Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya...
1 Reactions
5 Replies
207 Views
USIKATE TAMAA Hakuna kitu kibaya kwa maisha ya mwanadamu kama kukata tamaa. Mtu aliyekata tamaa humtengenezea shetani kuwa makao yake. Haijalishi ni kipi umepitia usikate tamaaa. Ni dhambi...
3 Reactions
3 Replies
216 Views
Jumla ya maafisa afya ngazi ya jamii 66 waliopangiwa wilaya ya Biharamulo wanaomba uwasaidie warudhishiwe pesa zao kiasi cha 740400tsh kwa kila mmoja waliodanganywa na kutapeliwa na mganga mkuu wa...
0 Reactions
8 Replies
329 Views
1. Yesu alijulikana kuzaliwa kwake itakuwa wapi, atakavyofanyakazi zake na kuondoka hapa duniani itakuwaje kwake kupitia maandiko (Biblia). 2. Hata ujio wake wa mara ya pili, utakuwa ni ule ule...
11 Reactions
60 Replies
2K Views
Amani kwenu Salamaleko Yule mhubiri wa kiislamu kaishia wapi Mbona simsikii je kwa mkapa alieenda? Na walihudhulia watu wangapi Mbona hatupean update LONDON BOY
0 Reactions
20 Replies
810 Views
Katika likizo yangu ya hivi karibuni nikiwa Mwanza, nilitembelea Soko la Kayenze maarufu kwa jina la "Soko la Wakulima," lililopo Wilaya ya Magu, nilishangazwa na hali mbaya ya uchafu iliyokithiri...
1 Reactions
6 Replies
553 Views
Habari Wapambanaji wa Nguvu? Leo tukate ubishi na ngebe Kwa kupambanisha Miji hii miwili inayofanana Kwa vingi ikiwemo mfano Miji yote iko pembezoni ya Milima na Ina idadi ya watu wanaolingana...
0 Reactions
84 Replies
6K Views
Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu. kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho...
7 Reactions
130 Replies
5K Views
Mbowe asema Tundu Lissu ni mjinga, ametoa ufafanuzi wa shutuma batili anazotoa Tundu Lissu alipokuwa akihojiwa na Salim Kikeke Tazama Video hii
1 Reactions
5 Replies
450 Views
DSM ni jiji kubwa sana lenye mchanganyiko wa tamaduni kibao, watu wa mataifa wengi, fani nyingi, n.k. Halai hii imewea kuruhusu kuonekana ni jambo la kawaida mwanaume kusuka, kuvaa hereni, kuvaa...
1 Reactions
2 Replies
169 Views
Si wa kiroho bali uko katikati ya kiroho na kimwili na pengine huo ndio unapokea cords toka kwenye ulimwengu wa roho na kuzibadili na kuzitafsiri kwenye ulimwengu wa kimwili. Niliwahi kuripoti...
27 Reactions
136 Replies
10K Views
Katika dini mbili za mapokeo na nyemelezi, ukristo na uislam, kuna vitu viwili vinanipa taabu kidogo. Mosi, ni urafiki wa Yesu na wanawake wawili toka Bethania ambao walionekana kuwa karibu naye...
2 Reactions
71 Replies
3K Views
Wazima humu? Mimi huwa na utaratibu wa kutoka na mwanangu asubuhi kumpeleka shule kila siku na huwa natoka nae kuanzia saa moja huwa tunapanda bajaji au bodaboda, sasa leo tukiwa tunatembea kuona...
83 Reactions
90 Replies
3K Views
Ni vizuri kuwa diaspora ila kama huna kazi inayoeleweka huko au umeenda kinyemela na kupelekea kuishi kwa kubahatisha kiasi cha Cha kukosa makazi (homeless) hiyo ni hatari sana. Katika kipindi...
18 Reactions
105 Replies
3K Views
Wakuu niwape pole kwa maafa yalioikumba nchi yetu kufatia kuporomoka kwa jengo la biashara mjini dar es Salaam mitaa ya kariakoo na pia natoa wito kwa vyombo kuharakisha uokozi ili watu walio...
19 Reactions
294 Replies
9K Views
Miaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu.. Nuhu alitengeneza Safina, Chombo kilichobeba Viumbe hai, jinsia ke na me zaidi ya milioni saba mpaka sasa hakuna Mwanadamu...
3 Reactions
15 Replies
556 Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amekabidhi Hati za Haki Miliki za Kimila kwa wananchi 700 wilayani Ikungi mkoani Singida ambapo amewataka kuzitunza Hati...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
https://youtu.be/ILPNYevh0kg?si=A0VT4AP_P4Nlk6wp
0 Reactions
1 Replies
145 Views
https://youtu.be/NAxwT75r20k?si=Qo62TSrL8dWAQNjU
0 Reactions
1 Replies
91 Views
Habari wanajamvi. Leo nimewaza sana na kujiuliza sana umuhimu wa waliobobea katika sayansi ya jamiii wako wapi? Na mchango wao katika jamii ni upi? Sisemi kwamba hawa wataalamu hawajafanya...
1 Reactions
2 Replies
123 Views
Back
Top Bottom