Ni maeneo gani Morogoro mjini ninaweza kupata lodge/ guest zenye sifa zifuatazo;
Pawe pasafi sana
Gharama affordable
Isiwe na baa au makelele
Pawe na uzio na usalama pia
Mratibu wa Mtandao wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za binadamu Tanzania, Wakili Onesmo Olengurumwa amesema kwamba licha ya jitihada ambazo zimefanyika katika zoezi la uokoaji kwenye gorofa...
Waandishi wa Habari zaidi ya watano Mkoani Kagera wamekatwa na kuweka kizuizini na Jeshi la Polisi kwa maelekezo ya Diwani wakati walipoenda kutekeleza majukumu yao ku-balance story.
Ilikuwa siku...
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemaliza mgogoro baina ya Wamiliki wa Shamba la Sisal Estate na Wananchi 400 wa Kata ya Kwashemshi Wilaya ya Korogwe...
Kumekuwepo la ongezeko kubwa la matumizi na athari za dawa za kulevya nchini, hasa mijini, hivyo watu kwa utashi wao wameamua kuanzisha
"Sober House". Lakini watu kadhaa waliowahi kwenda huko...
Mtanzania aitwaye Juma (jina lake la pili tunalihifadhi kwa sababu maalum) anayedaiwa kumuweka rehani ughaibuni Mbongo mwenzake Adam Akida Mwinyimkuu, mkazi wa Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam...
Kuwa wa kwanza kuzaliwa hakika ni mapambano makubwa sana,kwasababu moja kwa moja unajikuta majukumu yanakuandama kwa namna moja au nyingine
Hawa watu wanajitoa sana kuokoa jahazi lisizame katika...
Meneja wa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka (BRT) Mhandisi Leonard Ngayungi amesema, kwa sasa kuna miradi mitatu ya BRT ambayo utekelezaji wake unaendelea huku ujenzi wa Mradi wa Mabasi Yaendayo...
Kigezo Cha kuwa kwenye mahusiano kimekuwa kimoja🤔tu utasikia watu mtaani Wakina dada wanasema "tafuta hela"?! Utaweza kummliki huyo demu
Lakini watu waliojipata kifedha mfano "vunja bei " wakati...
Angekua amepost shabiki wa Simba ningejua anamaamisha simba anaonea huko madogo maana yeye ni timu kubwa.
Ila kwakua ameposti shabiki wa yanga anamaanisha Simba anacheza kombe la watoto
(kubwa...
Nikiangalia jinsi BRT phase I iliyotekelezwa na Strabag na nikilinganisha hii BRT phase 3 ya kwenda Mbagala naona kuna utofauti mkubwa sana katika ufanisi wa kiutendaji.
Niombe kuuliza wale walio...
Hello JF,
Naomba kujua ni kwa namna gani naweza kumtambua mmiliki wa chombo cha usafiri hususani gari bila purukushani za kwenda polisi.
Je, inawezekana kupata taarifa online? Majina, namba za simu?
Mtangazaji wa Wasafi Fm, Diva Malinzi na Mfanyabiashara Jenifer Jovin maarufu Niffer wameandika barua za kuomba radhi (Kusamehewa) baada ya kupatikana na tuhuma za kuchangisha michango kwa ajili...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa amesema hakuna mtu yeyote ambaye anaruhusiwa kuchangisha fedha kufuatia tukio la ajali ya kupomoka kwa grorofa la Kariakoo.
Pia...
Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela
💞UMSIKILIAYE NDIYE AKUSIKILIZAYE
🗣️Kuna vitu katika jamii vikifanyika vinachukuliwa Kama uchawi au kiini macho, Siyo kwamba kiini macho hakuna, vipo...
Kufanya makosa ndio kujifunza, Sasa nadhani humu Kuna wataalamu wa afya lakini pia Kuna watu wana uelewa mkubwa kuhusu masuala ya afya
Nina uliza ninawezaje kutunza afya yangu ya mwili na akili...
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt Jim James Yonazi ametoa akaunti maalum ya Serikali ambayo Watanzania wataitumia ili kutuma fedha kwa ajili ya...
STARSEEDS
Sehemu ya kwanza
Imeandaliwa na kuandikwa na Dogoli kinyamkela
🔴
"kipi kitakachomdhuru mtu Kama akiupoteza ulimwengu mzima lakini akaweza kuikoa nafsi yake"?.
🗣️Ulimwengu Wala haupo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.