar Greidinger-Geisler (30), aliyefariki dunia kwa ajali ya gari ndani ya Hifadhi ya Ngorongoro, umesafirishwa kwenda nyumbani kwao mji wa Tel Aviv, nchini Israel kwa...
Kwa watu waliowahi kusafiri na treni ya umeme toka ianze safari zake watakubaliana na mimi kuwa kwa hakika ni mradi mkombozi katika safari za haraka.
Ticketi yako ikionyesha unatoka Morogoro saa...
Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami.
Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara...
Kama mtanzania naandika hili machozi yakimwagika. Naumia kwa namna pesa nyingi za watanzania zilivyoteketea kwa kisingizio cha vitambulisho.
Kipindi cha Kikwete pesa zililiwa hadharani. Kipindi...
Dar: NEMC na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Wafanya Usafi Ilala
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeshiriki katika zoezi la kufanya usafi wa Mazingira lililofanyika katika...
Sadaka ni tenda la kiimani la kiroho .. Sadaka haitolewi kwenye nyumba za ibada tuu.. Hizi zenye imani juu ya Mungu moja na dini zake
Sadaka pia hutolewa kwa miungu
Sadaka pia hutolewa na wapagani...
Kumekuwa na mjadala mzito katika jamii yetu kuhusu tabia ya hospitali, iwe za umma au binafsi, kuzuia miili ya wapendwa wetu waliotutoka mpaka familia iweze kulipa madeni yaliyosalia. Wengi...
Salaam / Shalom!!
INTRODUCTON.
(Mwanzo 2:18,21-24) na (Mathayo 19:3-9).
NDOA ni muunganiko wa KIMWILI kati ya mume mmoja na mke mmoja KIMWILI na kiroho.
Asili ya NDOA ni Mbinguni, NDOA ni...
Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo.
Pia kuna kipindi wanakuja...
Habari za muda huu wanajf, once again nimepitia kitabu cha bwana kabendera mengi alioandika ni maisha ya kibinafsi ya aliekuwa rais wetu JPM .
Nimekaa nikatafakari yalioandikwa nimeona kabisa kuna...
Kati ya vitu vilivyonisumbua, hasa miaka ya nyuma nilipokuwa nikienda ugenini vijijini, ni suala la kuswaki kwa kutumia maji yaliyowekwa kwenye beseni/ndoo ya kuogea. Tokea nikiwa mdogo...
Naomba kutoa kero yangu juu ya adha kubwa ya maji eneo la Nyegezi na viunga vyake!
Kimekuwa na kero kubwa sana ya maji Nyegezi kiasi kwamba tunajiuliza watendaji wa Idara ya Maji eneo la Nyegezi...
Tabia yake ya kuzusha na kuongopa mambo mbalimbali dhidi ya serikali sikivu ya CCM, dhidi ya viongozi wa CHADEMA Taifa na dhidi viongozi mbalimbali wa umma, wa vyama vya siasa n watu binafsi...
Wadau
Kama mlivyosoma kichwa cha habari juu tupeane mawazo mbalimbali kuhusu hili jambo
Je kwa mtaji wa tuseme wa Milioni 500 hadi Bilioni moja, ni biashara zipi ambazo zinaweza kua endelevu...
Mungu anasema na Taifa Mungu anasema na wale wapunga pepo na kusema Taifa halitokuwa chini ya wapunga pepo Taifa litakuwa chini ya mkono wake hodari mkono alio losimika Taifa la Tanzania mkono wa...
Wanabodi,
Leo ni sikukuu ya Eid El Haji, Iddi ya Kuchinja.
Leo ni siku ya Sikukuu ya Idd El Haj, ni iddi ya kuchinja, asubuhi nilikuwa naangalia matangazo ya mubashara ya Baraza la Iddi kupitia...
Nachojua mzungu ana hela nyingi na kama ni kula daima anapendelea kula vilivyo bora sijajua kwa maendeleo tulionayo hapa duniani kiasi cha kuanza kufuga broiler wa biashara na wanaliwa kwelikweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.