Wazazi wengi wana msongo wa mawazo kutokana na stress za kutafuta ada za shule za kina junior wao wanaosoma english medium eg. Atlas, Tusiime, etc. Muda wa kulipa ada ukifika mzazi anakuwa na...
Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.
Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.
Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina...
Kiufupi ni rahisi sana kupata habari ambazo ni positive za hizo Nchi kuliko Tanzania.
Social Media users wao wako mitandaoni Kwa Wingi sana na wanazipamba Nchi zao vya kutosha ila kuwapata...
Habari,
Kuna kampuni inaitwa Pent Optimism iko Dar es Salaam inafanya partnership na Vodacom, inaajiri vijana kwa mkataba ila wanashikilia vyeti vyao vya kitaaluma. Je, iko Sawa?
Ni sheria gani...
Ileje, 08 Januari 2025 - Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi. Happiness Seneda, amefanya ziara muhimu katika Kiwanda cha Makaa ya Mawe Stamico pamoja na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Barabara ya...
Niliingia kwenye ajira 2018 ualimu. Mwaka Jana nikakopa million 16 lakini yote imeisha maana nilitia kwenye biashara ya duka la nguo naona hasara tupu hata Kodi ya frame nashindwa kulipa...
Hivi ili uwe muandishi wa habari, mtangazaji au mhariri unapaswa kupitia hatua zipi??
Wiki iliyopita king'amuzi chetu cha Azam kiliisha. Nikawasha redio kuisikiliza mechi ya Simba na Singida...
Bado nipo Nyanda za Juu Kusini.Nimemaliza Mbeya,Rukwa na Katavi na Leo Niko Songwe.
Leo naendelea na kuwaletea miradi mikubwa Inayotekelezwa na Serikali ya awamu ya 6 Chini ya Dr.Samia Mkoa wa...
Waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi wiki iliyopita alifanya ziara ya siku saba katika nchi nne za Afrika, ambazo ni Namibia, Jamhuri ya Kongo, Chad na Nigeria.
Ziara hiyo inadumisha...
Katika mwaka 2024, Afrika ilichukua nafasi kubwa kwenye ajenda ya maendeleo ya kimataifa, ikionesha uthabiti wa bara hilo na uhusiano wake wa kina na China na nchi za Dunia ya Kusini kwa ujumla...
Miezi machache baada ya mkutano wa kilele wa Beijing wa baraza la ushirikiano kati ya China na Afrika FOCAC kufanyika mwaka jana, wachambuzi wa masuala ya kiuchumi wamekuwa wakifuatulia maendeleo...
Kuna kampuni moja ilikuaga na ofisi Ubungo mawasiliano ila baadae walihamia Tegeta, shughuli yao ilikua ni kukopesha pesa kwa dhamana ya bidhaa za kielektroniki kama TV, Radio, Fridge au Simu...
Hili Jiji la Mbeya sasa kila kona ya Mtaa limegeuka kuwa kama Dampo maana siyo kwa kutapakaa kwa takataka kiasi kingi, licha ya kutokea kwa ugonjwa wa Kipindupindu katika baadhi ya kata hivi...
Unaweza kudhania hivi ni vipande vya filamu ila hizi ni picha za ukweli.
Huyo binti hapo juu, mwenye asili ya Kihabeshi anaripotiwa kutekwa na kuteswa. Watekaji wanahitaji dollar 6000 ili...
Maswali ni kama haya yanaibuka....
1. software aliyotudizainia imemshinda kuicontrol???
2.Ukuu wake upo wapi kama tu leo ataanzisha vitisho na kifaa alicho kiumba mwenyewe???
3.Kama...
Mfanyabiashara na mkazi wa Kinondoni, Daud George (28) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuiba mita za maji na kuisababishia hasara ya...
Sekta ya Utalii imerejea tena kuwa Kinara wa kuingiza Fedha nyingi za Kigeni Kufuatia kuporomoka kwake miaka 4 iliyopita.
Kwa kipindi chote hicho sekta ya Madini hasa dhahabu ndio ilikuwa...
Wakuu
Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega, akikagua maendeleo ya matengenezo ya barabara za Samora iliyopo Posta, katikati ya jiji la Dar es Salaam usiku huu.
Kupata taarifa, matukio na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.