Kuna ongezeko kubwa sana la wenye maduka ya spea za magari na pikipiki kuwa gereji bubu huku mitaani.
Sijui NEMC hawaoni hili kuwa tatizo sugu mbeleni. Uchafu wa oil na mafuta ya motokaa umekuwa...
Nikiwa mmoja wa Wakazi wa hapa Mwanza naishauri Serikali Serikali hasa kuanzia ngazi ya Mkoa kulitazama kwa kina hili suala la Watoto wanaoonekana Mitaani.
Kumekuwa na kusitasita jinsi ya...
Kaya kumi na nane za eneo la Kisaki Kijiji cha Mbuyuni Minepa, Wilaya ya Ulanga mkoani Morogoro hazina mahali pa kuishi baada ya nyumba zao vyakula pamoja na vitandea kazi kudaiwa kuchomwa moto na...
Hili limenitokea jana tu!
Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale.
Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe...
Hapo mwanzoni kulikuwa na athari kubwa zinazotokanana uvuvi haramu, watu walipata ulemavu wengine wakipoteza maisha, kemikali zilitumika kuulia samaki kisha watu kutumia kemikali hizo zinazobaki...
Prevalence of Belief: Witchcraft beliefs are widespread in Tanzania. According to various surveys, a significant portion of the population, with some estimates suggesting up to 93% of Tanzanians...
Hili limenitokea mimi kwenye akaunti yangu ya lipa ya mtandao wa YAS nmesahau pin na kupelekea akaunti kufungwa sasa nikaenda yas shop na documents zote zilizotumika kufungulia hiyo akaunti ya...
Soko la Vitunguu Mkoani Singida lililopo maeneo ya Misuna ni moja ya vitega uchumi vikubwa mkoani humo.
Ni soko ambalo kipindi cha msimu linahusisha wafanyabiashara kutoka mataifa mengine...
Leo tena katika kuperuzi YouTube nakutana na video za wanaharakati wa kupinga mradi wa EACOP.
Hizi vidéo ni za karibuni kama wiki tu imepita na inaonekana hiyo Channel iliyoziposti kuanzia mwezi...
Habari za asubuhi.
Mi huwa naweka mada hapo ili mradi ujumbe ufike. Kusomwa tu inatosha, hivyo wahusika wakiupata, wataufanyia kazi.
Sitakuwa specific ila nawaongelea hawa waswahili wanaotukuza...
Wataalamu wa masuala ya gesi na mafuta, ninaomba kupata uelewa zaidi wa hii taarifa niliyoiona Worldometers inayosema kuwa imebaki miaka miwili ili gesi ambayo imegundulika nchini Tanzania kuisha...
Nauli ni kiasi gani na ni kituo gani nishuke zilipo ofisi za boti za Azam nikitokea kituo cha mabasi cha Magufuli au kwa bodaboda ni kiasi gani kutoka stand ya Magufuli mpaka zilipo Hizo ofisi...
Mwandishi wa Habari Eugen Peter ambaye leo asubuhi kupitia kurasa za Millard Ayo alitangazwa kutokujulikana aliko, amepatikana mchana huu akiwa amelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili...
Mimi nilikuwa na mkubali sana jpm kwa 90% katika utendaji wake wote na hata kifo chake kinaniuma hadi leo.
Mimi sio mtu wa siasa za hapa Tz Maana naona kabisa hii nchi hakuna chama cha upinzani...
Nina umri wa miama 31 na sikuwahi kujua kuhusu Elimi hii.
Nimetenga Mwaka mzima kujifunza elimi hii lengo likiwa ni kujiongezea ujuzi.
Nimefatilia nimegundua Dunia ni pana hii. Naanza sasa...
Sisi Wahitimu wa Shahada katika Chuo cha Kimataifa Kampala kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam hatujapewa malipo yetu yaliyozidi (refund) kutoka kwenye fedha tulizokuwa tunalipiwa na Bodi ya...
Mimi Deo mzaliwa wa Mbeya Madibira Kijijini Mkunywa, MWAKA 2015 mwishoni nilipata binti aitwaye Ana wa Kyela alikuwa na miaka 21 nikaoa,
Lakini kabla ya kumuoa nilimusihi sana tukapime afya zetu...
Jeshi la Polisi limetoa taarifa ya kupatikana kwa Mtangazaji wa TV 3, Gwamaka Francis Gehas maarufu kama 'Boiboi Mkali' mkazi wa Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam, aliyedaiwa kupotea tarehe 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.