Wakuu poleni na majukumu ya kujitafutia kipato,mimi swali langu ni kwa wahusika wa TRC (SGR)hivi ni kwa nini mtu akitaka kukata tiketi kwa ajili ya train ya sgr mnamtaka lazima awe na kitambulisho...
Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR).
Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo...
KERO ! Tigo mastercard nimepokea refund ya 4.3 million makato niliyokatwa ni laki 9 (931,000). Tigo nahitaji pesa yangu. Mamlaka husika chunguzeni makatato ya Tigo pesa. Watanzani pesa zao...
Mtaa wa Majengo eneo la Kinzudi - Salasala Jijini Dar es Salaam kuna dampo kubwa ambalo linahatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani.
Eneo hilo linalotupwa taka ni bonde, hivyo...
1. Ikiwa Mungu ni mmoja na hana mfano, kwa nini Qur'an inatumia wingi wa "Sisi" katika baadhi ya aya zake? (mfano, Qur'an 15:9).
2.Qur'an inasema kwamba ni mwongozo kamili (Qur'an 16:89). Kwa...
Habari zenu wakuu?
Eti kwamba mwanaume ukiwa na msongo wa mawazo (stress) unapaswa kulia machozi kwamba inasaidia kukutuliza na kukuepusha magonjwa ya afya ya akili?
Iko hivi ndani ya miaka...
Wakuu,
Ni Chalamila tena katika matamko yake kama vile amekatwa kichwa! Mchengerwa OR TAMISEMI tunasubiri neno lako hapo, huyu bwana hajui kama kuna sheria za kufuata?
====
Mkuu wa Mkoa wa...
Binafsi nilikuwa miongoni mwa watu ambao ukiwasema vibaya hao niliowataja juu naona kabisa kuwa unakwenda kulaaniwa na hutasamehewa.
Yaani niliona ni heri uue unaweza kusamehewa lakini si...
Mnamo mwishoni mwa mwaka 2024;
Kijana mmoja timu mwamba, aliitwa ili kupewa maelekezo ya kuratibu harakati za mwamba ili abakie kwenye kiti.
Kijana huyo anayejiita mwandishi nguli alipokea asali...
Habari Ndugu!
Nina refund kutoka Apple store ya 4.3 million nilifanya malipo na Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata.
Proof of payment ninayo kutoka Apple, mpaka leo...
Danguro la Mabinti wenye asili ya kihindi na Nepal lavunjwa jijini Dar-es-salaam.
Aisee watu ni wasiri sana, kwahyo mlikuwa mnazichakata Mbususu za Kihindi peke yenu bila hata ya kutuambia nasisi.
Hello Niko interested kutembelea nchi hapo juu za Africa kaskazini kwa utalii.
Ningependa kujua visa za nchi hizo zinapatkana wapi kama kwenye mabalozi au evisa na kwa gharama gani?
Niko Tanga...
Hii sio habari ya udaku.
Ni habari ambayo kila mwenye akili timamu anaweza kuihakiki.
Huko vijijini wawekezaji (wachimbaji) kutoka Asia hasa wachina wametapakaa wakichimba madini.
Kama mjuavyo...
Kinondoni studio na sinza fremu ya chini ni million 1
Lakini unakuta duka Lina nguo 10 na ukiingia ndani full kiyoyozi na nje mwenye duka kapaki ndinga ya maana
Mimi uwa najiuliza Hawa uwa...
Salaam, shalom!
Baada ya Mungu kuruhusu mtu kula nyama, alimkataza Kula Damu ya mnyama. Yaani ukichinja myama au ndege, Damu yake hupasi kuitumia Kwa matumizi ya chakula, ni machukizo maana ndani...
Miaka kumi nyuma nimemaliza zangu shule naingia mtaani sina ramani ya kipi kifanyike nitoboe kimaisha
Nikaanza harakati za hapa na pale kuchimba vyoo nipo, ukuli nipo, nk piga kazi kwa nguvu zote...
Karibu kwenye safari yetu ya kusisimua ya Serengeti, ambako mandhari ya pori ni ya kupendeza na wanyama wanaotembea kwa majivuno chini ya jua kali! Mimi ndiye mwongozo wako, na leo tunaendesha...
Huu huzi si wa ukabila ,, lakini ni chachu kwa mwanaume wap kwa kwenda kuoa[emoji3][emoji3]Usije ukasema wanao vichwa vizito!!
Kadiri ya utafiti uliofanywa na marekani haya ndio makabila yenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.