Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama ameitaka bodi mpya ya Hospitali Maalum ya Taifa ya Magonjwa ambukizi Kibong'oto kufanya kazi kwa haraka ili kuendana na kasi ya maendeleo ya sekta ya afya...
2 Reactions
1 Replies
134 Views
Hizi kazi zingekuwa za mkataba wa muda mfupi kama miaka mitano mitano zingepunguza gharama na kuongeza ufanisi sana. 1.Ubalozi 2.Mwanasheria mkuu 3.Wakurugenzi wa mashirika ya umma 4.Madaktari...
1 Reactions
11 Replies
263 Views
Kwa mshindo mmoja tu mwanaume Anapoteza hizo mbegu za kiume kwa wastani wa wingi huo wa mbegu milioni 350M (3.5mls za ujazo) Ambazo hizo ni pure proteins matofali ya kujengea na kukarabati mwili...
2 Reactions
23 Replies
862 Views
Kanisa Katoliki lagoma kuendesha Ibada ya misa ya mazishi ya Thadei Ole Mushi kwa sababu ALIPINGA WARAKA WA BARAZA LA MAASKOFU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA (TEC) Uliopinga uuzwaji wa Bandari...
49 Reactions
308 Replies
21K Views
Mapenzi na migogoro ya ndoa imeendelea kuleta shida na hata kutoa roho za watu kila kukicha jamaani! ================== Mwanamke mmoja mkazi wa kata ya Ludete wilayani Geita, Adventina Nicolaus...
3 Reactions
36 Replies
1K Views
Heri ya mwaka mpya!!!! Ni matarajio yangu nyote mmevuka salama, Ndg zangu nataka kwenda Kampala Uganda 🇺🇬 kukaa siku 10. Sasa basi naomba msaada wenu mnipe taarifa kuhusu gharama za nauli...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
MARINGO MIA YA MHE. DKT. SAMIA NA MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI WAKILI STEPHEN BYABATO 2020 - 2025 Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato anamshukuru sana Mhe. Dkt. Samia Suluhu...
0 Reactions
0 Replies
181 Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu zangu bila shaka mwenyezimungu anaendelea kutupigania hadi sasa. Ndugu leo naona nilete story kidogo kuhusu safari yangu moja hivi...
41 Reactions
616 Replies
174K Views
Yuko primary, ameniambia zaidi ya mara 5 kuwa anatamani sana kuwa askari polisi, ikifika jioni jioni anaanza kupiga kwata kuzunguka nyumba na kupiga saluti. Akikutana na wenzake anataka wacheze...
23 Reactions
82 Replies
2K Views
Serikali Ina useless people wengi Sana . Hakuna kitu wanaweza hawa watu wa serikalini . Huduma zao 90% ni ovyo Sana .
18 Reactions
52 Replies
2K Views
Habari wakuu, Jana asubuhi nmetumiwa hela kwa mtandao tajwa ili nkafanye malipo kadhaa, kasheshe kwenda kutoa pesa husika napata ujumbe "Transaction not allowed, you will receive short message"...
3 Reactions
9 Replies
594 Views
Nimekutana na Winga karikoo anatema ung'eng'e umenyooka. Baada ya kuzoeana nae. Akanipatia CV yake nimsaidie kusaka kazi. Kucheki CV ya winga huyo wa karikoo naona primary kasoma St marys, O...
18 Reactions
86 Replies
2K Views
Kuna mtoto wa jirani mbali kidogo na nyumbani ila kwakuwa nyumba zetu ziko scattered tunaishi kama majirani. Mtoto huyu huwa anapenda kuja nyumbani hushinda nyumbani mara nyingi. Kwa siku hutumia...
3 Reactions
9 Replies
367 Views
Habari wanajamvi, Kwa maisha yalivyo na yanavyoelekea huko mbeleni nimeamua kuwaandalia wanangu mali hii ije iwasaidie baadae Nina watoto wawili wa kiume mmoja Miaka mitano na mwengine Miaka...
57 Reactions
90 Replies
3K Views
Mnamo mwaka 2010, wanandoa wa Nigeria waliokuwa wakiishi Uingereza, Ben na Angela Ihegboro, walipata mtoto wao wa kike aliyeitwa Nmachi, aliyezaliwa akiwa na nywele za rangi ya dhahabu, macho ya...
9 Reactions
56 Replies
2K Views
Anonymous (e431)
Hello habari! Changamoto yangu naielekeza hasa kwa mabasi ya mikoani yatokayo Mkoa wa Kagera - Karagwe kwenda DSM au mikoa mingine wamezidi kujipangia nauli kipindi hiki mpaka kutoza nauli ya Sh...
2 Reactions
3 Replies
378 Views
Salaam, shalom!! Mods acheni mjadala huu upate majibu Toka Kwa wadau. Nimeishi miaka mingi duniani Hadi sasa, na sijawahi kukutana na shehe au pastor akifukuza Roho chafu zilizowapagaa watu Kwa...
48 Reactions
561 Replies
9K Views
TAARIFA KWA UMMA ACT Wazalendo tunaipongeza Tume ya Haki za Binaamu na Utawala Bora (THBUB) kwa taarifa yake iliyotoa kwa umma kwamba inafuatilia matukio mawili ya mauaji yaliyotokea hivi...
1 Reactions
1 Replies
174 Views
Nimekutana na mdada mmoja Mbeya town anashawishi watu kujiunga na mfumo wa (FIC) Financial Intelligence Centre Hii unaweka hela inakuwa inaongezeka kila siku kwa kubet kinyume, nimeshituka kidogo...
1 Reactions
5 Replies
379 Views
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) imesema inachunguza vifo vya watu wawili vilivyotokea hivi karibuni, Mkoa wa Kaskazini Pemba. THBUB imeeleza imepokea kwa masikitiko makubwa vifo...
4 Reactions
3 Replies
472 Views
Back
Top Bottom