Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habarini za muda huu wanajf kama caption inavojieleza, bodaboda wengi hasa hapa DSM ni mawakala wa usambazaji wa mirungi, cocaine, na bangi. Kwa utafiti wangu, nimegundua bodaboda sio bodaboda...
11 Reactions
44 Replies
1K Views
Unakuta kijana ana miaka 30+, ametumia miaka 28 au zaidi shuleni hadi kuhitimu shahada yake ya udaktari. Anarudi nyumbani bila ajira. Hana mtaji na hana ujuzi zaidi ya alichosomea. Wazazi nao...
18 Reactions
115 Replies
2K Views
NURJEHAN ALIYEOONGOZA MITIHANI AKIWA NA PROF. SHIVJI MIAKA YA 1960s YU WAPI? Jina la Nurjehan Walli limekuwa maarufu sana katika mitandao ya kijamii baada ya picha yake kuonekana akiwa na Issa...
17 Reactions
73 Replies
9K Views
Kwa Mujibu wa Takwimu za NBS za mwaka 2023 kutoka Kwenye Chapisho la Tanzania in Figures 2023 Limebainisha masuala kadhaa ya takwimu za msingi za Nchi. Moja kati ya takwimu hizo ni Mchanganuo wa...
26 Reactions
189 Replies
8K Views
Wakuu habari, iv hawa nmb nikiraka kuwafanyia umafia na kunilipa usumbufu nawafanyaje? Ni hivi, nilikuwa nadsiwa mkopo ambao ulikuwa unaisha mwezi wa kumi na moja, maana si huwa wanakata kwenye...
0 Reactions
2 Replies
138 Views
👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas 👉Hebu tuambie nawewe nini huwa...
1 Reactions
6 Replies
230 Views
Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 52 (jina limehifadhiwa) mkazi wa Bagamoyo mkoani Pwani, Januari 7, 2025 amefanyiwa upasuaji mkubwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mwananyamala iliyopo Jijini...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Anonymous (7456)
Mimi ni dereva wilayani rombo imetokea kero ya askari polisi kitengo cha usalama barabarani kukamata madereva wasio na uhakiki wa leseni wanakamata gari wanapeleka kituoni kitu kinachosababisha...
1 Reactions
2 Replies
242 Views
Kuna situation zingine unaweza kuwa unazipitia mfano umeenda ukweni kwao na mke wako kuwasalimia kidogo au kula sikukuu harafu huko yupo mama mkwe pekee ake ama bahati mbaya au nzuri baba mkwe...
4 Reactions
7 Replies
369 Views
Anonymous (756c)
Yahusu: Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa Habari, Tunapenda kuwasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya maji machafu yaliyotapakaa barabarani katika eneo la Dodoma -...
1 Reactions
0 Replies
141 Views
Nimemuona mheshimiwa Dr. Mwigulu Nchemba ama hayupo sawa. Sio yule tuliyemzoea mwenye uso wenye nuru na bashasha. Nini kinamsibu?
19 Reactions
144 Replies
6K Views
Habari wana Jf Nahtaji kubadilisha umiliki wa gari yangu toka kwa mhusika nilienunua toka kwake,tatizo lililopo ni kuwa sina kitambulisho cha yule alieniuzia(first owner),ila nina mkataba tu ambao...
1 Reactions
20 Replies
10K Views
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wana JF. Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema, wewe ambae unapitia changamoto moja au nyingine Mwenyezi Mungu akufanyie...
0 Reactions
1 Replies
141 Views
Jumla ya miradi ya maendeleo 84 inatekelezwa kwa ubia baina ya sekta binafsi na Serikali kupitia kituo cha ubia Kati ya Seikali na Sekta binafsi (PPPC) kikieleza miradi miwili ya Barabara za...
0 Reactions
2 Replies
240 Views
Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Sumbawanga unaondelea ukiwa umefikia asilimia 40. Aidha Kasekenya amesema Ujenzi wa Uwanja huo...
1 Reactions
1 Replies
186 Views
Gharama za maisha katika Jiji la Dodoma zimekuwa changamoto kubwa kwa wakazi wa jiji hili, hasa baada ya kutangazwa kwa uhamisho wa serikali kuu kwenda hapa. Hali hii imepelekea mabadiliko makubwa...
1 Reactions
5 Replies
634 Views
Kwa wenyeji wa Dar Es Salaam Kwa miezi kadhaa sasa tumeshuhudia mabasi mapya kabisa ya Kijeshi jijini, na yana nembo kubwa imeandikwa "Tanzania Military". Jeshi la Tanzania linafahamika kama JWTZ...
6 Reactions
56 Replies
1K Views
Habari wadau. Leo majira ya Saa 8 mchana, nikiwa Maeneo ya Mlimani city napata mahitaji yangu Mara akatokea jamaa mmoja mwenye asili ya Asia, akiwa na kavaa nguo nyeusi juu mpaka chini na viatu...
16 Reactions
177 Replies
28K Views
Mwaka huu mwanzoni nilikuwa mkoani Arusha kwa jamaa yangu mmoja tuliyetoka nae Kijiji kimoja huko mkoani kwa baba wa taifa. Siku moja katika matembezi mjini na huyu jamaa yangu, Ghafla...
9 Reactions
30 Replies
17K Views
Hivi wale wanawake wa kutoka asubuhi na waume zao kwenda shamba wanalima kwa jembe la mkono, kupalia n.k. Kama mama zetu walivyokuwa wapo zama hizi?
4 Reactions
7 Replies
249 Views
Back
Top Bottom