Mtangaji wa Wasafi Media bwana Oscar Oscar amenukuliwa akiwananga watu wa Arusha kwamba Hawaheshimu watu wengine na ujuaji kibao kiasia ya kuwafanananisha ni President Kwa kujikuta wao ni spesho...
Habari wakuu,
Nipo bariadi gamboshi masomoni nachukua digrii ya uchawi wenye faida.
Mizimu ni roho za watu waliokufa.
Kila mtu ana mizimu. Mizimu ya upande wa kwa baba na ya upande wa kwa mama...
Leo nimekaa nikawaza kama Dinosaurs waliweza kupotea kabisa kwenye uso wa Dunia ikikaridiwa namba yao ilikuwa 2.5 billion, miaka milioni 65 iliyopita basi kuna uwezekano mkubwa wa binadamu nao...
Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku.
Kipindi hiki ambacho wamefunga shule...
Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA)
=====
October 8, 2021 by Global Publishers
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya...
Enzi za RFA na Kiss FM, unasikiliza VOA, DW na BBC. Walikuwa na propaganda zao, lakini walihabarisha sana Watanzania juu ya dunia. Kijana mdogo anafahamu yanayoendelea huko Mosul, Iraq. RFA...
Dar es Salaam, asubuhi karibia theluthi mbili ya wakazi wote wa mji wanaofanya kazi wanaenda Kariakoo, Posta na Ubongo katika maofisi, kwenye biashara na pia kufuata huduma mbalimbali za kiofisi...
Share experience yako,
ni makosa gani mliyofanya ?
kuna ishara zozote mlizoziona kabla ya kuporomoka ?
Mlikabiliana vipi na aibu ya kuporomoka mbele ya jamii ?
Kuna watu waliochangia kwenye...
TRA kwanza tunawapongeza kwa uamuzi wq kutaka kurasimisha vyombo vya moto ili muda wa siku 13 hautoshi kabisa walau mngeweka hadi mwisho wa Feb 2025.
Pili mmeweka mlolongo wa ducument nyingi...
Mwanzo mpaka Ufunuo ni sisi
Kama ambavyo nimekuwa nikisema kwamba maandiko matakatifu hususani biblia haizungumzii habari kutoka nje yetu.
Tunaambiwa kwamba imeandikwa kwa codes au mafumbo...
KUOTA NAPAA MARA KWA MARA...
Mambo vipi ?
Nimekuwa na tabia ya kuota NAPAA mara Kwa mara Toka zamani na kucheza michezo ya kupaa sehemu mbalimbali aswa kwenye milima,miti yaani naota nafurahia...
2015.
“Kwa kukosekana kwa saini ya mtu aliyeandika ushahidi huo, haiwezi kusemwa kwa uhakika kwamba kilichomo kwenye rekodi ni maelezo ya kweli ya ushahidi wa shahidi, mwenendo mzima wa kesi...
Leo Ijumaa ya Tarehe 8 April, ni siku yangu ya kuzaliwa, nikiwa nimeipiga mingi nikikaribia 60! ambao ndio umri rasmi wa kustaafu, nikiwa tayari ni father of 8 +1= 9, Grand Pa of 6, and about to...
Je, tunafeli wapi mpaka tunashindwa kuwa na viwanda vidogo vidogo vingi na vya kati maeneo mbalimbali ya nchi ikiwa tuna malighafi mbali mfano Chuma ili kuepuka kuagiza bidhaa za kawaida kutoka...
Dr. Zakir Naik, anasema kwamba hauwezi ukawa musilamu kama haumuani Yesu Kristu. Waislamu na Wakristu wanafanana katika mengi lakini utofauti ni pale wanapoamini kuwa Yesu Kristu ni Mungu ...
Baadhi ya mambo ambayo yakizidi sana huwa nayaona ushamba na ulimbukeni. Haya mambo mimi yamenipita mbali kabisa.
1. Kujipost WhatsApp status
Hata kama nitafanya jambo gani, hata kama nimepata...
Disclaimer: This thread will contain some spoilers from the book ""In The Name Of The President: Memoirs Of A Jailed Journalist".
Naam,
Nasoma kitabu cha Erick Kabendera "In The Name Of The...
Sijaelewa imekaaje hii wakuu,
Yaani Mlokole akikaa dukani kwake asipouza TU au akiuza kimahesabu akawa anapata hasara.
Moja Kwa Moja,
Anaamini ushirikina unahusika, Hata Kama Misingi ya...
Lissu alidai kuwa moja ya upigaji wa fedha za chama yalifanyika kwenye kivuli cha malipo ya kukodi chopa wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu, kwakuwa mwenyekiti ndiye alikuwa anadai malipo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.